Lupweko nadhani hujawajua wana JF, Scars ni mtu anayejulikana kuwa si muumini wa dini yoyote na mimi ni muumini wa uislamu vipi tukae chemba halafu tuje na kauli moja?Itabidi mkae chemba muelewane kwanza ndipo mje na kauli moja, maana mapingana wenyewe
Thats what I knewSina dini ila najaribu kuweka maoni yangu kulingana na dini husika inavyo sema
Inakuwaje dini unafiki badala ya mtu kuwa mnafiki? Padri kulawiti watoto au kuwa shoga haifanyi ukristo kuwa unafikiMvaakobazi bora azini kuliko kula nyama ya kiti..dini zingine unafiki mtupu..ila kuhusu figo ya nguruwe ni tiba wataipokea kwa mikono miwili mana hakuna apendaye kifo.
#MaendeleoHayanaChama
Hapana,ni heri tukufe tuTafiti zimeonyesha binadamu meenye matatizoya figo anaweza kupona kwa kupandikiziwa figo ya nguruwe,View attachment 1983581
Kuna dhehebu linaitwa mashahidi wa yehova, hili dhehebu linazuia mtu wa dini hiyo kuongezewa damu,
Je waislam mtakubali kupamdikiziwa figo ya nguruwe?
Mkuu kama huamini wewe usiseme upuuzi mna ata ww umezaliwa umeikuta katiba ya nchi na huna budi kuifuata ata kma mnasema ina mapungufu iweje leo hii Katiba ya Muumba wa mbingu na Ardhi na vyote vilivyomo tusiifuate? Mm nipo tayari kukuelimisha usiseme upuuziHizi dini ni utumwa mtupu!! So ukila nguruwe ndiyo huendi mbinguni/akhera?? Unaenda kwenye moto wa milele?? Yaani kosa moja tu la kula nguruwe ndiyo unachomwa moto milele na milele??!!! Na watu wanaamini huu upuuzi
Wajinga ni nyinyi mnaomuita nabii Mungu eti yesu ni Munguhuu ujinga ndiyo uwa mnadanganyana baada rakaa?.
Upuuzi ni dini yako na madhehebu yakeHizi dini ni utumwa mtupu!! So ukila nguruwe ndiyo huendi mbinguni/akhera?? Unaenda kwenye moto wa milele?? Yaani kosa moja tu la kula nguruwe ndiyo unachomwa moto milele na milele??!!! Na watu wanaamini huu upuuzi
Unaekewa figo nyingine baada ya figo kutoweza kufanya kazi vizuriKupamdikiziwa ndiyo nini???
Akhi usimjibu ivo huenda alighafilika au hajui alisemalo kwaio tumia kauli njema kidogoUpuuzi ni dini yako na madhehebu yake
Sawa mkuu .ila wakiendelea na dharau huu uzi utachafukaAkhi usimjibu ivo huenda alighafilika au hajui alisemalo kwaio tumia kauli njema kidogo
Hapana Allah katukataza kuwa tusiwatukane wale ambao wanaabudu kinyume na Allah,huenda wakaja kumtukana Allah pasipokua na elimu ...Sawa mkuu .ila wakiendelea na dharau huu uzi utachafuka
Mkuu kama upo tayari mm nitajitolea kukuelimisha usiseme ni utumwa mna ata ktka nchi kuna katiba ambayo tunaifuata na inatukataza mengi tu kwaio kama upo tayari mm nitakuelimishaHizi dini ni utumwa wa mila za kiarabu na kizayuni tena zile za kale. Utakuta mtoto analishwa sumu tangu mdogo kuws baadhi ya vitu ni vibaya na kama ana ubongo wa panzi wa kutokufanya reasoning anaamini na kuyachukua hivyo hivyo eti maandiko yanasema. Mwisho wa siku anachukia baadhi ya viumbe na kuviita haram/ khafir . Maandiko haya yamrbeba 80% ya mambo ambayo ni tamaduni mila na desturi za maeneo ya middle east ambapo dini kuu mbili zilianzia. Mwafrika kwa ubongo wetu ulivyomdogo tunashindwa lutofautisha mambo ya Mungu na mila za waliotuletea dini zao ndio maana tunalazimisha:-
A) Kuvaa mavazi yao ya asili kanzu , mashela nk
B) Kula vyakula vyao vya asili kama mikate na vyakula vya asili ya ngano na tende na kuacha vyakwetu
C) Kunywa vinywaji vya adili yao kama divai na kuvitumia kwenye ibada na kuacha kutumia vinywaji vya asili yetu
D) Kuacha lugha zetu ambazo tumepewa na Mungu na kutumia Muda mwingi kujifunza na kumuomba Mungu kwa lugha za kigeni ambazo hakutuumba nazo
E) Kuiga makatazo yao ya vyakula ambaya kimsingi ni ya kimila kama huku bongo kuna baadhi ya koo zina makatazo ya baadhi ya vitoweo au sehemu fulani ya myama hailiwi na kuna baadhi ya koo wanakula kila kitu ( CHIUMBI MNUNGU CHAKUMEMENENWA au NKYALU MUKUNZA MUKATILE NNAMA)
sasa hapo si bora ule nguruwe utaenda chooni kunya[emoji1787]Kinachokatazwa ni kula nguruwe!
hata ukiwa na njaa sana anaruhusiwaKoroani haijaacha kitu,ipo wazi hajazuiwa kutumika kwa matumizi mengine zaidi ya kitoweo,kwa tiba anatumika vizuri tu.
Wabilahi tawfiq
mm naanza kufugaSote tujitahidi kufuga nguruwe ni mnyama muhimu Mwenye manufaa.