Je wajua kwamba Allah kwenye Quran anasema anahitaji kunusuriwa?

Je wajua kwamba Allah kwenye Quran anasema anahitaji kunusuriwa?

Jielimishe kwanza

Surat Ibrahim – 14:4
maandiko katika Qur’an yanayoeleza wazi kwamba Mtume Muhammad (ﷺ) alitumwa kwa watu wote, si kwa Waarabu pekee.

Qur'an Surah Saba (34:28):
"Na hatukukupeleka ila kwa watu wote, uwe mbashiri na mwonyaji..."
(Qur'an 34:28)

Qur'an Surah Al-Anbiya (21:107):
"Wama arsalnaaka illa rahmatan lil’aalamin"
"Na hatukukupeleka ila kuwa rehema kwa walimwengu wote."

Qur'an Surah Al-A’raf (7:158):
"...Mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu nyote..."

Maandiko haya yanaonesha wazi kwamba Mtume Muhammad (ﷺ) alitumwa kwa ulimwengu mzima, tofauti na Mitume wengine waliotumwa kwa mataifa yao tu.

Huyu ndio katumwa kwa watu wote

Hakuna kona kona
 
Unaelewa maana ya Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa Israel

Hapa Yesu anasisitiza kwamba si jamii nyingine ila waisrael tu!
Unaelewa maana ya maneno haya baada ya Yesu kufufuka ?

“Basi enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; mkiwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi.”



Hii ni amri ya wazi kutoka kwa Yesu ya kupeleka injili kwa kila taifa, si kwa Wayahudi peke yao
 
Unaelewa maana ya Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa Israel

Hapa Yesu anasisitiza kwamba si jamii nyingine ila waisrael tu!
Hili ni tamko la wazi kabisa kutoka kwa Yesu mwenyewe baada ya kufufuka akieleza mpangilio wa kueneza Injili:
✔ Ujumbe uanze Yerusalemu,
✔ Kisha uende kwa mataifa yote.

Luka 24:46-47

“Akawaambia, Ndivyo ilivyoandikwa, kwamba Kristo atateswa na kufufuka siku ya tatu; na kwamba matengenezo na ondoleo la dhambi vitaubiriwa kwa jina lake kwa mataifa yote, kwanza kuanzia Yerusalemu.”
 
maandiko katika Qur’an yanayoeleza wazi kwamba Mtume Muhammad (ﷺ) alitumwa kwa watu wote, si kwa Waarabu pekee.

Qur'an Surah Saba (34:28):
"Na hatukukupeleka ila kwa watu wote, uwe mbashiri na mwonyaji..."

(Qur'an 34:28)

Qur'an Surah Al-Anbiya (21:107):
"Wama arsalnaaka illa rahmatan lil’aalamin"

"Na hatukukupeleka ila kuwa rehema kwa walimwengu wote."

Qur'an Surah Al-A’raf (7:158):
"...Mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu nyote..."


Maandiko haya yanaonesha wazi kwamba Mtume Muhammad (ﷺ) alitumwa kwa ulimwengu mzima, tofauti na Mitume wengine waliotumwa kwa mataifa yao tu.

Huyu ndio katumwa kwa watu wote

Hakuna kona kona
Muhammad sio mtume wa Mungu Yehova ,Mungu wa Israel

Kwanza elezea hilo ,Mungu wa kweli hajawahi kutuma nabii muarabu

Sijui unalifahamu hili ?
 
Hili ni tamko la wazi kabisa kutoka kwa Yesu mwenyewe baada ya kufufuka akieleza mpangilio wa kueneza Injili:
✔ Ujumbe uanze Yerusalemu,
✔ Kisha uende kwa mataifa yote.

Luka 24:46-47

“Akawaambia, Ndivyo ilivyoandikwa, kwamba Kristo atateswa na kufufuka siku ya tatu; na kwamba matengenezo na ondoleo la dhambi vitaubiriwa kwa jina lake kwa mataifa yote, kwanza kuanzia Yerusalemu.”
Biblia ni mjumuisho wa vitabu wa waandishi mbali mbali,hiyo sio injili

Injili ya Yesu ndio ya kuaminiwa
 
Muhammad sio mtume wa Mungu Yehova ,Mungu wa Israel

Kwanza elezea hilo ,Mungu wa kweli hajawahi kutuma nabii muarabu

Sijui unalifahamu hili ?
Unaanza upuuzi wako mapema kabisa,kwahiyo kuna mungu wa israel?
 
Unaanza upuuzi wako mapema kabisa,kwahiyo kuna mungu wa israel?
Upuuzi?

Au hujui Mungu wa kweli alijifunua kupitia Israel kwanza ,wengine wote walikuwa wapagani

Au umekaririshwa mungu wa kiarabu Allah ndiye wa kweli ?

Ndio maana nasema umefundishwa uislamu kwa upande mmoja ,kaa hapa uujue upande wa pili
 
Ni wazi unataka kunikimbia,

Maana huna na huwezi kuleta ushahidi hata tone wa kuwepo dini ya Uislamu kabla ya Muhammad
Wewe ndio utakimbia hapa

Naomba tuendelee baadae,mida ya kwenda kuswali swala ya ujumaa bro!

Endelea kujipanga bro!

Baadae......
 
Upuuzi?

Au hujui Mungu wa kweli alijifunua kupitia Israel kwanza ,wengine wote walikuwa wapagani

Au umekaririshwa mungu wa kiarabu Allah ndiye wa kweli ?

Ndio maana nasema umefundishwa uislamu kwa upande mmoja ,kaa hapa uujue upande wa pili
Nitarudi kaa kwa kutulia,naenda ktk ibada ya ijumaa

Jipange bro!
 
Wewe ndio utakimbia hapa

Naomba tuendelee baadae,mida ya kwenda kuswali swala ya ujumaa bro!

Endelea kujipanga bro!

Baadae......
Yaani hakuna dini nyepes kuijadili kama uislamu maana ni dini ya juzi, imekuja imekuta Kuna historia ,imekuta vitabu vipo kama biblia ,teknolojia

Ni dini imekuja na uzushi wake mwingi ambao unaumbuliwa na sayansi,AKIOLOJIA na historia

NI dini ya juzi lakin Haina hata manuscript moja ya Quran 😂

Uislamu ni dini ya kutungwa ,
 
Usicheze na Mnyazi Mngu,kama hukuelewa vizuri kitabu kitakatifu mtafute mtu mwenye Ilimu akusaidie,sawa?
Kitabu kitakuwa Quran tu? 😁😁😁😁 Kuikosoa Biblia huwa hamjiulizi ila kwenye Quran huwa mnajitoa ufahamu
Covax njoo huku ujibu
 
Back
Top Bottom