n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Anatafuta uteuzi kwa kumdhalilisha Bibi, tangu lini mwanamke akawa Baba kama sio upunguani ni nini?Mhm huyu "baba" huyu.. Let me reserve my comment! But seriously speaking kumpa cheo cha ubaba ni in any way ni kuidhalilisha hii jinsia.. Pascal sijui umewaza nini
Asante kwa kuni rekebisha mkuu, sikujua ku chapia ni uongo wa makusudi.Mkuu Intelligent businessman , wewe kweli intelligent, you have eye fr details, sio nimechapia, bali nimekosea, kuchapia ni kuweka uongo wa makusudi. Asante sana!, ungekuwa journalist, ungekuwa editor!.
P
Ili nyumba isimame, lazima kichwa kiwepo, baba ndie kichwa cha nyumba, ikitokea amekufa, what happened to nyumba yenu?, mtasubiri mama yenu arithiwe mpate baba mwingine, ndio maisha yaendelee, na mrithi asipojitokeza, nyumba inasambaratika?.Dah pascal bana, baba kweli..? Sikuungi mkono kwa hili
Sina mfumo dume ila niamini baba ni baba tuu na mama ni mama tuu.
Ahsante
Asante sana Mkuu Robert Heriel Mtibeli, mwanzo ulikuwa unajiita taikon wa fasihi, wewe kweli ni taikon wa fasihi, wafunze madogo humu!, tunapozungumzia baba kichwa, tunazungumzia baba mamlaka sio baba kibaolojia kile kiungo cha jinsia!.Kifalsafa upo Sahihi.
Nafikiri Mada hii umezungumzia kifalsafa zaidi.
Kwenye falsafa kuna kipera cha Logic (Mantiki) ambapo kwenye Lugha hasa isimu kuna kitu inaitwa Semantic.
Baba maana yake ni enye nguvu, chanzo, mtoaji(mhudumiaji), Mamlaka, hodari n.k.
Kwa Mantiki hiyo mtu yeyote mwenye nguvu, chanzo,au mtoaji na mwenye Mamlaka, mwenye nguvu huyo ni Baba.
Kibaolojia, Baba ni Maumbile
Ahsante kwa ufafanuziIli nyumba isimame, lazima kichwa kiwepo, baba ndie kichwa cha nyumba, ikitokea amekufa, what happened to nyumba yenu?, mtasubiri mama yenu arithiwe mpate baba mwingine, ndio maisha yaendelee, na mrithi asipojitokeza, nyumba inasambaratika?.
Unaonaje kama mama yenu, baada ya kumzika baba, aligoma kurithiwa, akagangamala, akasimama imara na kuchukua nafasi ya baba, hivyo akawa kichwa cha nyumba, mama akiwa kichwa, anakuwa yeye ndie baba, ndiye mama!
Rais ndie kichwa na nchi, kafa, Mama ndio kachukua urais, je ni kichwa au sio kichwa?. Kwa vile kuwa kichwa its the role na sio kile kiungo cha jinsia, kichwa akiwa mwanaume anaitwa baba, ni masculine title, kama Amiri ni masculine title, feminine tiltle ya Amiri ni Amirati, Rais Samia ni Amirijeshi Mkuu, na sio amirati!.
The same applies to Chairman wa CCM, title chairman is masculine title, feminine yake ni chairwoman, Rais Samia ni chairman wa CCM!, na sio chairwoman!.
Hata tukipata Gorvenor wa BOT mwanamke, bado ataitwa Gavana wa BOT, japo gorvenor ni masculine tiltle ,feminine yake ni gorverness
P
Asante sana Mkuu Robert Heriel Mtibeli, mwanzo ulikuwa unajiita taikon wa fasihi, wewe kweli ni taikon wa fasihi, wafunze madogo humu!, tunapozungumzia baba kichwa, tunazungumzia baba mamlaka sio baba kibaolojia kile kiungo cha jinsia!.
P
Ngoja nasi tukupeleke ikuluShukrani Sana Mkuu
Ngoja nasi tukupeleke ikulu
Hahaha ume wasahau boys to men, haya mwenzio huyu NAMBA MOJA AJAYE NCHINI