Je, waandishi wa Biblia hawakuona aibu kufanya ‘Plagiarism’ ya wazi wazi kwenye ‘Vibao vya Sumeria’ na kufanya editing bila aibu kabisa?

Kwa hiyo, ukiokota tu kibao huko ukaona kinafanana na yaliyo kwenye Biblia kwako ndiyo ushahidi wa plagiarism? Halafu unaweza kusema waandishi wa Biblia wao walitoka nchi gani?
Sio kuokota kibao, bali kibao kilichoandikwa miaka 2,000 hadi 3,000 kabla ya…, na waandishi watakuwa ni watu wa ukanda huo huo, kiasi cha kuweza ku-plagiarise maandishi ya waSumeria kwa kuandika maandiko bila kutoa credit
 
Unajuaje watakuwa wa ukanda huo? How sure are you? Hapo juu nimekuuliza kwa nini kila jamii Ina sense of an all powerful and eternal deity, hukunijibu. Nikuulize pia, kwa nini kila jamii inaona kuua ni vibaya, kuchukua mke/mume wa mwenzio ni vibaya, kutowaheshimu wazazi ni vibaya, kuiba ni vibaya, kuseng'enya ni vibaya...kwa nini kila jamii inaomboleza msiba na kuzika wafu, kuoa na kuolewa (kuzaana) na kuleta watoto, kwa nini kila jamii inawalinda hasa wanawake, watoto, wazee na watu wenye ulemavu, kwa nini katika kila jamii watu wanakuwa curious kujua jambo geni, etc? Unadhani hayo yote yalianzishwa na jamii gani na jamii gani ziliiga kwa wengine? Haya, hata ukiiangalia wanyama - nao wanazaliana, wanatoa ulinzi kwa watoto wao, wanaomboleza mwenzao akifa, etc. Wameiga kwa wanyama gani? Kuna baadhi ya mimea ukiigusa inasinyaa: Dar es Salaam, Mwanza, Morogoro? Imeiga wapi?
 
Kila Jamii inasema kuhusu kuumbwa kwa kutumia udongo? (Specifically udongo) Au kuumbwa kwa mfano ‘Wetu’? huku wakisema Mungu ni mmoja? (Specifically implying miungu wengi)
 
Kwako plagiarism ni 'kuumbwa kwa udongo', lakini kutumia neno 'kuumbwa' siyo plagiarism. Haya na 'a powerful deity', origin of life...unasemaje? Na kwa nini kila jamii iseme watu "wameumbwa"? Nani kawafundisha, hao Sumerians au wame'plagiarise' msamiati wao? Kwenye Kiswahili tunatumia 'Muumba', Wakerewe wanatumia 'Namhanga', Wajita 'Nyamuanga', Mali 'Bemba', Wachewa (Malawi) 'Mlengi'...jamii zote hizi Mungu wao ni muumbaji. Hebu eleza.
 
Nimekutolea hizo point 2 kama mfano. Kila jamii inasema hivyo?
 
Imekuwa Ikifahamika kwa watu wa chache sana wenye maarifa na ujuzi katika miaka ya hivi karibuni (20th century), kwamba biblia ni masimulizi ya ‘Vibao vya mawe vya Sumeria’ vilivyo ‘ghoshiwa’ na wajanja wachache (hasa Warumi) katika kukamata na kupumbaza akili raia katika himaya zao, hii iliwarahisishia kujitanua na kutawala kwa uhakika zaidi.

Vibao vya mawe vya kale vya ‘Sumeria’ vinakadiriwa kuandikwa takriban miaka 3,000 kabla ya kuandikwa kwa biblia, na Biblia inakadiriwa kuandikwa miaka 2,000 baada ya kuandikwa kwa vibao vya mawe vya Sumeria.

Vibao vya Sumeria viligundulika miaka ya 1800 na watafiti wa mambo ya kale toka Uingereza katika ukanda wa ‘Assyria’; idadi ya hivyo vibao bi maelfu kwa maelfu, na kwakuwa lugha hiyo ni ya kale sana na imeshabadilika sana, ilichukua miaka mingi kuweza kutafsiri vilivyoandikwa kwenye vibao hivyo.

Miaka ya 1900 idadi kubwa ya vibao hivyo, ambavyo hadi miaka ya hivi karibuni tu vilikuwa vimefanywa siri na kufichwa katika majumba ya makumbusho ya uingereza, viliweza kutafsiriwa kwa ufasaha mkubwa sana, kilichokuwa kimeandikwa humo kilikuwa ni tishio na aibu kubwa kwa wezi wa maandiko walioandika biblia, hivyo kwa miongo yote hiyo hakuna aliyeweza kuambiwa kilichomo.

Miaka ya hivi karibuni watu wengi sana huko ulaya na Marekani walianza kupoteza hamu ya mambo yahusuyo kanisa na Ukristo kwa ujumla, hivyo hofu ya kuviweka hadharani vibao hivyo ikapungua, na baadhi japo ni vichache (vile ambavyo sio tishio sana) vimeanzwa kiwekwa wazi kwenye majumba ya makumbusho huko uingereza, kiasi hata kama wewe ni paroko wa kanisa flani, unaweza kuwachangisha waumini wako pesa ya tiketi na ukaenda kujionea mwenye kwa macho yako.

Hadithi zilizofanyiwa ‘plagiarism’ na ‘kughoshiwa’ na biblia ni nyingi, na nitazichambua nyingi kadri niwezavyo, ila moja iliyonipagawisha ni ile ya ‘Shetani’ kumshawishi Eva wafanye ngono na Adam, kitendo kilichomwogopesha na kumkera ‘Creator wa kwanza’ , Adam , Eva, na ‘Shetani walimchukiza sana.

Nyingine ni ile ya ‘Shetani’ kuwa muumbaji wa mwisho wa binadamu (alifanya kazi ya finishing) kwa kutagawia ‘DNA’ yake ya kimungu na kuwafanya binadamu kuwa na’Umungu ndani yao, hili pia lilimkera sana ‘Creator wa kwanza’, maana liliwapa binadamu uMungu na kumpa wivu sana, ni mungu mwenye wivu sana, shetani alimkera sana kwa kitendo hichi, na inawezekana adhabu yake na ya kwetu itakuwa kali sana mwishowe.

Nakunyw amaji nianze kuweka Hadithi kwa hadithi tena kwa undani.
==============================
Hadithi ya kwanza: Post no. 44
Pamoja na mahubiri haya ya kushambulia Biblia, lakini still Neno hili hili lililochujwa limekuwa nguzo muhimu katika kumjua Mungu na linatenda kazi kubwa katikati yetu.

Nimesikia na kusoma ssna kuhusu manipulation ya jina la Yesu ambapo pamoja na kusema herufi J inayobeba jina Jesus au Yesu kiswahili imekuja karne ya 15 hivi. Lakini jina hilo kwa herufi hiyohiyo inayoklsolewa linaokoa, kuponya hata kufufua wafu. Mapepo yanaanguka na kukimbia mbele yake
 
Nimekutolea hizo point 2 kama mfano. Kila jamii inasema hivyo?
Kwako shida ni kusema "kuumbwa kwa udongo'" ila kusema "kuumbwa" si tatizo. Kwa hiyo, unataka kusema hakuna jamii inasema "tumeuumbwa kwa udongo'"? Matumizi ya msamiati yanategemea aina ya jamii: jamii za kilimo - msamiati kama udongo, mimea na mavumo, majira ya mvua ni common katika masimulizi yao; jamii za uvuvi: mto, ziwa, samaki, nyavu na na aina za samaki ni common katika masimulizi yao na jamii za ufugaji: mifugo, malisho, etc ni common katika masimulizi yao. Kwa hiyo, huwezi ukaniambia kuna jamii ambayo Ina haki milki ya phrase "kuumba kwa udongo'". This is too simplistic!
 
Hizo jamii zinazosema tumeumbwa ulitaka ziseme tumejiumba? Ila kwenye case ya ‘udongo’ na kwa ‘mfano wetu’ ni very specific phrases and ideologies, ambapo wangeweza kusema tumeumbwa kwa hewa au kitu kingine.., na kuumbwa kwanini iwe kwa mfano wetu in both cases..

"Kuumba kwa mfano wetu" is majestic language. It's not an exclusive expression to Sumerians. This language you can find, for instance, among the Chewa in Malawi, who address a person in high ranking in plural form: "Alibwanji abambo?" (How are you...), but which translates into "Hamjambo/hawajambo?" when addressing one person (as an expression of majesty/honour to people like kings, family/clan/tribal/political/religious leaders), instead of "Mulibwanji' abambo?" (How are you...?" which translates into "Hujambo?" (when it is one person). It is the same in French. When you address your agemate, friend, peer you say (if it's a greeting): comment sa va? (How are you, hujambo?), but if it is an official, a parent or a stranger you are unfamiliar with, you use the plural form (Comment les vous?) - hamjambo/hawajambo? So, the expression "let us make...in our image" is an expression which can be used in any society whose language uses such forms to address people in authority and it cannot be limited to Sumerians' use.
 
Imekuwa Ikifahamika kwa watu wa chache sana wenye maarifa na ujuzi katika miaka ya hivi karibuni (20th century), kwamba biblia ni masimulizi ya ‘Vibao vya mawe vya Sumeria’ vilivyo ‘ghoshiwa’ na wajanja wachache (hasa Warumi) katika kukamata na kupumbaza akili raia katika himaya zao, hii iliwarahisishia kujitanua na kutawala kwa uhakika zaidi.

Vibao vya mawe vya kale vya ‘Sumeria’ vinakadiriwa kuandikwa takriban miaka 3,000 kabla ya kuandikwa kwa biblia, na Biblia inakadiriwa kuandikwa miaka 2,000 baada ya kuandikwa kwa vibao vya mawe vya Sumeria.

Vibao vya Sumeria viligundulika miaka ya 1800 na watafiti wa mambo ya kale toka Uingereza katika ukanda wa ‘Assyria’; idadi ya hivyo vibao bi maelfu kwa maelfu, na kwakuwa lugha hiyo ni ya kale sana na imeshabadilika sana, ilichukua miaka mingi kuweza kutafsiri vilivyoandikwa kwenye vibao hivyo.

Miaka ya 1900 idadi kubwa ya vibao hivyo, ambavyo hadi miaka ya hivi karibuni tu vilikuwa vimefanywa siri na kufichwa katika majumba ya makumbusho ya uingereza, viliweza kutafsiriwa kwa ufasaha mkubwa sana, kilichokuwa kimeandikwa humo kilikuwa ni tishio na aibu kubwa kwa wezi wa maandiko walioandika biblia, hivyo kwa miongo yote hiyo hakuna aliyeweza kuambiwa kilichomo.

Miaka ya hivi karibuni watu wengi sana huko ulaya na Marekani walianza kupoteza hamu ya mambo yahusuyo kanisa na Ukristo kwa ujumla, hivyo hofu ya kuviweka hadharani vibao hivyo ikapungua, na baadhi japo ni vichache (vile ambavyo sio tishio sana) vimeanzwa kiwekwa wazi kwenye majumba ya makumbusho huko uingereza, kiasi hata kama wewe ni paroko wa kanisa flani, unaweza kuwachangisha waumini wako pesa ya tiketi na ukaenda kujionea mwenye kwa macho yako.

Hadithi zilizofanyiwa ‘plagiarism’ na ‘kughoshiwa’ na biblia ni nyingi, na nitazichambua nyingi kadri niwezavyo, ila moja iliyonipagawisha ni ile ya ‘Shetani’ kumshawishi Eva wafanye ngono na Adam, kitendo kilichomwogopesha na kumkera ‘Creator wa kwanza’ , Adam , Eva, na ‘Shetani walimchukiza sana.

Nyingine ni ile ya ‘Shetani’ kuwa muumbaji wa mwisho wa binadamu (alifanya kazi ya finishing) kwa kutagawia ‘DNA’ yake ya kimungu na kuwafanya binadamu kuwa na’Umungu ndani yao, hili pia lilimkera sana ‘Creator wa kwanza’, maana liliwapa binadamu uMungu na kumpa wivu sana, ni mungu mwenye wivu sana, shetani alimkera sana kwa kitendo hichi, na inawezekana adhabu yake na ya kwetu itakuwa kali sana mwishowe.

Nakunyw amaji nianze kuweka Hadithi kwa hadithi tena kwa undani.
==============================
Hadithi ya kwanza: Post no. 44
Kwahiyo ww unasemaje
 
Plagiarism wewe unasema Majestic language? Anyway, Siwezi kuzunguka mbuyu, soma hadithi umeelewa kinachosemwa haya, kama hujaelewa ni sawa pia..
 
Kwani ni wewe tu unayejua maana ya plagiarism? Si hapo juu ulmesema ni kutokana na utafiti wa wataalamu wa Uingereza waliofanya utafiti mwaka 1800, ambao si lazima uwe wa kweli? Actually, wewe umekuwa romantic tu wa huo utafiti wa Waingereza na wala si kwamba wewe ndiye uliyofanya huo utafiti na wala hujui kama lengo lao lilikuwa nini au je findings zao ni za kweli (accurate, credible, reliable, comprehensible na transferrable) au za la? Wewe ni mpiga debe tu na ndiyo maana nilipokuuliza "justification" umepigaliga tu ukisema "kuna mawe yaliyookotwa". Mimi nimekuuliza unaweza kudai kuna plagiarism kwenye text bila kujua waandishi wake kama ni wale wale au hold similar belief systems au ni tofauti? Nimetoa mfano wa Mila inayopatikana kwa Wabemba (Zambia) inayofanyika baada ya mtu kufiwa inaitwa "obupyanyi". Mila hii inafanana kwa maana na practice na mila inayofanyika kwa makabila ya Wakerewe, Wajita na Wakara (Lake Victoria) inayoitwa "okwela olufu" (purification) na inahusisha kufanya tendo la ndoa (ikimaanisha life-giving act to counter death) na kunyoa nywele (kama beginning of new life na kwamba kipindi cha maombilezo kimekwisha). Wabemba na Wakerewe/Wajita/Wakara ni makabila tofauti, yet yana Mila inayofanana katika maana na practice, je unaweza kusema kuna walio'copy' mila kutoka kwa wengine? Wachewa (Malawi) wanaonyesha heshima kwa mtu mkubwa kama mtemi kwa kumpigia magoti. Wakerewe/Wajita/Wakara (Ziwa Victoria) wanaonyesha heshima pia kwa mtu mkubwa kwa kupiga magoti. Kuna baadhi ya jamii sehemu mbalimbali duniani zinafanya hivyo pia. Baadhi ya jamii kama Wajaruo wanacheza Ngoma wakati wa msiba, ni hivyo pia kwa Wachewa (Malawi) na huko Ghana Afrika Magharibi. Je, unaweza kusema ni plagiarism kwa vile unasema Wasumeria walikuwa na "tufanye mtu kwa mfano wetu" ambayo pia tunaikuta kwenye creation story ya kwenye Biblia na "kuumba kutoka kwenye udongo"? Katika jamii nyingi duniani kuna aina ya expressions wanazitumia na practices zinazofanana (nyingine sana na nyingine kidogo) na kuna tofauti pia kubwa na ndogo. Sababu zinaweza kuwa mwingiliano through trade, intermarriage, exiles au nyinginezon na siyo necessarily the so-called kuiba expression ya jamii nyingine. Hata practice ya kuzika watu, kuna jamii kama Wahindi wanafanya 'cremation' na jamii nyingi wanazika wafu wao kaburini. Kwa nini ni hivyo na ni kwa nini wengi wanazika? Kuna waliooga kwa wenzao?
 
Tufanye wewe ndio unaauejua maana ya Plagiarism. Wacha atakaesoma na kuona kuna Plagiarism kwa uelewa wake aone hivyo, atakaeona otherwise ni sawa pia. Tufanye tuishie hapa, we unaonaje?
 
Imekuwa Ikifahamika kwa watu wa chache sana wenye maarifa na ujuzi katika miaka ya hivi karibuni (20th century), kwamba biblia ni masimulizi ya ‘Vibao vya mawe vya Sumeria’ vilivyo ‘ghoshiwa’ na wajanja wachache (hasa Warumi) katika kukamata na kupumbaza akili raia katika himaya zao, hii iliwarahisishia kujitanua na kutawala kwa uhakika zaidi.

Vibao vya mawe vya kale vya ‘Sumeria’ vinakadiriwa kuandikwa takriban miaka 3,000 kabla ya kuandikwa kwa biblia, na Biblia inakadiriwa kuandikwa miaka 2,000 baada ya kuandikwa kwa vibao vya mawe vya Sumeria.

Vibao vya Sumeria viligundulika miaka ya 1800 na watafiti wa mambo ya kale toka Uingereza katika ukanda wa ‘Assyria’; idadi ya hivyo vibao bi maelfu kwa maelfu, na kwakuwa lugha hiyo ni ya kale sana na imeshabadilika sana, ilichukua miaka mingi kuweza kutafsiri vilivyoandikwa kwenye vibao hivyo.

Miaka ya 1900 idadi kubwa ya vibao hivyo, ambavyo hadi miaka ya hivi karibuni tu vilikuwa vimefanywa siri na kufichwa katika majumba ya makumbusho ya uingereza, viliweza kutafsiriwa kwa ufasaha mkubwa sana, kilichokuwa kimeandikwa humo kilikuwa ni tishio na aibu kubwa kwa wezi wa maandiko walioandika biblia, hivyo kwa miongo yote hiyo hakuna aliyeweza kuambiwa kilichomo.

Miaka ya hivi karibuni watu wengi sana huko ulaya na Marekani walianza kupoteza hamu ya mambo yahusuyo kanisa na Ukristo kwa ujumla, hivyo hofu ya kuviweka hadharani vibao hivyo ikapungua, na baadhi japo ni vichache (vile ambavyo sio tishio sana) vimeanzwa kiwekwa wazi kwenye majumba ya makumbusho huko uingereza, kiasi hata kama wewe ni paroko wa kanisa flani, unaweza kuwachangisha waumini wako pesa ya tiketi na ukaenda kujionea mwenye kwa macho yako.

Hadithi zilizofanyiwa ‘plagiarism’ na ‘kughoshiwa’ na biblia ni nyingi, na nitazichambua nyingi kadri niwezavyo, ila moja iliyonipagawisha ni ile ya ‘Shetani’ kumshawishi Eva wafanye ngono na Adam, kitendo kilichomwogopesha na kumkera ‘Creator wa kwanza’ , Adam , Eva, na ‘Shetani walimchukiza sana.

Nyingine ni ile ya ‘Shetani’ kuwa muumbaji wa mwisho wa binadamu (alifanya kazi ya finishing) kwa kutagawia ‘DNA’ yake ya kimungu na kuwafanya binadamu kuwa na’Umungu ndani yao, hili pia lilimkera sana ‘Creator wa kwanza’, maana liliwapa binadamu uMungu na kumpa wivu sana, ni mungu mwenye wivu sana, shetani alimkera sana kwa kitendo hichi, na inawezekana adhabu yake na ya kwetu itakuwa kali sana mwishowe.

Nakunyw amaji nianze kuweka Hadithi kwa hadithi tena kwa undani.
==============================
Hadithi ya kwanza: Post no. 44
walipojiona wenye hekima walipumbazika......... FRANCIS DA DON.....hekima yako n upuuzi
 
Dini ndio silaha pekee ambayo imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuleta amani duniani, bila dini kungekuwa na machafuko kila mahali. Japo zimekuja na changamoto lukuki
 
Kuna elimu na uzushi huku dunia wa kiwango cha kutisha. Ndio maana naelewa kwanini Kanisa Katoliki limewekeza kwenye elimu kubwa kwa mtu kuwa Padre! Miaka kumi ya kumuimarisha na dunia hii ili aweze kutetea imani kikamilifu kwenye kila eneo!

Hii ya kuwa mchungaji within 3 month labda kukemea mapepo tu lakini kuna issues ukikutana na atheists, wana science au historia deep wanakutoa kwenye reli. Kadri werevu wa wana wa nyoka unavyopaa lazima muwe na watumishi walioiva kila eneo kujibu kila hoja inayochomekwa kwa werevu kuharibu Kanisa na mafundisho yake. Kwavile elimu ipo hapo dawa ni shule usitegemee Roho Mtakatifu atakufunulia vitu ambavyo alishafunua na mitaala ipo!
Upo sahihi nakutana na wachungaji wa kilokole weupe sana kimafundisho ,Hadi unasikitika
 
Back
Top Bottom