Je, Waislam mtakubali kupandikiziwa figo ya nguruwe?

Itabidi mkae chemba muelewane kwanza ndipo mje na kauli moja, maana mapingana wenyewe
Lupweko nadhani hujawajua wana JF, Scars ni mtu anayejulikana kuwa si muumini wa dini yoyote na mimi ni muumini wa uislamu vipi tukae chemba halafu tuje na kauli moja?
 
Mvaakobazi bora azini kuliko kula nyama ya kiti..dini zingine unafiki mtupu..ila kuhusu figo ya nguruwe ni tiba wataipokea kwa mikono miwili mana hakuna apendaye kifo.

#MaendeleoHayanaChama
Inakuwaje dini unafiki badala ya mtu kuwa mnafiki? Padri kulawiti watoto au kuwa shoga haifanyi ukristo kuwa unafiki
 
Hizi dini ni utumwa mtupu!! So ukila nguruwe ndiyo huendi mbinguni/akhera?? Unaenda kwenye moto wa milele?? Yaani kosa moja tu la kula nguruwe ndiyo unachomwa moto milele na milele??!!! Na watu wanaamini huu upuuzi
 
Mkuu kama huamini wewe usiseme upuuzi mna ata ww umezaliwa umeikuta katiba ya nchi na huna budi kuifuata ata kma mnasema ina mapungufu iweje leo hii Katiba ya Muumba wa mbingu na Ardhi na vyote vilivyomo tusiifuate? Mm nipo tayari kukuelimisha usiseme upuuzi
 
Hizi dini ni utumwa mtupu!! So ukila nguruwe ndiyo huendi mbinguni/akhera?? Unaenda kwenye moto wa milele?? Yaani kosa moja tu la kula nguruwe ndiyo unachomwa moto milele na milele??!!! Na watu wanaamini huu upuuzi
Upuuzi ni dini yako na madhehebu yake
 
Hizi dini ni utumwa wa mila za kiarabu na kizayuni tena zile za kale. Utakuta mtoto analishwa sumu tangu mdogo kuws baadhi ya vitu ni vibaya na kama ana ubongo wa panzi wa kutokufanya reasoning anaamini na kuyachukua hivyo hivyo eti maandiko yanasema. Mwisho wa siku anachukia baadhi ya viumbe na kuviita haram/ khafir . Maandiko haya yamrbeba 80% ya mambo ambayo ni tamaduni mila na desturi za maeneo ya middle east ambapo dini kuu mbili zilianzia. Mwafrika kwa ubongo wetu ulivyomdogo tunashindwa lutofautisha mambo ya Mungu na mila za waliotuletea dini zao ndio maana tunalazimisha:-

A) Kuvaa mavazi yao ya asili kanzu , mashela nk

B) Kula vyakula vyao vya asili kama mikate na vyakula vya asili ya ngano na tende na kuacha vyakwetu

C) Kunywa vinywaji vya adili yao kama divai na kuvitumia kwenye ibada na kuacha kutumia vinywaji vya asili yetu

D) Kuacha lugha zetu ambazo tumepewa na Mungu na kutumia Muda mwingi kujifunza na kumuomba Mungu kwa lugha za kigeni ambazo hakutuumba nazo

E) Kuiga makatazo yao ya vyakula ambaya kimsingi ni ya kimila kama huku bongo kuna baadhi ya koo zina makatazo ya baadhi ya vitoweo au sehemu fulani ya myama hailiwi na kuna baadhi ya koo wanakula kila kitu ( CHIUMBI MNUNGU CHAKUMEMENENWA au NKYALU MUKUNZA MUKATILE NNAMA)
 
Mkuu kama upo tayari mm nitajitolea kukuelimisha usiseme ni utumwa mna ata ktka nchi kuna katiba ambayo tunaifuata na inatukataza mengi tu kwaio kama upo tayari mm nitakuelimisha
 
"CHIUMBI MNUNGU CHAKUMEMENENWA au NKYALU MUKUNZA MUKATILE NNAMA)"
Hapo hujaeleweka , tafadhali funguka
 
Koroani haijaacha kitu,ipo wazi hajazuiwa kutumika kwa matumizi mengine zaidi ya kitoweo,kwa tiba anatumika vizuri tu.

Wabilahi tawfiq
hata ukiwa na njaa sana anaruhusiwa
sasa utakula bila kuwa na njaa
 
Back
Top Bottom