Je wajua kwamba Allah kwenye Quran anasema anahitaji kunusuriwa?

Je wajua kwamba Allah kwenye Quran anasema anahitaji kunusuriwa?

Haijakosewa ila kusudio ni rehema,kama huelewi sio tatizo langu

Asante
Kusudio ni rehema wakati ineandikwa swala nazidi kukudharau ficha upumbavu wako,yani mimi niseme nimesafiri kwa bodaboda halafu wewe uje useme kusudio ni gari sio bodaboda
 
Kwanza naomba ambao tunajadiliana tuwe na subira nitajibu hoja ya mtu mmoja mmoja maana nimekuta notification kama zote

Bwana hamis77 sasa ngoja nikupe shule

Nilikuuliza unaelewa nini kuhusu Uislamu,matokeo yake ukaleta porojo tu hapa

Uislamu ni :


Maana ya Uislamu:

Uislamu ni dini inayomaanisha “kujisalimu (kujisalimisha) kwa Mwenyezi Mungu kwa unyenyekevu, kwa utiifu na kwa amani.”

Neno "Islam" linatokana na neno la Kiarabu "Salaama", ambalo lina mizizi ya maana ya amani, usalama, na kujitoa kwa Mwenyezi Mungu.

Kwa hiyo, Muislamu ni mtu anayejisalimisha kwa Mwenyezi Mungu kwa moyo wa unyenyekevu, anamtii na kuishi kwa amani na viumbe wote.

Uislamu ni dini ya:
  • Tauhidi (kumwamini Mungu mmoja)
  • Uadilifu
  • Huruma
  • Amani


Natumaini umeelewa sasa expert wangu
 
Kwamba na mm nitaulizwa maswali kwa kiarabu?!,,hamjitambui nyie wafuasi wa mud mnafuata mila za jamii nyingine mnaacha za kwenu huo si ujinga
Sawa, bila shaka utayakumbuka haya, na wala si mbali. wewe endelea na masikahara, endelea kucheka kwa muda mfupi kwani utalia kwa karne nyingi.
 
Bwana hamis77 ulisema Mitume wote hawakuwa waislamu

Baada ya kukupa shule nini maana ya Uislamu, utagundua kwamba Mitume wote kuanzia baba wa imani Ibrahimi alikuwa Muislamu kwasababu hakumwabudu yoyote isipo kuwa Mungu mmoja,na Mitume wote waliofuatia walikuwa waislamu kwa itikadi hiyo hiyo

Hata Yesu naye alikuwa Muislamu kwa maana alinyenyekea kwa Mungu Mmoja,msome hapa:

Yesu (amani iwe juu yake), katika maandiko ya Biblia, alifundisha waziwazi kuhusu Mungu mmoja wa kweli. Alimuelekeza watu kumwabudu Mungu aliye juu, si yeye mwenyewe. Hapa ni baadhi ya mafundisho yake:

1. Marko 12:29
Yesu alisema:
"Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja."
Hii ni nukuu ya amri ya kwanza (Deuteronomio 6:4), ikisisitiza kwamba Mungu ni mmoja tu.

2. Yohana 17:3
Yesu aliomba kwa Mungu akisema:
"Na uzima wa milele ndio huu: wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma."
Hapa Yesu anajitofautisha na Mungu, akimtambua Mungu kama wa pekee na wa kweli.

3. Yohana 20:17
Yesu alimwambia Maria Magdalena:
"Ninapanda kwenda kwa Baba yangu na Baba yenu, kwa Mungu wangu na Mungu wenu."
Yesu mwenyewe alimuita Mungu wake "Mungu wangu", akithibitisha kuwa yeye ni mja na si Mungu.

Hitimisho:
Yesu alifundisha Tauhidi (umoja wa Mungu), kama Mitume waliomtangulia kama Ibrahim (Abraham) na Musa (Moses). Mafundisho haya yanafanana na Uislamu, ambapo tunamjua Mungu mmoja, Allah, asiye na mshirika.


Wakristo wote leo nawasilimisha
 
Huwezi kuutofautisha uislam na uarabu,ni mjinga pekee atakaesema uislamu sio uarabu na ndio maana kila mnachofanya lazima kifananie uarabu
Ondoa ujinga basi kidogo

Huu ndio Uislamu:

Maana ya Uislamu:

Uislamu ni dini inayomaanisha “kujisalimu (kujisalimisha) kwa Mwenyezi Mungu kwa unyenyekevu, kwa utiifu na kwa amani.”

Neno "Islam" linatokana na neno la Kiarabu "Salaama", ambalo lina mizizi ya maana ya amani, usalama, na kujitoa kwa Mwenyezi Mungu.

Kwa hiyo, Muislamu ni mtu anayejisalimisha kwa Mwenyezi Mungu kwa moyo wa unyenyekevu, anamtii na kuishi kwa amani na viumbe wote.

Uislamu ni dini ya:
  • Tauhidi (kumwamini Mungu mmoja)
  • Uadilifu
  • Huruma
  • Amani

 
Kaburini kuna kuulizana maswali sio?inaulizwa maiti isiyojua chochote,hamtumii akili hata kidogo kujua maiti haiwezi kufanya lolote,nyie kobazi mnaamini kila kitu tu
Sawa, kila mtu ataingia kwenye kaburi lake mwenyewe endeleeni kupeana moyo
 
1. Marko 16:15


(Biblia – Marko 16:15, Union Version)



2. Mathayo 28:19-20





Maana:

Yesu aliwapa wanafunzi wake agizo la mwisho kabla ya kupaa mbinguni — kuwaendea mataifa yote duniani, kuwahubiria Injili, kuwabatiza, na kuwafundisha kufuata mafundisho ya Kristo. Huu ndio msingi wa kazi ya kimisionari ya Kikristo duniani kote.
Kuna sintofahamu kubwa sana kuhusu maagizo ya Yesu kwenda kwa mataifa mengine

Kwanza Yesu aliamini katika Mungu mmoja:

Yesu (amani iwe juu yake), katika maandiko ya Biblia, alifundisha waziwazi kuhusu Mungu mmoja wa kweli. Alimuelekeza watu kumwabudu Mungu aliye juu, si yeye mwenyewe. Hapa ni baadhi ya mafundisho yake:

1. Marko 12:29
Yesu alisema:
"Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja."
Hii ni nukuu ya amri ya kwanza (Deuteronomio 6:4), ikisisitiza kwamba Mungu ni mmoja tu.

2. Yohana 17:3
Yesu aliomba kwa Mungu akisema:
"Na uzima wa milele ndio huu: wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma."
Hapa Yesu anajitofautisha na Mungu, akimtambua Mungu kama wa pekee na wa kweli.

3. Yohana 20:17
Yesu alimwambia Maria Magdalena:
"Ninapanda kwenda kwa Baba yangu na Baba yenu, kwa Mungu wangu na Mungu wenu."
Yesu mwenyewe alimuita Mungu wake "Mungu wangu", akithibitisha kuwa yeye ni mja na si Mungu.

Hitimisho:
Yesu alifundisha Tauhidi (umoja wa Mungu), kama Mitume waliomtangulia kama Ibrahim (Abraham) na Musa (Moses). Mafundisho haya yanafanana na Uislamu, ambapo tunamjua Mungu mmoja, Allah, asiye na mshirika.


Lakini baadae anaonekana Yesu tena anasema ienee mataifa mengine kwa kubaatizwa kwa jina la baba,mwana na roho mtakatifu,tusome hapa:

Yesu (amani iwe juu yake) alinukuliwa katika Biblia akisema kwamba ujumbe ufikie mataifa yote, hasa baada ya kufufuka kwake, kama ilivyoandikwa katika:

Mathayo 28:19–20
"Basi enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu, na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru..."



Hata hivyo:
Kabla ya hapo, huduma ya Yesu ilikuwa maalumu kwa Wana wa Israeli. Alisema:
"Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli." (Mathayo 15:24)


Je Unataka kuniambia Yesu ni kigeugeu,yani amwamini Mungu mmoja halafu aje tena aamini nafsi tatu au ushirikina?
 
Kwani ni wewe umeitwa fala hadi uchukie?,au ndio kumnusuru allah kwenyewe?
Ndiyo, uhuru tulionao tutumie vizuri Hao manabii walio pita walikua waki watukakana masanamu na miungu watu walio ikuta ?
Anaeona simungu sahihi atoehoja asifungue mlango wa matusi sikwamba wengine hawawezi kutukana ila wanajizuia na huko ndiko kuelimika
Katika Quran 16:125, inasema=>

"Wa id'u ila sabeeli rabbika bil hikmati wal mau'idhati alhasanati wajadilhum bil lati hiya ahsanu."

Tafsiri yake ni =>"Mwite watu kwenye njia ya Mola wako kwa hikima na mawaidha mazuri, na jadiliana nao kwa njia iliyo bora."

Aya hii inasisitiza umuhimu wa kuwaita watu kwa hekima na mazungumzo mazuri, na inatufundisha jinsi ya kujadiliana kwa njia ya heshima na busara na hayo ndiyo mafundisho ya manabii wote ninao wafahamu.
 
Kwa kuwa hutaki tujadiliane ok poa.....ila hata hiyo Aya umeweka ya mfano kwamba Mungu anamswalia Muhammad, huko ni kumkosea Mungu. Mungu hawezi kumtakia Rehema mwanadamu, Rehema anazo yeye Kisha amtakie mtume Rehema, anamtakia kutoka kwa nani?

Mimi nikisema nakutakia wewe kheri ni kwamba nakutakia kutoka kwa Mungu. Sasa Mungu naye anamtakia mtume Rehema kutoka kwake mwenyewe?

Ni sawa mwanao anahitaji pesa ya matumizi Kisha mimi na wewe tumuombee pesa kwako. Inakuingia akilini hiyo? Yaani wewe umuombee pesa mwanao kutoka kwako mwenyewe. It's funny 😂.
Maana ya rehema:
Rehema ni *hali ya kuonyesha huruma, msamaha, upole,

Kwa Kiarabu, neno “Rahma” (rehema) lina mizizi moja na jina la Allah – Ar-Rahman (Mwingi wa rehema) na Ar-Rahim (Mrehemevu). Hii inaonyesha kwamba rehema ni sifa kuu ya Mwenyezi Mungu.



Mtume Muhammad (ﷺ) alisema:
"Mwenye kuonyesha rehema kwa watu, Mwenyezi Mungu humrehemu." (Hadith - Tirmidhi)

Naona umeona maana ya rehema,kabla hujadhihaki jielimishe kwanza
 
Aya ndo ipo hivo, unaona ajabu eee! NAMI pia nimeshangaa kama ambavyo na wewe huamini kwamba Aya ipo hivo. Fungua Quran usome, au huna?
Quran haijaandikwa kwa kiswahili ndugu tafsiri yako ya kunusuriwa umeitoa wapi??
 
Kusudio ni rehema wakati ineandikwa swala nazidi kukudharau ficha upumbavu wako,yani mimi niseme nimesafiri kwa bodaboda halafu wewe uje useme kusudio ni gari sio bodaboda
Umeshinda wewe,are you happy now?

Amini unachoamini expert wangu

Asante
 
Nilichotaka kujua ni maana ya hiyo aya. Sio kwamba nilitaka kujua ni Aya ya ngapi.

Surah Muhammad, verse 7 (47:7) in the Quran states: "O believers! If you help Allah, He will help you and make your foothold firm." This verse emphasizes that those who actively support the cause of Islam and work towards its principles will receive divine assistance and steadfastness.
Here's a more detailed explanation:
"O believers!":
This is an address to those who have accepted the faith of Islam, signifying that the verse is directed towards them.
"If you help Allah...":
This phrase refers to supporting the religion of Islam, defending it, and working to establish its principles in the world. It's not that Allah needs human help, but rather that those who strive to uphold His message will be rewarded with His support.
"...He will help you...":
This part of the verse promises divine assistance to those who actively support Islam. This help can manifest in various ways, including strength, guidance, and success in their endeavors.
"...and make your foothold firm.":
This signifies that those who support Allah will be granted steadfastness and perseverance in their faith and actions. They will be less likely to waver or be swayed by doubt or adversity.
In essence, Surah Muhammad (47:7) is a call to action for believers, encouraging them to actively participate in the propagation and defense of Islam, promising them divine support and steadfastness in return.
 
Sawa, bila shaka utayakumbuka haya, na wala si mbali. wewe endelea na masikahara, endelea kucheka kwa muda mfupi kwani utalia kwa karne nyingj

Sawa, bila shaka utayakumbuka haya, na wala si mbali. wewe endelea na masikahara, endelea kucheka kwa muda mfupi kwani utalia kwa karne nyingi.
Jitahid kuficha ujinga wako bado kwenye ubongo wako umebaki na yale matisho uliyotishwa huko madrasa na mashekh wa mchongo
 
Back
Top Bottom