Je, wafahamu tafsiri ya makofi anayopigiwa Kassimu Majaliwa? Mlinzi wake kuwa MAKINI usibweteke inaweza kula kwako soon

Je, wafahamu tafsiri ya makofi anayopigiwa Kassimu Majaliwa? Mlinzi wake kuwa MAKINI usibweteke inaweza kula kwako soon

Tanganyika hakuna udini wala ukabila
Ila wanasiasa wanapofilisika kisiasa waki ishiwa sera...wanasiasa ndio wanatumia mbinu za kupandikiza udini na ukabila....wanataka kuwagawanya watanzania kwa misingi ya dini zao

,yani wanatamani hata kusema wale wote walioandamana oct 29 walikuwa ni wakristo tubna walitumwa na makanisa yao na hata waliokufa O29 walikuwa ni wakristo tu..na wakristo peke yao ndio wapinzani..yani wanatamani hata kusema vyama vyote vya upinzani ni wakristo tu.

Na wanatamani kusema ni kwa sababu ya utofauti wa kidini na ukabila ,na wanatamani kila mabaya yote yaangushiwe kww chadema na ukristo

Hata haya matume ya uchunguzi yatakuja na majibu ya matokeo hayo hayo kuwa chanza cha yaliyotokea oktoba ni chadema TLisu na kanisa wakristo au TEC kitima ,na mabeberu ,diaspora.

Lakini hili la wanasiasa kujaribu kuingiza hoja za UDINI na ukabila amabazo hazipo halitafanikiwa kwa sababu NJIA YA MWONGI NI FUPI,na UKWELI NA UONGO HUJITENGA KAMA MAJI NA MAFUTA
Ww utakuwa ni mgeni ...chadema 97% ni wakristo
 
Ni kweli kabisa ...na ukisikia serikali inanuka kwa rushwa na uzembe ..ujue ni wao ndo wamesababisha
Wananchi wengi uelewa ni mdogo sana na ndipo kwasababu hiyo hutumika kama daraja la watawala...bahati Mzuri nawafahamu baadhi ya viongozi kwa kiasi chake ni kwamba wengi wao wana majina ya kiislamu ila hawauishi huo uislamu kwasababu uislamu sio Jina ila ni matendo...kwahiyo mfano alivyo samia akikosolewa watu wajinga wanaamini kisa dini yake
 
Hata serikalini 80% ni wakristo
DINI SIO KIGEZO CHA KUAJIRIWA SERIKALINI..kama serikali wanatangaza nafasi za kuajiri madaktari au walimu au ma injinia
hawa ajiri kwa kuzingatia uwezo wa kuhifadhi ilimu ya dini wana hawa angalii vyeti vya dini,na hakuna dini inakatazwa inazuiliwa kuajiriwa kama umefikia vigezo na sifa ..huwezi kuajiriwa uwe daktari kwa utibu watu kwa kuangalia cheti chako cha dini.
 
DINI SIO KIGEZO CHA KUAJIRIWA SERIKALINI..kama serikali wanatangaza nafasi za kuajiri madaktari au walimu au ma injinia
hawa ajiri kwa kuzingatia uwezo wa kuhifadhi ilimu ya dini wana hawa angalii vyeti vya dini,na hakuna dini inakatazwa inazuiliwa kuajiriwa kama umefikia vigezo na sifa ..huwezi kuajiriwa uwe daktari kwa utibu watu kwa kuangalia cheti chako cha dini.
Nilikuwa namjibu huyo mpuuzi anaeleta uwiano wa dini kuwa chadema 97% ni wakristo
 
Majaliwa ni mzalendo sio muigizaji Kama Yule muhuni mwanamtandao wa singinda na hiyo nafasi kaipata kwasababu mwanamtandao lakini kichwani ni empty kabisa ila anachojua ni maigizo na kawekwa hapo kwa kujua maigizo vizuri wakajua wanamtandao watamtumia boss wako hawezi kua fisadi na mwizi ukajifanya wewe kibarua unapambana na wizi
 
CCM haitaki kubadilika kulingana na nyakati, Kassimu Majaliwa nyota yake haijafifia hata iweje bado inang'ara sana hata km CCM na Samia mnajitaidi kuizima.

Mlinzi wake nimekuona umeanza kubweteka, take care man. umeilinda hazina ya nchi system soon itatoa majibu.
Bahati mbaya kwa nchi ile ya kule mbali, wanaokubalika na wananchi ndio wanaochukiwa na "wenye nchi" na mbaya zaidi wakiona wananchi wanazidi "kukushobokea" wao wanaingia kazini kumalizia "shobo za wananchi"

Hakiki kulinda usalama wako kwanza ni jambo la msingi zaidi kabla ya kujisahau
 
Back
Top Bottom