Ili nyumba isimame, lazima kichwa kiwepo, baba ndie kichwa cha nyumba, ikitokea amekufa, what happened to nyumba yenu?, mtasubiri mama yenu arithiwe mpate baba mwingine, ndio maisha yaendelee, na mrithi asipojitokeza, nyumba inasambaratika?.
Unaonaje kama mama yenu, baada ya kumzika baba, aligoma kurithiwa, akagangamala, akasimama imara na kuchukua nafasi ya baba, hivyo akawa kichwa cha nyumba, mama akiwa kichwa, anakuwa yeye ndie baba, ndiye mama!
Rais ndie kichwa na nchi, kafa, Mama ndio kachukua urais, je ni kichwa au sio kichwa?. Kwa vile kuwa kichwa its the role na sio kile kiungo cha jinsia, kichwa akiwa mwanaume anaitwa baba, ni masculine title, kama Amiri ni masculine title, feminine tiltle ya Amiri ni Amirati, Rais Samia ni Amirijeshi Mkuu, na sio amirati!.
The same applies to Chairman wa CCM, title chairman is masculine title, feminine yake ni chairwoman, Rais Samia ni chairman wa CCM!, na sio chairwoman!.
Hata tukipata Gorvenor wa BOT mwanamke, bado ataitwa Gavana wa BOT, japo gorvenor ni masculine tiltle ,feminine yake ni gorverness
P