Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Daa, yaani ni upigaji kila kona ila utafanyaje ni kushukuru kwa kila kitu na Mungu atakulipaumenikumbusha nilikuwa najenga nyumba nikaanza kufyetua matofali nikampa jamaa mmoja kazi ya kuyefyetua nikimuamini vile ni jirani yangu.
Cha ajabu nilivyorudi kwa kweli alifyetua matofali yote na hayakuwa dhaifu hata kidogo.Ila nikakuta kapiga nyumba yake plasta zile nyumba style tunaiita chupi yaani unaingia barazani kushoto chumba na kulia chumba amepiga plasta ndani na nje.
sikuhoji nikajenga nyumba yangu na ni imara tu.Si ajabu kila mfuko alikuwa anaiba cement kwa akili anatoa kilo moja moja.
Hata hivyo nilimshukuru niliona labda nimetoa sadaka.
Hata ubane namna gani