Je wajua kwamba Allah kwenye Quran anasema anahitaji kunusuriwa?

Je wajua kwamba Allah kwenye Quran anasema anahitaji kunusuriwa?

Kwahiyo ukiona Mungu ana tukanwa tukae kimya kwamba Mungu ajitetee mwenyewe basi hakukuwa na sababu ya kuja manabii maana Mungu angejitangaza mwenyewe.
Ndio maanake hana uwezo wa kujitetea nyie waumini ndio mumtetee
 
Qur'an sio kitabu cha kukichambua kwa matamanio yako

Ss tunaenda na ushahidi hatufuati dini kibubusa

Mm naielewa vzr dini yangu na hakuna mkristo yyte wa kunichallenge imani yangu labda muislamu mwenzangu tena anofuata misingi sahihi aniongezee elimu
😁😁😁😁
Ila kuichambua Biblia Takatifu wala haina shaka😁😁😁😁
Vipi kuhusu mabikra 72 ni kweli Allah atatoa?
 

Attachments

  • downloadfile-1.png
    downloadfile-1.png
    627.4 KB · Views: 21
Poleni wasio Waarabu mnao ikubali hii Dini:
Tuli ingizwa tu kwa kutawaliwa na Waarabu:
Allah is a Satan 100%
Hapa ndio umemaliza kila kitu,hizi dini zote sio ukristo wala uislamu sio asili ya muafrika
 
Nyie fanyeni mzaha na maneno ya Mwenyezi Mungu hapa duniani, lakini nawaambia kila mmoja wenu atayajutia haya maupuuzi anayoyafanya pale tu roho itakapoachana na mwili.
Endeleeni kutiana moyo hapa duniani na endeleeni na mizaha na mambo ya Mwenyezi Mungu, lakini jua fika kuwa kaburini utaingia peke yako na kuulizwa utaulizwa peke yako, hautakuwa na msaada wala kutiana moyo kama mnavyofanya hapa duniani.

Haya niliyo waambia hapa ipo siku mtayakumbuka, hopefully it will
Nyie fanyeni mzaha na maneno ya Mwenyezi Mungu hapa duniani, lakini nawaambia kila mmoja wenu atayajutia haya maupuuzi anayoyafanya pale tu roho itakapoachana na mwili.
Endeleeni kutiana moyo hapa duniani na endeleeni na mizaha na mambo ya Mwenyezi Mungu, lakini jua fika kuwa kaburini utaingia peke yako na kuulizwa utaulizwa peke yako, hautakuwa na msaada wala kutiana moyo kama mnavyofanya hapa duniani.

Haya niliyo waambia hapa ipo siku mtayakumbuka, hopefully it will be too late
Peleka ujinga wako huko,eti utajutia siku ya mwisho ,wewe ndio utakumbuka haya tunayokuambia utakapokufa
 
Ss wewe aliyekutuma uwe kafiri ni nani?
Unajiona mjanja sana kwa kuuabudu mzimu wa Waarabu:
Sifa ya Mzimu ni kuwa unasikia lugha moja tu ya watu wake:

Unaposema kuwa Babu zako walikuwa makafiri kwakuwa hawakuuabudu mzimu wa Kiarabu unashangaza sana:

Ni bora ungeuheshimu mzimu wa Babu zako:
Kuliko kujipendekeza na mizimu ya kabila lingine:
Au Kabila lenu halina Mzimu ?
 
Nyie fanyeni mzaha na maneno ya Mwenyezi Mungu hapa duniani, lakini nawaambia kila mmoja wenu atayajutia haya maupuuzi anayoyafanya pale tu roho itakapoachana na mwili.
Endeleeni kutiana moyo hapa duniani na endeleeni na mizaha na mambo ya Mwenyezi Mungu, lakini jua fika kuwa kaburini utaingia peke yako na kuulizwa utaulizwa peke yako, hautakuwa na msaada wala kutiana moyo kama mnavyofanya hapa duniani.

Haya niliyo waambia hapa ipo siku mtayakumbuka, hopefully it will be too late
Kwamba na mm nitaulizwa maswali kwa kiarabu?!,,hamjitambui nyie wafuasi wa mud mnafuata mila za jamii nyingine mnaacha za kwenu huo si ujinga
 
Unajiona mjanja sana kwa kuuabudu mzimu wa Waarabu:
Sifa ya Mzimu ni kuwa unasikia lugha moja tu ya watu wake:

Unaposema kuwa Babu zako walikuwa makafiri kwakuwa hawakuuabudu mzimu wa Kiarabu unashangaza sana:

Ni bora ungeuheshimu mzimu wa Babu zako:
Kuliko kujipendekeza na mizimu ya kabila lingine:
Au Kabila lenu halina Mzimu ?
Bangi hazitokusaidia
 
Hapa kuna tatizo naliona miongoni mwenu,mnashindwa kutofautisha Uislamu na Uarabu

Ebu nichangamshe akili yako kidogo, Yesu alitumwa kwa watu wa Israel,je wakristo wa leo watakuwa wanaiga au kutaka kuwa kama waisrael?
Mm nimesimamia hapo 👇👇👇 usinichanganye na hao wagalatia wala waarabu wa kuchovya,kwahiyo wala huhitaji kunichangamsha ubongo kama unavyosema
 

Attachments

  • FB_IMG_1735456749437.jpg
    FB_IMG_1735456749437.jpg
    52.8 KB · Views: 19
Hata ingekua wewe kwa kichapo kilichotembezwa na Israel usingeomba unusuriwe?
Miungu yote ambayo imejaribu kupambana na Mungu wa Israel huishia kuomba po.
 
Kwa upande wangu nimeshangaa sana kuona Mungu Allah anahitaji wanadamu wamnusuru. Kwa yeyote anayejua naomba msaada wa kuielewa hii Aya,

47:7
Enyi mlioamini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu.

Allah ana matatizo gani ambayo anahitaji wanadamu wamnusuru?
Kwenye mambo gani anahitaji tumnusuru! Tuelekezane wakuu namna ya kumnusuru Allah.
Hii hapa ni tafsiri ya Surah Muhammad, Aya ya 7 (Qur'an 47:7) kwa Kiswahili:

"Enyi mlioamini! Ikiwa mtamsaidia Mwenyezi Mungu, Yeye atakusaidieni na atayafanya imara miguu yenu."
(Qur'an 47:7 – Tafsiri ya Al-Am
in)
 
Hapa kuna tatizo naliona miongoni mwenu,mnashindwa kutofautisha Uislamu na Uarabu

Ebu nichangamshe akili yako kidogo, Yesu alitumwa kwa watu wa Israel,je wakristo wa leo watakuwa wanaiga au kutaka kuwa kama waisrael?
1. Marko 16:15

“Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.”
(Biblia – Marko 16:15, Union Version)



2. Mathayo 28:19-20

“Basi enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu; mkiwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.”



Maana:

Yesu aliwapa wanafunzi wake agizo la mwisho kabla ya kupaa mbinguni — kuwaendea mataifa yote duniani, kuwahubiria Injili, kuwabatiza, na kuwafundisha kufuata mafundisho ya Kristo. Huu ndio msingi wa kazi ya kimisionari ya Kikristo duniani kote.
 
Kwanza sio dhumuni langu kwamba nikitoa majibu nataka mtu haelewe mara moja,huenda kuna mazingira yakafanya iwe hivyo

Tafsir ni tofauti na lugha halisi iliyokuja na qur'an,kwahiyo kwenye tafsir tegemea uwepo au matumizi ya maneno mbali mbali lkn kubwa yote yanatufikisha katika lengo moja

Mfano inasema Allah anamswalia Mtume,hapa si sahihi kwasababu haiwezekani Allah akamswalia Mtume ila humtakia rehema mja wake,huo ni mfano tu

Turudi kwenye swali lako,Allah hapa anakusudia kwamba kama watu hawakutakuwa tayar kufuata maagizo yake au amri zake,basi hana haja nao kwakuwa yeye sio mhitaji useme kwamba ataathirika kwa chochote,ila anaweza leta watu wengine ambao ambao watamnusuru/kumsaidia/kufuata maamrisho yake na hukumu zake
Kwa kuwa hutaki tujadiliane ok poa.....ila hata hiyo Aya umeweka ya mfano kwamba Mungu anamswalia Muhammad, huko ni kumkosea Mungu. Mungu hawezi kumtakia Rehema mwanadamu, Rehema anazo yeye Kisha amtakie mtume Rehema, anamtakia kutoka kwa nani?

Mimi nikisema nakutakia wewe kheri ni kwamba nakutakia kutoka kwa Mungu. Sasa Mungu naye anamtakia mtume Rehema kutoka kwake mwenyewe?

Ni sawa mwanao anahitaji pesa ya matumizi Kisha mimi na wewe tumuombee pesa kwako. Inakuingia akilini hiyo? Yaani wewe umuombee pesa mwanao kutoka kwako mwenyewe. It's funny 😂.
 

Kwa upande wangu nimeshangaa sana kuona Mungu Allah anahitaji wanadamu wamnusuru. Kwa yeyote anayejua naomba msaada wa kuielewa hii Aya,

47:7
Enyi mlioamini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu.

Allah ana matatizo gani ambayo anahitaji wanadamu wamnusuru?
Kwenye mambo gani anahitaji tumnusuru! Tuelekezane wakuu namna ya kumnusuru Allah.
Surah Muhammad (47:7)
 
M
Hata ingekua wewe kwa kichapo kilichotembezwa na Israel usingeomba unusuriwe?
Miungu yote ambayo imejaribu kupambana na Mungu wa Israel huishia kuomba po.
Mungu WA Israel ndo anaetengeneza B-2, f35, David sling, arrow 3, Au niwatu Tena kutoka USA,
 
Back
Top Bottom