Je wajua kwamba Allah kwenye Quran anasema anahitaji kunusuriwa?

Je wajua kwamba Allah kwenye Quran anasema anahitaji kunusuriwa?

Qur'an sio kitabu cha kukichambua kwa matamanio yako

Ss tunaenda na ushahidi hatufuati dini kibubusa

Mm naielewa vzr dini yangu na hakuna mkristo yyte wa kunichallenge imani yangu labda muislamu mwenzangu tena anofuata misingi sahihi aniongezee elimu
Acha maneno mengi,amehitaji msaada wa kueleweshwa mueleweshe,kumbe allah hana nguvu yeyote ya kujitetea
 
Huna majibu ,kabla ya Muhammad hakuna ushahidi hata wakuokoteza paliwahi kuwepo uislamu,
Unaelewa nini kuhusu uislamu

Kuna mtu alinicomend nijadiliane na wewe,baada ya mpuuzi mmoja kushindwa mjadala

Ngoja nione je,nawe ni tofauti au ndio kama wapuuzi wengine
 
Ukiona Mungu anasikia Lugha moja tu ujue huo ni mzimu wa hilo kabila:
Mungu wa Wangoni anasikia lugha ya Kingoni tu:
Ukimwomba kwa Lugha ya Kibena hasikii kabisa na ni marufuku:
Allah ni mzimu wa Kabila la Kiarabu kwakuwa anasikia Lugha ya Kiarabu tu:
Ndugu zetu wa proud to be kwani wanaelewa basi hilo,hata ukristo sio imani za waafrika
 
Tofauti kubwa kati ya ukristo na Uislamu ni kua wakristo wamemfanya mtume wa Allah kua ni Muabudiwa wao lkn sio kweli bali huyo wanaemuita yesu ni mtume tu alietumwa kwa wana wa israel

Allah ndie anaestahiki kuabudiwa kwa haki

Wakristo wamepotea njia tu sio kma hawajui wanachokifanya bali wanatakiwa waelekezwe njia sahihi tu sio kama dini nyengine
Huyo allah huwezi kumuita kwa lugha yako mpaka utumie lugha ya kiarabu?
 
Mtu wa Dini nyingine ukiishi katika nchi ya Kiislamu unalazimishwa kufanya mambo matatu:
1. Kulipa kodi ya Jazya
2. Kusilimu
3. Kuuliwa ukishindwa kutimiza mambo mawili hapo juu:
Na hiyo kodi wao ndio wanao ipangia kiasi cha kulipa na huwa inapanda kadri wanavyotaka:
Hapo wengi hulazimika kusilimu hasa watu maskini ili kukwepa hizo suluba tatu:
Hivyo kwenye nchi za Kiislamu asiye kuwa mwislamu hatakiwi kuishi humo:
Kwa mujibu wa Allah na mtume wake Muhammadi:
Ss wewe aliyekutuma uwe kafiri ni nani?
 
Kwa upande wangu nimeshangaa sana kuona Mungu Allah anahitaji wanadamu wamnusuru. Kwa yeyote anayejua naomba msaada wa kuielewa hii Aya,

47:7
Enyi mlioamini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu.

Allah ana matatizo gani ambayo anahitaji wanadamu wamnusuru?
Kwenye mambo gani anahitaji tumnusuru! Tuelekezane wakuu namna ya kumnusuru Allah.
kama kweli lengo lako ni kutaka kuelewa,
mung hakuomba msaada wa binadamu na wala haimaanishi ulivyomaanisha wewe!
ALLAH hajaomba msaada kwenye hiyo aya
ALLAH ameawaahidi walioamini atawalipa kama wataisambaza dini(uislamu)
yaani mkisambaza dini basi nitawalipa zaidi(wale wa jihadi pia wanatokea kwenye aya hii)
na ALLAH anajua zaidi
NB: KAMA KWELI LENGO LAKO NI KUTAKA KUJUA BASI HII INAWEZA KUA MWANZO WA KUELEWA HIYO AYA......
AYA NYINGINE zinazolingana na hiyo ni 2:40
 
Sipo hapa kukulazimisha kuelewa kama hutaki kuelewa

Asante
Ndugu hatubishani, wewe leta hoja yako uone kama unaeleweka ama hapana. Kama hutaki kujadiliana ni sawa pia maana kila mtu ana hulka yake.
 
Nimejaribu kusoma kwa kiarabu nikaona hiyo ni tafsiri tu inafanya maana ihame
ILA alichomaanisha; Ukitenda mema, Allah atakulipa mema!
Kumbe hawa watafsiri wa kiswahili ndo wamezingua sasa au sio mkuu!
 
Kwa upande wangu nimeshangaa sana kuona Mungu Allah anahitaji wanadamu wamnusuru. Kwa yeyote anayejua naomba msaada wa kuielewa hii Aya,

47:7
Enyi mlioamini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu.

Allah ana matatizo gani ambayo anahitaji wanadamu wamnusuru?
Kwenye mambo gani anahitaji tumnusuru! Tuelekezane wakuu namna ya kumnusuru Allah.
Mkuu mi nataka kujua tu hiyo tafsiri ya kumnusuru imetoka wapi? na je ni kweli hiyo aya imetaja kunusuriwa??
 
Ndugu hatubishani, wewe leta hoja yako uone kama unaeleweka ama hapana. Kama hutaki kujadiliana ni sawa pia maana kila mtu ana hulka yake.
Huwa napenda sana majadiliano ya busara na hekima,nisichopenda ni matusi na kuvunjiania heshima

Sijaona baya kwako,wala hatubishani ila ninapoona hakuna muelekeo wa kusikilizana naona bora nikae kimya
 
Back
Top Bottom