Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Katika wakristo ambao kidogo wanaweza kujitahidi kufanya mjadala nawe upo kwa kiasi fulaniKwanza inaonekana dini yako huijui , CHATGPT itakupoteza, halafu kabla hujamzushia Yesu na manabii wengine kuwa walikuwa dini ya waislamu,twende taratibu ,nimeona hapo unatumia Biblia kutaka kupotosha ,Vema ...., kabla sijaingia kwenye majibu ya hoja zako, nataka nikuulize swali moja rahisi
Je, unaamini Biblia kama Neno la Mungu?
Kama jibu lako ni ndio,maana umetumia hapo kupotosha , basi tutatumia Biblia kama msingi wa kuelewa Yesu ni nani, alifundisha nini, na kama kweli alikuwa Muislamu au la.
Sasa tuje kwenye hoja zako
Kwanza Uislamu si jina la imani ya mitume wote, bali ni dini iliyoanza karne ya 7 A.D.,ni dini iliyokuja na Muhammad,kabla ya hapo hakuna na hakukuwahi kuwepo dini au imani ya Uislamu,kama unabisha leta ushahidi wa kihistoria,kiakolojia au kimaandiko ..
Ni kweli mitume waliomtangulia Muhammad walimwabudu Mungu mmoja Tena aitwaye YWHW.
Lakini hilo halimaanishi kwamba walikuwa Waislamu, kwa maana ya kufuata dini ya Uislamu kama tunavyoifahamu leo.
Biblia haijawahi kumuita Abrahamu, Musa au Yesu kuwa "Waislamu" kwa jina hilo,kama una Aya au maandiko yaweke hapa
Dini ya Uislamu ulikuja na Muhammad, hivo huwezi kuwaita waliomtangulia kwa jina ambalo halikuwepo wakati wao.
Huo ni upotoshaji wa kihistoria.
Yesu hakuwahi kufuata Uislamu, bali alifuata sheria za Kiyahudi na kumtaja Mungu kama Baba., hii ni kwa Mujibu wa maandiko ambayo yapo kabla ya Muhammad kuja na uislamu
Nimeona umenukuu Yohana 20:17 “Ninapanda kwa Baba yangu na Baba yenu, kwa Mungu wangu na Mungu wenu.”
Ndugu yangu, hapa Yesu anaonesha uhusiano wa karibu sana kati yake na Mungu anamuita Baba, kitu ambacho Uislamu unakikataa kabisa.
Qur’an inasema:
"Hapana mtoto wa Mungu..." (Surah Al-Ikhlas 112:3)
Uislamu unamkataa Mungu kuwa Baba wa mtu yeyote. Lakini Yesu alifundisha mara kwa mara kumuita Mungu Baba,Umeona ulivyojichanganya ,unatumia Biblia kutaka kupotosha
Mathayo 6:9: Yesu anasema “Baba yetu uliye mbinguni...”
Yohana 14:9 Yesu anasema “Aliyeniona mimi amemwona Baba.”
Kwa hiyo, Yesu alikuwa na mafundisho tofauti na ya Kiislamu aliyokuja nayo nabii wa uongo Muhammad kuhusu asili ya Mungu.
Yesu pia alifundisha kwamba yeye ni zaidi ya nabii alidai Uungu.,Yesu sio nabii tu, Kwanza tofautisha Yesu na tapeli Issa wa Quran ,
Katika Yohana 10:30, Yesu alisema:
“Mimi na Baba tu umoja.”
Wayahudi walipoisikia hiyo, walitaka kumpiga kwa mawe kwa sababu alijifanya sawa na Mungu. (Yohana 10:33)
Je, nabii wa kawaida au Muislamu angeweza kusema hivyo? NAJUA HUWEZI KUJIBU HILI
Pia Yohana 1:1,14 inasema
“Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwa kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu... Neno akafanyika mwili...”
Huu ni ushahidi wa wazi kwamba Yesu ni Mungu aliyefanyika mwili jambo ambalo Uislamu hulikataa kabisa.
Kuhusu Marko 12:29 Yesu alithibitisha Mungu ni mmoja, lakini si kwamba yeye hakuwa Mungu.
Umoja wa Mungu (Tauhidi) haupingani na Utatu Mtakatifu.
Katika Ukristo, Mungu ni mmoja, aliye katika nafsi tatu: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.
Hii ni tofauti na “Tauhidi” ya Kiislamu inayomkana Yesu kuwa Mungu.
Yesu kufundisha Mungu mmoja haimaanishi yeye hakuwa Mungu – bali alikuwa sehemu ya huo Umoja mmoja wa Kimungu (Divine Unity).
.Yesu hakuwahi kufuata nguzo za Uislamu kama Shahada, Swala ya Kiislamu, Saumu ya Ramadhan, Zaka ya Kiislamu, wala Hija.,kama una ushahidi wowote weka hapa
Hizi nguzo tano za Kiislamu zilikuja baada ya Yesu, na hazikuwahi kufundishwa naye.
Yesu alifundisha kutubu dhambi, kupenda adui, msamaha na msalaba. Hakuwahi kufundisha kupigana vita kwa jina la dini.
Ertugrul Bey naomba uje ujibu hoja sio kukimbia hoja ,
"Ni kuutumia moyo, ulimi, na matendo yote kwa ajili ya kuinusuru Dini ya Allah."
"Kama utakusudia kuinusuru Dini ya Allah kwa ikhlasi, basi Allah atakupa nusura katika maisha haya na Akhera."
“Mkinisaidia Mimi (yaani Dini yangu), Mimi nitawasaidia – si kwa maneno tu bali kwa vitendo: nitawapa ushindi, nitawalinda, na nitawafanya msitetereke.”
Nitaendelea kukujibu kadri ninavyoweza ,maana ni wazi waislamu hamtaki kutoka nje ya box ,hamtaki Kuhoji Imani yenu kuona kwanini imekuwa hivi na sio vile ,Expert wangu kwani katika hoja zangu niliwahi sema ukikubali uumbaji wa Mungu ndio kujisalimisha au ndio kuitwa muislamu?
Iblis alileta kiburi kwa kukataa agizo la Allah la kumtaka amsujudie Adam alayhi salamu sijida ya heshima sio ya ibada,maana kusujudu ni kwa ajili ya Allah peke yake
Kwahiyo kitendo cha kukataa kwasababu yeye alijiona bora kwakuwa ameumbwa kwa miale ya moto na sisi kwa udongo kukamponza
Akahukumiwa kuingia motoni
Nitajibu hoja za awali kabla ya hizi mpya ambazo unazileta baada ya mimi kujibu,kwahiyo kuwa na subira,Bey atajibu hoja zote
Uislamu wangu sijajifunza kwenye chatgpt, Uislamu ulianza kabla ya chatgpt, kwahiyo ebu huwe unaenda kwenye hoja za msingi,chatgpt inasaidia tu kukusanya data chap,wenzio kitabu chetu tunakisoma kila siku,kwanza tunakisoma kwenye swala zetu mara tano kwa siku,kisha tunaendelea kukisoma kupata mawaidha na mafundisho ya AllahKwanza inaonekana dini yako huijui , CHATGPT itakupoteza, halafu kabla hujamzushia Yesu na manabii wengine kuwa walikuwa dini ya waislamu,twende taratibu ,nimeona hapo unatumia Biblia kutaka kupotosha ,Vema ...., kabla sijaingia kwenye majibu ya hoja zako, nataka nikuulize swali moja rahisi
Je, unaamini Biblia kama Neno la Mungu?
Kama jibu lako ni ndio,maana umetumia hapo kupotosha , basi tutatumia Biblia kama msingi wa kuelewa Yesu ni nani, alifundisha nini, na kama kweli alikuwa Muislamu au la.
Huo usomaji wa moja kwa moja(literal interpretation) unakuwaje?Muda wa porojo haupo ndugu, jikite kwenye hoja na mada
Sikutumia ISIS kama kipimo cha Uislamu mzima, bali nilisema wazi kuwa vitendo vyao vinaendana moja kwa moja na baadhi ya Aya na Hadith za Kiislamu. Wao hawatungi sheria, wanatekeleza zilizoandikwa. Mfano:
Qur’an 9:5
"Waue washirikina popote mnapowakuta..."
Qur’an 8:12
"Nitatie hofu katika nyoyo za waliokufuru, wapigeni juu ya shingo..."
Sahih Muslim 1:33
"Nimeamrishwa nipigane na watu mpaka washuhudie kuwa hakuna mungu ila Allah..."
Sasa swali ni Je, ISIS walitunga aya hizi au wanazitekeleza?
Hata viongozi wa ISIS wamesema,
"Tunaleta Khilafa kwa kufuata Qur’an na Sunnah za Muhammad."
Hii haimaanishi kila Muislamu ni gaidi lakini inamaanisha maandiko yao yanaruhusu au hata kuamuru vitendo vya kimabavu dhidi ya wasioamini, na mtu yeyote anayetaka kuchukua maandiko hayo kwa usomaji wa moja kwa moja (literal interpretation) ataishia kama ISIS.
Hata wewe ukiyatumia maandiko vizuri ya Quran na hadithi lazima uwe GAIDI
Dini ya Allah ina mauzauza tu,Allah huyo anaswali
AL-FAATIH'A - 1
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.
AL-FAATIH'A - 2
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote;
AL-FAATIH'A - 3
Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu;
AL-FAATIH'A - 4
Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo.
AL-FAATIH'A - 5
Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada.
AL-FAATIH'A - 6
Tuongoe njia iliyo nyooka,
AL-FAATIH'A - 7
Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea.
..........
Mnusuruni Allah enyi watu na majini mlio amini:
Allah anataka kuongozwa njia iliyo nyooka:
Na ana ahidi kumwabudu na kumwomba msaada Mungu wake:
Watakuja humu na kusema "hizo Aya ukisoma kwa Kiarabu hazisemi hivyo, hapo anaye zungumza ni Jibrili au Muhamadi, kwa Kiarabu nao wanatumia nafsi ya uwingi ( sisi tunakuabudu)
Hapo walikuwa Gibrili na Muhammadi"
Kwa taarifa yako
OkSiyo wasomi wa Quran, bali wenye elimu ya 'fiq'hi', yaani tafsiri sahihi na maana ya misemo iliyomo humo. Kusoma tu tuko wengi tunaoweza kusoma na hata kufasiri aya kwa kiswahili kama zilivyotafsiriwa 'word by word', lakini ukumbuke kile ni kiarabu cha karne ya nane na ni kiarabu cha kabila la Quraish la Mtume (SAW). Hii ni sawa na lugha ya kiswahili cha Muyaka bin Haji (sijui umewahi kuona mashairi yake?) ambayo iko tafauti na ile tunayozungumza sasa na ndiyo mana kuna watu wanasoma literature (fasihi) ili kuweza kufanya tafsiri sahihi.
Hata waarabu ni wachache ndiyo wanaoweza kukupa maana halisi ya aya zilizoandikwa kwenye msahafu.
Naona unarudi kule kule ,kwanzaUislamu wangu sijajifunza kwenye chatgpt, Uislamu ulianza kabla ya chatgpt, kwahiyo ebu huwe unaenda kwenye hoja za msingi,chatgpt inasaidia tu kukusanya data chap,wenzio kitabu chetu tunakisoma kila siku,kwanza tunakisoma kwenye swala zetu mara tano kwa siku,kisha tunaendelea kukisoma kupata mawaidha na mafundisho ya Allah
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vya waandishi mbali mbali kuna ambo wanajulikana na wengine hawajulikani,ndio maana wakatoriki walipunguza baadhi kutoka 76 kama sijakosea mpaka kwenye sitini na kitu
Nikijibu swali lako,katika mkusanyiko huo kuna baadhi ni maneno ya Mungu na mengine ni ya watu,bahati mbaya yote mnayachukulia kama maneno ya Mungu, moja ya dotrine yenu ambayo mmeingizwa chaka ni Utatu mtakatifu,walikaa watu wakacoin hiyo ishu mpaka leo mmepotea njia
Umesema nimetumia biblia kupotosha si ndio,je hizi aya hazimo kwenye biblia?
Yesu (amani iwe juu yake), katika maandiko ya Biblia, alifundisha waziwazi kuhusu Mungu mmoja wa kweli. Alimuelekeza watu kumwabudu Mungu aliye juu, si yeye mwenyewe. Hapa ni baadhi ya mafundisho yake:
1. Marko 12:29
Yesu alisema:
"Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja."
Hii ni nukuu ya amri ya kwanza (Deuteronomio 6:4), ikisisitiza kwamba Mungu ni mmoja tu.
2. Yohana 17:3
Yesu aliomba kwa Mungu akisema:
"Na uzima wa milele ndio huu: wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma."
Hapa Yesu anajitofautisha na Mungu, akimtambua Mungu kama wa pekee na wa kweli.
3. Yohana 20:17
Yesu alimwambia Maria Magdalena:
"Ninapanda kwenda kwa Baba yangu na Baba yenu, kwa Mungu wangu na Mungu wenu."
Yesu mwenyewe alimuita Mungu wake "Mungu wangu", akithibitisha kuwa yeye ni mja na si Mungu.
Hitimisho:
Yesu alifundisha Tauhidi (umoja wa Mungu), kama Mitume waliomtangulia kama Ibrahim (Abraham) na Musa (Moses). Mafundisho haya yanafanana na Uislamu, ambapo tunamjua Mungu mmoja, Allah, asiye na mshirika.
Ni kuinusuru njia yake / dini yake. Na huo ni mtihani tu kwa waja wake, yeye hawaitajii viumbe wake lau angetaka angefanya yote mwenyewe.Kwa upande wangu nimeshangaa sana kuona Mungu Allah anahitaji wanadamu wamnusuru. Kwa yeyote anayejua naomba msaada wa kuielewa hii Aya,
47:7
Enyi mlioamini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu.
Allah ana matatizo gani ambayo anahitaji wanadamu wamnusuru?
Kwenye mambo gani anahitaji tumnusuru! Tuelekezane wakuu namna ya kumnusuru Allah.
Angalizo expert wangu: naziajust hizi hoja zako katika namna ambayo nikijibu basi ieleweke najibu hoja gani,zijapunguza andiko lako au kuliondoa hata herufi mojaKwanza Uislamu si jina la imani ya mitume wote, bali ni dini iliyoanza karne ya 7 A.D.,ni dini iliyokuja na Muhammad,kabla ya hapo hakuna na hakukuwahi kuwepo dini au imani ya Uislamu,kama unabisha leta ushahidi wa kihistoria,kiakolojia au kimaandiko ..
Ni kweli mitume waliomtangulia Muhammad walimwabudu Mungu mmoja Tena aitwaye YWHW.
Lakini hilo halimaanishi kwamba walikuwa Waislamu, kwa maana ya kufuata dini ya Uislamu kama tunavyoifahamu leo.
Biblia haijawahi kumuita Abrahamu, Musa au Yesu kuwa "Waislamu" kwa jina hilo,kama una Aya au maandiko yaweke hapa
Dini ya Uislamu ulikuja na Muhammad, hivo huwezi kuwaita waliomtangulia kwa jina ambalo halikuwepo wakati wao.
Huo ni upotoshaji wa kihistoria.
Yesu hakuwahi kufuata Uislamu, bali alifuata sheria za Kiyahudi na kumtaja Mungu kama Baba., hii ni kwa Mujibu wa maandiko ambayo yapo kabla ya Muhammad kuja na uislamu
Hii ni tofauti na “Tauhidi” ya Kiislamu inayomkana Yesu kuwa Mungu.
Yesu hakuwahi kufuata nguzo za Uislamu kama Shahada, Swala ya Kiislamu, Saumu ya Ramadhan, Zaka ya Kiislamu, wala Hija.,kama una ushahidi wowote weka hapa
Hizi nguzo tano za Kiislamu zilikuja baada ya Yesu, na hazikuwahi kufundishwa naye.
Yesu alifundisha kutubu dhambi, kupenda adui, msamaha na msalaba. Hakuwahi kufundisha kupigana vita kwa jina la dini.
**“Baba yetu uliye mbinguni,
Jina lako litukuzwe.
Ufalme wako uje.
Mapenzi yako yatimizwe hapa duniani kama huko mbinguni.
Utupe leo riziki yetu ya kila siku.
Utusamehe deni zetu,
kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea.
Wala usitutie majaribuni,
bali utuokoe na yule mwovu.”**
**Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu.
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola wa walimwengu wote.
Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu.
Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo.
Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada.
Tuongoze njia iliyo nyoofu.
Njia ya wale uliowaneemesha, si ya walioghadhibikiwa wala waliopotea.**
Nilikwambia usitumie CHATGPT nilikuwa namaanisha kubwa ,sababu kwanza inakulemaza ,pili inakupa majibu ambayo ni yale yale ya UPOTOSHAJI wa kila siku ,nilikuwa na maana kubwa tu,Angalizo expert wangu: naziajust hizi hoja zako katika namna ambayo nikijibu basi ieleweke najibu hoja gani,zijapunguza andiko lako au kuliondoa hata herufi moja
Sasa twende kazi,kuna kusoma kama kusoma na kuna kusoma na kuelewa,wewe hujaelewa Uislamu ni nini,kuna tofauti ya Uislamu na nguzo za Uislamu
Uislamu ni kujinyenyekeza chini ya Mwenyezi Mungu Mmoja na kufuata maamrisho yake na kuacha makatazo yake,na nguzo za Uislamu ni sheria au taratibu au misingi ambayo hulibeba jengo la Uislamu
Sasa tangu awali huko Manabii na Mitume wote walikuwa wamenyenyekea chini ya Mungu Mmoja,na kufuata maamrisho yake na kuacha makatazo yake,na wao kama Manabii au Mitume walitangaza Uwepo wa Mungu mmoja na kuwaelimisha wafuasi wao juu ya swala zima la kufuata maamrisho ya Mungu na kuacha makatazo yake
Kilichotofautiana kutoka zama moja mpaka nyingine ni tofauti ya sheria na namna ya kufanya ibada zao,lakini msingi ulikuwa ni mmoja
Hapa chini nitakupa vifungu kuonyesha kushahabiana kwa taratibu na sheria za kufanya ibada na mambo kama hayo,mind you sio lazima yafanane kwa asilmia mia ila kuna mfanano na hii inaonyesha chimbuko linatoka kwa Mungu Mmoja
Tuanze na kutoa shahada au kushuhudia juu ya Mungu mmoja:
1. Shahada (Kushuhudia kuwa hakuna mungu ila Allah na Muhammad ni Mtume wake)
Biblia:
Kumbukumbu la Torati 6:4
“Sikiza, Ee Israeli: Bwana Mungu wetu, Bwana ni mmoja.”
— Yesu pia alinukuu hili katika Marko 12:29
Hii inakaribiana na Tauhidi ya Kiislamu — kumuabudu Mungu mmoja
Tuje sasa kwenye kujitoharisha kabla ya kufanya ibada:
Hapa kuna aya za Biblia zinazohusiana na kujitoharisha (kimwili au kiroho) kabla ya ibada, jambo ambalo pia linasisitizwa katika Uislamu:
---
1. Kutoka 30:17–21
Musa aliambiwa na Mungu atengeneze birika la shaba kwa ajili ya kuosha mikono na miguu ya makuhani kabla ya kuingia kwenye Hema la Kukutania au kutoa sadaka madhabahuni.
“...Aroni na wanawe wataosha mikono yao na miguu yao humo... ili wasife...”
➡ Hii inaonyesha umuhimu wa tohara ya mwili kabla ya ibada.
---
2. Walawi 15:5–11
Katika sheria za Musa, mtu yeyote aliyekuwa najisi (kwa mfano, baada ya kutoka usaha au mgusano na kitu kichafu) alipaswa kuoga kabla ya kushiriki katika ibada au jamii.
---
3. Zaburi 24:3–4
“Ni nani atakayepanda katika mlima wa Bwana? Au ni nani atakayesimama katika patakatifu pake? Ni mtu aliye na mikono safi na moyo mweupe...”
➡ Hii inaonyesha umuhimu wa usafi wa nje (mikono safi) na wa ndani (moyo mweupe).
---
4. Yakobo 4:8
“Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi. Itakaseni mikono yenu, enyi wenye dhambi, na zisafisheni nyoyo zenu...”
➡ Hapa ni usafi wa kimwili na kiroho kabla ya kumkaribia Mungu.
---
Hitimisho:
Biblia inasisitiza usafi wa mwili na wa moyo kabla ya ibada, jambo linalofanana sana na wudhu katika Uislamu.
Tuje kwenye idadi ya kufanya ibada kwa siku:
ulinganisho mfupi wa ibada (sala) kati ya Uislamu na Ukristo, hasa Biblia:
---
1. Idadi ya Sala
Danieli 6:10 – aliomba mara 3 kwa siku.
- Uislamu: Sala 5 kwa siku kwa nyakati maalum.
- Biblia: Haina idadi maalum, lakini sala mara kwa mara inasisitizwa.
1 Wathesalonike 5:17 – “Ombeni bila kukoma.”
---
2. Namna ya Kuswali
Mathayo 26:39 – Yesu alisujudu akaomba.
- Uislamu: Kuna rakaa maalum, kusujudu, kuinama, na kusoma Qur’an.
- Biblia: Kusujudu, kuinama, kuinua mikono, au hata kulia.
Zaburi 95:6 – “Njoni tusujudu, tupige magoti mbele za Bwana.”
---
3. Kusafishwa Kabla ya Sala
Yesu hakupinga usafi, lakini alisisitiza pia usafi wa moyo (Mathayo 23:25–26).
- Uislamu: Wudhu ni lazima kabla ya sala.
- Biblia: Kama tulivyoona, makuhani walitakiwa kuosha miili yao (Kutoka 30:17–21).
---
4. Sala za Faragha na za Pamoja
- Uislamu: Sala za pamoja (jama'a) zina thawabu zaidi, lakini mtu anaweza pia kuswali peke yake.
- Biblia: Yesu aliomba peke yake mara nyingi (Luka 5:16), lakini pia alifundisha wanafunzi wake sala ya pamoja (Mathayo 6:9–13).
---
5. Kusoma Maombi au Kufanya Kwa Hisia
- Uislamu: Kuna vipengele vilivyopangwa (surah, dua), lakini pia pana maombi binafsi (du'a).
Tuje kwenye dua maalumu ya maombi kwa Mwenyezi Mungu,kila nabii alipewa dua maalumu ya kuomba kwa mola wake pamoja na wafuasi wake:
ulinganisho wa Sala ya Bwana (Yesu) katika Mathayo 6:9–13 na Surah Al-Fatiha, ambazo zote ni sala kuu katika Ukristo na Uislamu:
---
1. Mathayo 6:9–13 – Sala ya Bwana (Yesu)
---
2. Surah Al-Fatiha (1:1–7)
---
Mlinganisho wa Kina:
| Kipengele | Sala ya Yesu | Surah Al-Fatiha |
|-----------|----------------|------------------|
| Kumtaja Mungu kwa heshima | “Baba yetu uliye mbinguni” | “Kwa jina la Mwenyezi Mungu…” |
| Kutukuza Jina la Mungu | “Jina lako litukuzwe” | “Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu…” |
| Kumtaka Mungu kutawala/kuongoza | “Ufalme wako uje… mapenzi yako…” | “Tuongoze njia iliyo nyoofu” |
| Kuomba riziki | “Utupe leo riziki yetu” | (Fatiha haina riziki moja kwa moja, lakini inaanza na sifa kwa Mola wa walimwengu – mwenye kutoa riziki) |
| Kuomba msamaha | “Utusamehe deni zetu…” | (Haiko wazi, lakini kuomba uongozwe njia sahihi ni sehemu ya msamaha) |
| Kuomba ulinzi dhidi ya uovu | “Utuokoe na yule mwovu” | “Si ya walioghadhibikiwa wala waliopotea” |
---
Hitimisho:
Zote ni sala za msingi, zenye kuonyesha:
- Utukufu wa Mungu,
- Utegemezi wa binadamu kwa Mungu,
- Uongofu na msamaha,
- Ulinzi dhidi ya maovu.
Tuje kwenye kufunga/swaumu na zaka:
Zaka (Toleo la mali kwa wenye uhitaji)*
Biblia:
Mathayo 6:1–4
Yesu alifundisha kutoa kwa maskini kwa siri na kwa moyo wa upendo.
Pia: Kumbukumbu la Torati 14:28-29 – inazungumzia utoaji wa sehemu ya mapato kwa maskini.
---
Saumu (Funga ya Ramadhani)*
Biblia:
Mathayo 6:16–18
Yesu alisema: “Mnapofunga, msiwe kama wanafiki...”
Pia: Luka 4:2 – Yesu alifunga siku 40.
Sasa expert wangu nimekupa mifano kadhaa kuonyesha ushahabiano wa chimbuko la asili la dini ya Uislamu,kwa maana ya kujinyenyekeza kwa Mungu mmoja na kufuata maamrisho yake na makatazo yake
Sasa Uislamu huu ambao unauona kwa Mtume wa mwisho ambaye ni Muhammad swalla aallah alaih wasallamu ni hitimisho la dini moja ambayo ilianza toka huko zamani na kupitia vipindi tofauti kutokana na uhitaji wa wakati huo
Tuangalie aya ifuatayo:
"Leo nimewakamilishieni dini yenu, na nimewatimizieni neema yangu juu yenu, na nimewapendeleeni Uislamu uwe dini yenu."
Kwa Kiarabu:
"ٱلۡيَوۡمَ أَكۡمَلۡتُ لَكُمۡ دِينَكُمۡ وَأَتۡمَمۡتُ عَلَيۡكُمۡ نِعۡمَتِي وَرَضِيتُ لَكُمُ ٱلۡإِسۡلَٰمَ دِينٗا..."
(Surat Al-Ma'idah 5:3)
Maana yake: Hii ni miongoni mwa aya za mwisho kabisa kushuka, ikimwambia Mtume Muhammad (ﷺ) na Waislamu kwamba Uislamu sasa umekamilika – sheria, ibada, maadili, na mwongozo wa maisha yote.
Lakini pamoja na kuwa na dini nyingi hapa duniani,Allah anasema hakika dini bora kabisa mbele yake ni Uislamu
Tuangalie aya hii:
Aya inayosema kwamba dini bora (au ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu) ni Uislamu inapatikana katika Surat Aali ‘Imran (3:19):
"Hakika dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu..."
Kwa Kiarabu:
"إِنَّ ٱلدِّينَ عِندَ ٱللَّهِ ٱلۡإِسۡلَٰمُ..."
---
Na katika Aali ‘Imran (3:85), Qur’an inaongeza kwa kusisitiza:
"Na anayefuata dini isiyokuwa Uislamu, haitakubaliwa kwake, na huko Akhera atakuwa miongoni mwa wenye khasara."
Kwa Kiarabu:
"وَمَن يَبۡتَغِ غَيۡرَ ٱلۡإِسۡلَٰمِ دِينٗا فَلَن يُقۡبَلَ مِنۡهُ وَهُوَ فِي ٱلۡأٓخِرَةِ مِنَ ٱلۡخَٰسِرِينَ"
---
Maana:
Uislamu ni njia kamili ya kuishi iliyoletwa na Mitume wote – kuanzia kwa Nuhu, Ibrahim, Musa, Isa hadi Muhammad (SwallaLlahu ‘alayhi wa sallam) – na ndiyo njia iliyokubaliwa na Mwenyezi Mungu.
Sasa yeyote ambaye hatofuata Uislamu kwa maana ya kumwabudu Mungu mmoja na kufuata maamrisho yake na kuacha.makatazo yake ni Motoni
Expert wangu kwa leo naishia hapa,kesho nitaendelea kujibu hoja zako,ila nitamalizia za awali kisha zitafuata mpya
Asante.
Usomaji wa moja kwa moja (literal interpretation) ni mtazamo au njia ya kuelewa maandiko au maandishi fulani kwa kuyachukulia kama yalivyo yameandikwa.Huo usomaji wa moja kwa moja(literal interpretation) unakuwaje?
Kwa hiyo usahihi wake ni upi?Usomaji wa moja kwa moja (literal interpretation) ni mtazamo au njia ya kuelewa maandiko au maandishi fulani kwa kuyachukulia kama yalivyo yameandikwa.
utakwenda wewe jitayarishe tuKumbe Allah nae anaenda jehanamu au sio
Yap ndivyo ilivyo na Haina kupepesa macho kama alikua anamuombea Mohammed unadhani atakwepa kuingia Jehanum? Labda atubu na kumrudia Mungu:Kumbe Allah nae anaenda jehanamu au sio
“Hell will keep saying, ‘Is there any more? Is there any more?’ until the Lord of Glory places His Foot upon it, and it will say, ‘Enough! Enough! By Your Glory and Your Honour!’ And it will shrink into itself.”Kumbe Allah nae anaenda jehanamu au sio
Kwenye Qur'an unapotoa tafsiri ni lazima useme tafsiri hiyo kaitoa nani? Yaani; ni nani Imam aliyetoa tafsiri hiyo?!SAWA, hapo nimesoma ila bado nahitaji unielekeze zaidi. Kwa nini unataka ukitoa maelezo mara moja yaeleweke kirahisi.
Swali linalokuja hapo ni kwamba,
Mungu anasema anataka kunusuriwa halafu hilo neno kunusuriwa mnalitoa mnaweka kusaidiwa. SAWA, twende hivo, Mungu anataka msaada wa kueneza dini yake. Kisha baadae mnasema Mungu hana haja na usaidizi wa mwanadamu. Hapo huoni kwamba yanahitajika maelezo mazuri zaidi ili mtu aelewe?