Je, waandishi wa Biblia hawakuona aibu kufanya ‘Plagiarism’ ya wazi wazi kwenye ‘Vibao vya Sumeria’ na kufanya editing bila aibu kabisa?

Ulisikia wapi Anglican na Catholic hatuoani?
 
Hapa tuliopitia Archeology ndio tunaenda sawa!weka vitu
 
Toa ushahidi wa hizo chuki za wazi wazi miongoni mwa waislam, uislam hauna madhehebu mengi kama unavyosema....zaidi kuna madhehebu yasiozidi manne kulingana na imamu wanayemfuata....inaonekana wewe ndi mwenye chuki na Uislam!
 
Bsyotyo,Ok dini ni mfumo wa viumbe kuabudiwa,je Mungu baba mwenyewe anaabudiwa kupitia Nini?
 
kwa
ni kufa ni adhabu,wakristo wanaompenda yesu hawafi?? death its just a nature perfection kwa kiumbe chochote sio binadamu pekee
 
h
Toa ushahidi wa hizo chuki za wazi wazi miongoni mwa waislam, uislam hauna madhehebu mengi kama unavyosema....zaidi kuna madhehebu yasiozidi manne kulingana na imamu wanayemfuata....inaonekana wewe ndi mwenye chuki na Uislam!
hujui dini ya kiislam ficha ujinga hadharani uislam una madhehebu zaidi ya 50
 
Umenikumbusha pia Code of Hammurabi,18BCE,
Kwa ufupi Biblia ni Mkusanyiko wa hekaya,hadithi(ngano,visasili,tarihi,soga,visakale),
Masimulizi ya kuazima /kuiba kama hayo ya sumarei(mesoptomia civilization) na historia kiduchu ya watu wa maeneo ya mashariki ya kati na waliopata kuwazunguka bila kusahau the denial of life & ignorance ya mazingira na universe :

Biblia(agano la kale) imeandikwa karne 8BCE hadi 2BCE na Biblia(agano jipya karne 1CE-Common era) Hata enzi za nyuma,kuiba na kughushi maandishi vilikuwepo,Biblia inasadifu haya,mfano nyaraka 13 za paulo/saul ndani ya agano jipya sasa inafahamika kwa wanazuoni wa biblia,saba pekee 7 ndio za kwake,zingine zime kuwa forged bila kusahau injili nne(Marko,Mathayo, Luke & Yohane): sasa pia hata vile vitabu 5(Mwanzo,kutoka,walawi,hesabu & kumbukumbu la torati)vilivyofikiliwa kuandikwa na nabii MUSA/MOSES(Kumb34:5-7)Hapana si yeye mwandishi tena.

Jamii ya watu wa israel(palestine-judea)walipata misukosuko na mahaingaiko,manyanyaso,kama ilivyokuwa kwa jamii ndogo za kale,ulimwengu wa kale mwenye nguvu mpishe,ukikaidi utapigwa mpaka uchakae vibaya mno,israel alipitia kwa wababe/watata/wenye nguvu babloni,wamisri,waashuru,persia,wagiriki,warumi, n.k!!!

NOTES & REFFERENCES:

a)HOW TO READ THE BIBLE By james kugel.

b)WHO WROTE THE BIBLE BY richard e friedman,

c)BREAKING THE SPELL(RELIGIONS AS PHENOMONE)By daniel c dannete.

d)MISQUOTING JESUS & FORGED BY Bart d ehrman.

e)THE DENIAL OF DEATH(The fear of life and death) by ernest becker.!!!!
 
Ushajiuliza uislamu ulivyogawanyika au mpaka uambiwe.Nenda kafanye research kuna suni,kuna shia,kuna ansar wale wa Sudan,kuna sufi,kuna Ahmadiya.Hata ukoo wenu tu umegawanyika itakuwa hayo madhehebu mkuu

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Thanks to-internet,
Sasa mambo mengi yaliyokuwa yamefichwa na kuwekewa vizingiti katika nyanja mbali-mbali uchumi,dini,afya,sayansi yanafichuliwa,jadiliwa na kupata mtazamo/maoni/ushauri/majawabu mapya,

Jambo muhimu ni kuwa open minded,tumia ubongo wako sawa sawa kupima kila pande(kile unachokiona,unachokisoma & unachokisikiliza)
 
Idadi ya watu waishio duniani ni sawa sawa kabisa na idadi ya watu ambao wamekufa iko hivyo haizidi wala haipungui.
Sijui sayansi inajibuje hilo.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Toa ushahidi wa hizo chuki za wazi wazi miongoni mwa waislam, uislam hauna madhehebu mengi kama unavyosema....zaidi kuna madhehebu yasiozidi manne kulingana na imamu wanayemfuata....inaonekana wewe ndi mwenye chuki na Uislam!
Sasa manne sio mengi mkuu,,Qurani si imekamilika kwa nini madhehebu manne.
Na si manne yako mengi sana zaidi ya manne

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Nani Kasema Uislam haujagawanyika.? Ukristo na Uislam zote ni Dini za Viumbe vinavyotaka Kuabudiwa. Hakuna Ukweli huko maana Mungu haabudiwi kwenye Dini Yeyote ile Duniani
 
Bsyotyo,Ok dini ni mfumo wa viumbe kuabudiwa,je Mungu baba mwenyewe anaabudiwa kupitia Nini?
Kwanza Unatakiwa Kujua Kwamba Mungu si Baba. Maana Mungu si Kiumbe Awe na Jinsia.

Fuatilia Uzi wangu Mmoja humu unaitwa "Mungu Haongei". Kabla Hujajua Anaabudiwaje Unatakiwa Kujua Sifa zake kwanza Huwa ni Zipi

Ukiona mambo ya Mungu huyajui tafuta uchawi utaelewa mambo ya roho yalivyo ,
unapoteza mda kwa vitu usivyovijua
 
Ukiona mambo ya Mungu huyajui tafuta uchawi utaelewa mambo ya roho yalivyo ,
unapoteza mda kwa vitu usivyovijua
Unaongea yooote haya halafu hakuna hata kimoja kati ya hivyo ulivyotupa ujuzi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…