Je, wafahamu tafsiri ya makofi anayopigiwa Kassimu Majaliwa? Mlinzi wake kuwa MAKINI usibweteke inaweza kula kwako soon

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
CCM haitaki kubadilika kulingana na nyakati, Kassimu Majaliwa nyota yake haijafifia hata iweje bado inang'ara sana hata km CCM na Samia mnajitaidi kuizima.

Mlinzi wake nimekuona umeanza kubweteka, take care man. umeilinda hazina ya nchi system soon itatoa majibu.
 
Kuna WAJINGA wanasema Samia anachukiwa kwasababu ya dini yake....mbona Kwa MAJALIWA hatuoni huo udini , hakuna mtanzania ambaye anamchukia
Majaliwa nilimkubali miaka mingi tu toka akiwa Waziri Mdogo TAMISEMI.
Ilikuwa hivi: kuna jamaa yangu Rungwe Mwenyekiti wa CCM Wilaya, aliuwawa na watu wasiojulikana , lakini walipatikana na kupelekwa mahakamani.
Kati ya viongozi wakuu waliofika waliongozwa na Majaliwa Kassim.
Hili liliwaliwaza sana wananchi wa eneo la Kiwira na kumshukuru kwa moyo wake wa kutoa pole.
 
Hivi mkuu unamjua majaliwa vizuri? Wife wake ni mroma lialia na anashiriki Ibadan 100%.
Nina wasiwasi kama majaliwa hajabadilishwa dini ni huyu mama..
Na hata makofi mengi huwa anapigiwa na waroma kupitia her wife coz wanamjua vizuri...
Ww jiulize mbona ameshiriki makusanyiko mengi tu na wala hakuwa anashangiliwa? Why iwe kwa waroma tu?
 
MAJALIWA ndiyo MTU Sahihi aliyebaki CCM
 
Hivi mkuu unamjua majaliwa vizuri? Wife wake ni mroma lialia na anashiriki Ibadan 100%.
Nina wasiwasi kama majaliwa hajabadilishwa dini ni huyu mama..
Na hata makofi mengi huwa anapigiwa na waroma kupitia her wife coz wanamjua vizuri...
Ww jiulize mbona ameshiriki makusanyiko mengi tu na wala hakuwa anashangiliwa? Why iwe kwa waroma tu?
We rukaruka tu kama maharage mjaliwa ni mtu na nusu, siyo kama tapeli madelu
 
Halafu mwingulu ana mzidi mbali sana majaliwa..mwigulu ni smart tofauti na huyo zoba wenu aliyekuwa anapelekeshwa na magu na MaMa amempelekesha mno mpaka akamwona hawezi kazi akamwekea biteko..
Nyinyi waroma mnamtaka coz mtimize malengo yenu kwa sababu jamaa anawatii 100%..na mnamwandaa 2030..sasa muwe makini nae la sivyo mnamtengenezea shimo ambalo akiingia hatoki
 
Waroma ni wakina nani?
 
Wewe utakuwa Fala watanzania unawaitaje waroma?
 
Tanganyika hakuna udini wala ukabila
Ila wanasiasa wanapofilisika kisiasa waki ishiwa sera...wanasiasa ndio wanatumia mbinu za kupandikiza udini na ukabila....wanataka kuwagawanya watanzania kwa misingi ya dini zao

,yani wanatamani hata kusema wale wote walioandamana oct 29 walikuwa ni wakristo tubna walitumwa na makanisa yao na hata waliokufa O29 walikuwa ni wakristo tu..na wakristo peke yao ndio wapinzani..yani wanatamani hata kusema vyama vyote vya upinzani ni wakristo tu.

Na wanatamani kusema ni kwa sababu ya utofauti wa kidini na ukabila ,na wanatamani kila mabaya yote yaangushiwe kww chadema na ukristo

Hata haya matume ya uchunguzi yatakuja na majibu ya matokeo hayo hayo kuwa chanza cha yaliyotokea oktoba ni chadema TLisu na kanisa wakristo au TEC kitima ,na mabeberu ,diaspora.

Lakini hili la wanasiasa kujaribu kuingiza hoja za UDINI na ukabila amabazo hazipo halitafanikiwa kwa sababu NJIA YA MWONGI NI FUPI,na UKWELI NA UONGO HUJITENGA KAMA MAJI NA MAFUTA
 
CCM haitaki kubadilika kulingana na nyakati, Kassimu Majaliwa nyota yake haijafifia hata iweje bado inang'ara sana hata km CCM na Samia mnajitaidi kuizima.

Mlinzi wake nimekuona umeanza kubweteka, take care man. umeilinda hazina ya nchi system soon itatoa majibu.
Utadhani huyo Majaliwa ana la maana aliloifanyia nchi kwa miaka yake yote hiyo 10 ya uPM. Au ndo keshaandaa machawa wa kumfanyia promo?
Nyie mdanganyeni tu
 
Back
Top Bottom