Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,772
- 32,649
MASWALI YALIOPO MEZANI NI HAYA:Mtu akishakuja na anachokiamini ni ngumu kukuamini kma yule anokaribia kutapeliwa
{ وَعِبَادُ ٱلرَّحۡمَـٰنِ ٱلَّذِینَ یَمۡشُونَ عَلَى ٱلۡأَرۡضِ هَوۡنࣰا وَإِذَا خَاطَبَهُمُ ٱلۡجَـٰهِلُونَ قَالُوا۟ سَلَـٰمࣰا }
[Surah Al-Furqān: 63]
Na waja wa Arrahman Mwingi wa Rehema ni wale wanao tembea ulimwenguni kwa staha, na wajinga wakiwasemeza hujibu: Salama!
Kwaheri
Wacha uongo wewe jibu haya maswali
1)shetani ibilisi yule aliye laaniwa laana ya milele ni dini gani?
2)je Muhammad kabla ya miaka 40 alikuwa dini gani au kafiri.
3)je Muhammad alisilimu au akusilimu ?
4)muongozo wa mwisho wa Mungu ni kitabu cha injili kabla ya msahafu kuja je Muhamad kabla ya kupewa msahafu je Muhammad alifuata muongozo upi ulio mwezesha kufikia daraja ya kupewa utume au alikuwa KAFIRI NA UKAFIRI UKAMFIKISHA DARAJA YA UTUME 🙄 ? Kama utatumia akili wote walio kuwa mitume walifuata muongozo wa kitabu vya nyuma yao sasa je Muhammad alikuwa ni mnasala na kwa huo kufikia daraja ya kupewa utume ? Kama siyo je muhamadi alifuata kitabu gani ikiwa akufuata injili ? Je utume wa Muhammadi msingi wake ulikuwa ni kitabu gani kabla ya kuupata? Utume na kupewa msahafu ? Ertugrul Bey FaizaFoxy adriz Malaria 2 Mufti kuku The Infinity