Je wajua kwamba Allah kwenye Quran anasema anahitaji kunusuriwa?

Je wajua kwamba Allah kwenye Quran anasema anahitaji kunusuriwa?

Kwenye Qur'an unapotoa tafsiri ni lazima useme tafsiri hiyo kaitoa nani? Yaani; ni nani Imam aliyetoa tafsiri hiyo?!

Imma awe muislamu au asiwe muislamu hawezi kutuambia mimi ninavyooona...hakuna mimi ninavyoona!

Mtume anasema: "Mtu aliyesoma kwenye kitabu cha Mwenyezi Mungu akatumia rai yake, mapema makazi yake ajiandae motoni."

Ni lazima useme tafsiri hii ni ya Ibn Kathir. Au ni tafsiri ya Imam Suyutwi. Au tafsiri ya Imam Baydhwawi. Au tafsiri ya Imam Qurtubi. Au tafsiri ya Imam Ibn Jarir Attwabari.

Ukitoa maana ya aya kwa maana tafsiri kwa kuwanukuu hao maimam, ndiyo enhee! Hapo tutakuona tunaenda sawasawa.

Lakini si useme tu mimi ninavyoona, unavyoona wewe ni nani? Qur'an tafsiri zake zimeshasemwa. Qur'an imeshasema waulizeni wanaojua (wanawachuoni) ikiwa ninyi hamjui! Wafasiri wa Qur'an wapo maalumu.

Kwanza lichokinukuu wewe kwenye hiyo aya si tafsiri ni tarjuma. Tarjuma ni kuhamisha maneno ya kiarabu kupeleka kwenye lugha ambayo si ya kiarabu. Imma Kiswahili au Kiingereza au Kikorea n.k

Hivyo, ukitaka tukuelewe tunukilie kwa maimam maalumu wa kutafsiri Qur'an wameitafsiri vipi hiyo aya. Mbali na hapo utakuwa unapiga porojo!
Maelezo yako mazuri sana ndugu. Nataka kujua kutoka kwako, hao uliowataja wao ni nani kiasi kwamba utafsiri wao iwe ndo jambo la kuaminika? Walikuwepo na mtume wakati anazungumza na akawatafsiria ndo na wao wanatutafsiria?

Ikiwa ni watu tu ambao hata hawajawahi kukutana na mtume na wamezaliwa miaka ya baadae ya uwepo wa Quran inawezekana vipi wao wachukuliwe kwamba mawazo Yao ndo yapo sahihi?

Ok, niende na vile utakavyo, vipi hao watu wana mtazamo mmoja kwa kila Aya au kila mmoja ametafsiri kwa jinsi alivyoelewa yeye? Ikiwa kila mmoja ametafsiri kivyake ni yupi tutafata tafsiri zake! Au kila mmoja ataamua yeye afate tafsiri ya yeyeote kati ya hao?

Tukirudi kwenye mada yangu, mimi nimendika hiyo Aya kutoka kwenye Quran ya kiswahili, sasa sijui kama mtafsiri alikosea maneno ama yupo sahihi, nilichokifanya ni kuweka Aya jinsi ilivyo. Ikiwa we unaona amekosea tuletee Aya halisi ya kiarabu Kisha weka tafsiri kwa kiswahili unachokiamini halafu tufafanulie.
 
Yap ndivyo ilivyo na Haina kupepesa macho kama alikua anamuombea Mohammed unadhani atakwepa kuingia Jehanum? Labda atubu na kumrudia Mungu:

“Hell will keep saying, ‘Is there any more? Is there any more?’ until the Lord of Glory places His Foot upon it, and it will say, ‘Enough! Enough! By Your Glory and Your Honour!’ And it will shrink into itself.”
— [Sahih al-Bukhari 4850; Sahih Muslim 2848]
Nakubaliana na wewe, Allah makazi yake ni jehanamu iwakayo moto.
 
utakwenda wewe jitayarishe tu
Mi nimemuuliza jamaa hapo juu amesema Allah anaenda jehanamu. Sasa kama na mimi naenda sio mbaya kama Mungu anataka niende huko.....ila Muhammad ni uhakika ana moto wake wa pekee kwa kuharibu ulimwenguni
 
hamis77 utaratibu wangu ni kumalizana na hoja za awali kisha zinafuata mpya

Ila kuna namna naona unatafuta njia ya kujitetea au kukimbia mjadala

Unalalamika kuhusu Chatgpt kuwa sijui inaleta propaganda za kiislamu,mara mimi sijui uislamu wangu nategemea chatgpt

Ningekuelewa kama ungesema chatgpt inaleta vifungu vya biblia ambavyo havipo au maandiko yanakuja nje ya mada,hapo ningekuelewa

Mara huseme siamini biblia lakini natumia vifungu vyake,nilisema kuna baadhi ya maneno ya Injili ya Yesu ambayo ndio maneno ya Mungu na mengine ni ya waandishi

Nilikwambia toka awali chatgpt inanisaidia kuleta data fasta na mpangilio,sasa maana ya matumizi ya tekinolojia ni nini?

Nilikwambia toka awali ujipange kwa mambo mengi ikiwemo ikiwemo kuyasikia usiyo yapenda

Pili,tufanye mimi sijui uislamu wangu na wewe ndio unaujua

Tatu,kwenye mjadala hatafutwi mshindi hapa,bali tunajadiliana na kushare ideas,kwahiyo kama kuna vipele kwako ni mtihani vipotezee tu

Twende kazi,naendelea niliposhia expert wangu
 
hamis77 utaratibu wangu ni kumalizana na hoja za awali kisha zinafuata mpya

Ila kuna namna naona unatafuta njia ya kujitetea au kukimbia mjadala

Unalalamika kuhusu Chatgpt kuwa sijui inaleta propaganda za kiislamu,mara mimi sijui uislamu wangu nategemea chatgpt

Ningekuelewa kama ungesema chatgpt inaleta vifungu vya biblia ambavyo havipo au maandiko yanakuja nje ya mada,hapo ningrkuelewa

Nilikwambia toka awali chatgpt inanisaidia kuleta data fasta na mpangilio,sasa maana ya matumizi ya tekinolojia ni nini?

Nilikwambia toka awali ujipange kwa mambo mengi ikiwemo ikiwemo kuyasikia usiyo yapenda

Pili,tufanye mimi sijui uislamu wangu na wewe ndio unaujua

Tatu,kwenye mjadala hatafutwi mshindi hapa,bali tunajadiliana na kushare ideas,kwahiyo kama kuna vipele kwako ni mtihani vipotezee tu

Twende kazi,naendelea niliposhia expert wangu
Mimi nikukimbie wewe usiyetumia akili na elimu kujadili uislamu huu ambao ni dini ya juzi tu ?

Toka awali nilikwambia na nimekuhoji ila ni wazi huna elimu kuhusu dini yako zaidi ya kukariri tu,

Ndio maana nilikuuliza unaiamini biblia ,ukaleta hoja dhaifu mara imetiwa mikono mara sio maneno yote ya Mungu, lakini sijaona ukijenga hoja kuwa unatambuaje haya ni maneno ya Mungu na haya sio

Bali unaokota Aya unazoona zinakusaidia kwa hoja zako ,kwa kupotosha

Hilo sio jambo jipya ,ndio maana nikijadili na waislamu wasomi Huwa nawauliza awali kabisa ,na wengi wanakwama hapo , maana ukisema biblia imetiwa mikono tutakuomba Original ,

Cha ajabu unatumia hiyo hiyo biblia kutaka kuonesha uislamu ulikuwepo kabla ya muhamad,

Ndugu aibu naona Mimi ,ujue hata historia tu inakutaa ,kabla ya muhamad hapajawahi kuwepo dini ya Uislamu

Nenda kasome hata historia ya wanazuoni wa kiislamu ,

Mwanazuoni maarufu wa Kiislamu Al-Tabari (838–923 CE), katika Tārīkh al-Rusul wa’l-Mulūk, anasema wazi kwamba Muhammad ndiye aliyepokea Qur’an na kuanzisha umma wa Kiislamu kwa mara ya kwanza. Kabla yake, jamii ya Waarabu walikuwa washirikina, wakiabudu masanamu (kama Hubal, Al-Lāt, Al-‘Uzzā) katika Kaaba, na hawakuwa na dini inayoitwa “Islam.” Hata katika Sira ya Ibn Ishaq, hakuna ushahidi kuwa mtu aliitwa “Muislamu” kabla ya Muhammad.

Aidha, tafsiri ya “Islam” kama “dini ya mitume wote” ni tafsiri ya kisiasa na ya baadae.

Maneno kama “Muslim” na “Islam” hayakuwepo kabla ya Muhammad kwa maana ya kidini.

Kwa mfano, mtaalamu wa Kiislamu Patricia Crone na wengine kama Fred Donner (Profesa wa Historia ya Kiislamu), wanakiri kuwa hakuna ushahidi wa Uislamu uliokuwepo kabla ya miaka ya 610 CE, wakati Muhammad alipoanza kudai ufunuo.

Donner anasema

“The community that Muhammad formed was a new religious movement, not a continuation of an existing one.” (Donner, Muhammad and the Believers, 2010).

Zaidi ya hapo, Qur’an yenyewe haielezi wazi mfumo wowote wa ibada uliokuwa unaitwa “Uislamu” kabla ya Muhammad. Kila Mtume anatajwa kwa jina, lakini hakuna aliyeitwa “Muislamu” kwa maana ya kufuata sheria ya Kiislamu (Sharia, sala tano, kufunga Ramadhan, n.k.). Hizi zilikuja tu kupitia Muhammad.

Hii inaonesha wazi kuwa Uislamu ni dini mpya iliyoanzishwa na mtu mmoja na si mwendelezo wa dini ya mitume waliotangulia.

Hiyo biblia ipo mbali sana na uislamu,ni maji na mafuta ,

Binafsi nikiona najadili na muislamu halafu anataka kuthibitisha madai yake ya Uislamu kwa biblia ,Huwa namuona Bado mchanga sana kwenye imani yake ,hiyo ni mbinu ambayo tulikuwa tunaitumia zaman kwenye mihadhara kuwapata wakristo wasiojua maandiko

Nakusihi kama una sheikh mwenye elimu ya Uislamu niunganishe nae nijadili nae ,napenda sana challenge,wewe naona unarukaruka sana

Hapo sijakuketa kwenye mijadala kama ya jiwe jeusi ,nasaba ya mtume , uislamu kujinasibisha na wayahudi, sijakuketa kwenye issue ya Quran kama ni sahihi au sio,sijakuketa kwenye mjadala wa Roman Catholic kuanzisha uislamu,n.k
 
"إِن تَنصُرُوا اللَّـهَ يَنصُرْكُمْ وَيُثَبِّتْ أَقْدَامَكُمْ"
"Mkiimsaidia Mwenyezi Mungu, Atakusaidieni na kukazilia nyinyi miguuni mwenu."

### Maelezo ya kina:
1. Maana ya kuwa "kumsaidia Mwenyezi Mungu":
- Kuendeleza Dini Yake: Kwa kufuata amri Zake, kudai haki, kusimamisha uadilifu, na kujitolea kwa njia Yake (k.v. kupigana jihad kwa sababu ya kuilinda dini).
- Kumtii Mwenyezi Mungu: Kuishi kwa mujibu wa Qur'an na Sunnah, kuepusha uasi, na kushiriki katika mambo yanayokuza Uislamu.

2. Ahadi ya Mwenyezi Mungu ya kusaidia:
- Usaidizi wa kimwili na kiroho: Mwenyezi Mungu Atawaondoa maadui wenu na kukupa uthabiti katika vita au shida.
- Thabiti katika msimamo wako: Atakufanya uwe imara katika mafundisho ya Kiislamu bila kutetereka.

3. Muktadha wa kisiasa na kihistoria:
- Aya hii iliteremsha wakati wa vita kwa mujibu wa watafsiri kama Ibn Kathir, ikilenga Waislamu waliojipanga kujihami dhidi ya maadui wao. Inasisitiza umuhimu wa kujitolea kwa Mwenyezi Mungu kwa matokeo mazuri duniani na Akhera.

4. Matumizi ya kisasa:
- Kwa mtu binafsi: Kujitoa kwa Mwenyezi Mungu kwa vitendo (k.v. kusali, kutoa sadaka, kufundisha Uislamu) kunaleta baraka na uthabiti.
- Kwa jamii: Umoja na uadilifu katika mambo ya kidini na kijamii husababisha msaada wa Mwenyezi Mungu.

### Mithali ya Qur'an:
Aya hii inafanana na Sura Al-Imran (3:160): *"Mwenyezi Mungu Akitaka kukusaidia, hakuna anayeweza kukushinda.
Hii nimeielewa nikijumlisha na Kwa namna askofu gwajima alivyo eleza naona hipo sawa kabisa japo Mimi ni mkatoliki ila dini zote naona ni sawa tu ndio maana uwa nasikiliza mawaidha na mahubiri bila kubagua na hakika yote nabarikiwa nayo kabisa.
 
Mimi nikukimbie wewe usiyetumia akili na elimu kujadili uislamu huu ambao ni dini ya juzi tu ?

Toka awali nilikwambia na nimekuhoji ila ni wazi huna elimu kuhusu dini yako zaidi ya kukariri tu,

Ndio maana nilikuuliza unaiamini biblia ,ukaleta hoja dhaifu mara imetiwa mikono mara sio maneno yote ya Mungu, lakini sijaona ukijenga hoja kuwa unatambuaje haya ni maneno ya Mungu na haya sio

Bali unaokota Aya unazoona zinakusaidia kwa hoja zako ,kwa kupotosha

Hilo sio jambo jipya ,ndio maana nikijadili na waislamu wasomi Huwa nawauliza awali kabisa ,na wengi wanakwama hapo , maana ukisema biblia imetiwa mikono tutakuomba Original ,

Cha ajabu unatumia hiyo hiyo biblia kutaka kuonesha uislamu ulikuwepo kabla ya muhamad,

Ndugu aibu naona Mimi ,ujue hata historia tu inakutaa ,kabla ya muhamad hapajawahi kuwepo dini ya Uislamu

Nenda kasome hata historia ya wanazuoni wa kiislamu ,

Hiyo biblia ipo mbali sana na uislamu,ni maji na mafuta ,

Binafsi nikiona najadili na muislamu halafu anataka kuthibitisha madai yake ya Uislamu kwa biblia ,Huwa namuona Bado mchanga sana kwenye imani yake ,hiyo ni mbinu ambayo tulikuwa tunaitumia zaman kwenye mihadhara kuwapata wakristo wasiojua maandiko

Nakusihi kama una sheikh mwenye elimu ya Uislamu niunganishe nae nijadili nae ,napenda sana challenge,wewe naona unarukaruka sana

Hapo sijakuketa kwenye mijadala kama ya jiwe jeusi ,nasaba ya mtume , uislamu kujinasibisha na wayahudi, sijakuketa kwenye issue ya Quran kama ni sahihi au sio,sijakuketa kwenye mjadala wa Roman Catholic kuanzisha uislamu,n.k
Umepaniki expert wangu,nilikuona wewe ni tofauti na wenzako kumbe ndio wale wale

Anyway mimi sio mtu wa kusikiliza sana porojo

Nitajikita zaidi kwenye hoja,na sitozipa kipaumbele porojo zako expert wangu,,jipange!
 
Una defensive mechanism nzuri sana za kukimbia mijadala ,

Yaani Mimi nipaniki? Usichojua hakuna dini au imani nyepes kuijadili kama uislamu sababu ni dini ya juzi, ni dini mpya ambayo imekuja watu wanaiona , teknolojia ishaendelea,

Kwahiyo ni dini ambayo unaiweka kwenye kapu la historia tu inajichuja

Hoja nilizokupa hapo juu sio wewe tu Huwa wanazikwepa ,wengi tu,

Maana ujue unajadili na mtu makini ,ukitaka tujadili kwa maandiko ya Biblia ,usikimbilie mbeleni kusema yametiwa mikono, mara zaburi na injili hazipo, mara zipo kwenye Quran, mara zilitiwa mikono

Maana hizo ndio hoja zenu,

Ninapokwambia Uislamu ni dini ya juzi, haijawahi kuwepo kabla ya Muhammad,Nina ushahidi kuanzia historia, AKIOLOJIA,vitabu kabla ya Muhammad,n.k

Unapoleta ushahidi wa kuokoteza Tena kwa biblia ambayo dakika moja mbele ukibanwa vizuri unasema imetiwa mikono ,utaonekana mwendawazimu,

Mfano Mwanazuoni maarufu wa Kiislamu Al-Tabari (838–923 CE), katika Tārīkh al-Rusul wa’l-Mulūk, anasema wazi kwamba Muhammad ndiye aliyepokea Qur’an na kuanzisha umma wa Kiislamu kwa mara ya kwanza. Kabla yake, jamii ya Waarabu walikuwa washirikina, wakiabudu masanamu (kama Hubal, Al-Lāt, Al-‘Uzzā) katika Kaaba, na hawakuwa na dini inayoitwa “Islam.” Hata katika Sira ya Ibn Ishaq, hakuna ushahidi kuwa mtu aliitwa “Muislamu” kabla ya Muhammad.

Aidha, tafsiri ya “Islam” kama “dini ya mitume wote” ni tafsiri ya kisiasa na ya baadae. Maneno kama “Muslim” na “Islam” hayakuwepo kabla ya Muhammad kwa maana ya kidini. Kwa mfano, mtaalamu wa Kiislamu Patricia Crone na wengine kama Fred Donner (Profesa wa Historia ya Kiislamu), wanakiri kuwa hakuna ushahidi wa Uislamu uliokuwepo kabla ya miaka ya 610 CE, wakati Muhammad alipoanza kudai ufunuo. Donner anasema: “The community that Muhammad formed was a new religious movement, not a continuation of an existing one.” (Donner, Muhammad and the Believers, 2010).

Zaidi ya hapo, Qur’an yenyewe haielezi wazi mfumo wowote wa ibada uliokuwa unaitwa “Uislamu” kabla ya Muhammad. Kila Mtume anatajwa kwa jina, lakini hakuna aliyeitwa “Muislamu” kwa maana ya kufuata sheria ya Kiislamu (Sharia, sala tano, kufunga Ramadhan, n.k.). Hizi zilikuja tu kupitia Muhammad. Hii inaonesha wazi kuwa Uislamu ni dini mpya iliyoanzishwa na mtu mmoja na si mwendelezo wa dini ya mitume waliotangulia.

Kwahiyo ndugu yangu ,siwezi kupaniki maana hakuna dini nyepes kuijadili kama uislamu

Hata Quran tu ni ya juzi tu hapa ,imeandikwa hapo Al Azhar University misri, kabla ya hapo Quran haikuwa moja ,ndio maana mfalme Fuad alichoma moto Quran zote 1920 , hata Saudia Arabia wamekuja kukubali hii Quran mwaka 1985,

Ndio maana Hadi kesho hakuna Manuscript au matini ya Uthman popote pale .

Hizi ni Siri ambazo maamuma huwezi kuambiwa ,Bali utakaririshwa tu Quran ilishuka, Quran ni kitabu hakuna shaka ,Quran Ina kila kitu,

Cha ajabu hata jina la mke wa Adam (Hawa) halipo kwenye Quran
 
Bwana hamis77 ulisema Mitume wote hawakuwa waislamu

Baada ya kukupa shule nini maana ya Uislamu, utagundua kwamba Mitume wote kuanzia baba wa imani Ibrahimi alikuwa Muislamu kwasababu hakumwabudu yoyote isipo kuwa Mungu mmoja,na Mitume wote waliofuatia walikuwa waislamu kwa itikadi hiyo hiyo

Hata Yesu naye alikuwa Muislamu kwa maana alinyenyekea kwa Mungu Mmoja,msome hapa:

Yesu (amani iwe juu yake), katika maandiko ya Biblia, alifundisha waziwazi kuhusu Mungu mmoja wa kweli. Alimuelekeza watu kumwabudu Mungu aliye juu, si yeye mwenyewe. Hapa ni baadhi ya mafundisho yake:

1. Marko 12:29
Yesu alisema:
"Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja."
Hii ni nukuu ya amri ya kwanza (Deuteronomio 6:4), ikisisitiza kwamba Mungu ni mmoja tu.

2. Yohana 17:3
Yesu aliomba kwa Mungu akisema:
"Na uzima wa milele ndio huu: wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma."
Hapa Yesu anajitofautisha na Mungu, akimtambua Mungu kama wa pekee na wa kweli.

3. Yohana 20:17
Yesu alimwambia Maria Magdalena:
"Ninapanda kwenda kwa Baba yangu na Baba yenu, kwa Mungu wangu na Mungu wenu."
Yesu mwenyewe alimuita Mungu wake "Mungu wangu", akithibitisha kuwa yeye ni mja na si Mungu.

Hitimisho:
Yesu alifundisha Tauhidi (umoja wa Mungu), kama Mitume waliomtangulia kama Ibrahim (Abraham) na Musa (Moses). Mafundisho haya yanafanana na Uislamu, ambapo tunamjua Mungu mmoja, Allah, asiye na mshirika.

Wakristo wote leo nawasilimisha
Quran ili-copy kwenye Biblia ndiyo maana waislamu wanaamini Injili, Zaburi na Torati kutoka kwenye Biblia Takatifu.
Kumbuka Mungu wa Biblia anatumia lugha yoyote.
Issa naye walimcopy kwa Yesu.
Ukristo ulikuwepo kabla ya Uislamu kwahiyo Uislamu ni wa juzi tu na mambo mengi wameyatoa kwenye Biblia ili watu waone kuwa ni kweli😁😁😁
Yaani mimi nijifunze lugha ya kiarabu ndiyo nisome Quran na nitumie Kiarabu kuswali? 😁😁😁
 
Una defensive mechanism nzuri sana za kukimbia mijadala ,

Yaani Mimi nipaniki? Usichojua hakuna dini au imani nyepes kuijadili kama uislamu sababu ni dini ya juzi, ni dini mpya ambayo imekuja watu wanaiona , teknolojia ishaendelea,

Kwahiyo ni dini ambayo unaiweka kwenye kapu la historia tu inajichuja

Hoja nilizokupa hapo juu sio wewe tu Huwa wanazikwepa ,wengi tu,

Maana ujue unajadili na mtu makini ,ukitaka tujadili kwa maandiko ya Biblia ,usikimbilie mbeleni kusema yametiwa mikono, mara zaburi na injili hazipo, mara zipo kwenye Quran, mara zilitiwa mikono

Maana hizo ndio hoja zenu,

Ninapokwambia Uislamu ni dini ya juzi, haijawahi kuwepo kabla ya Muhammad,Nina ushahidi kuanzia historia, AKIOLOJIA,vitabu kabla ya Muhammad,n.k

Unapoleta ushahidi wa kuokoteza Tena kwa biblia ambayo dakika moja mbele ukibanwa vizuri unasema imetiwa mikono ,utaonekana mwendawazimu,

Mfano Mwanazuoni maarufu wa Kiislamu Al-Tabari (838–923 CE), katika Tārīkh al-Rusul wa’l-Mulūk, anasema wazi kwamba Muhammad ndiye aliyepokea Qur’an na kuanzisha umma wa Kiislamu kwa mara ya kwanza. Kabla yake, jamii ya Waarabu walikuwa washirikina, wakiabudu masanamu (kama Hubal, Al-Lāt, Al-‘Uzzā) katika Kaaba, na hawakuwa na dini inayoitwa “Islam.” Hata katika Sira ya Ibn Ishaq, hakuna ushahidi kuwa mtu aliitwa “Muislamu” kabla ya Muhammad.

Aidha, tafsiri ya “Islam” kama “dini ya mitume wote” ni tafsiri ya kisiasa na ya baadae. Maneno kama “Muslim” na “Islam” hayakuwepo kabla ya Muhammad kwa maana ya kidini. Kwa mfano, mtaalamu wa Kiislamu Patricia Crone na wengine kama Fred Donner (Profesa wa Historia ya Kiislamu), wanakiri kuwa hakuna ushahidi wa Uislamu uliokuwepo kabla ya miaka ya 610 CE, wakati Muhammad alipoanza kudai ufunuo. Donner anasema: “The community that Muhammad formed was a new religious movement, not a continuation of an existing one.” (Donner, Muhammad and the Believers, 2010).

Zaidi ya hapo, Qur’an yenyewe haielezi wazi mfumo wowote wa ibada uliokuwa unaitwa “Uislamu” kabla ya Muhammad. Kila Mtume anatajwa kwa jina, lakini hakuna aliyeitwa “Muislamu” kwa maana ya kufuata sheria ya Kiislamu (Sharia, sala tano, kufunga Ramadhan, n.k.). Hizi zilikuja tu kupitia Muhammad. Hii inaonesha wazi kuwa Uislamu ni dini mpya iliyoanzishwa na mtu mmoja na si mwendelezo wa dini ya mitume waliotangulia.

Kwahiyo ndugu yangu ,siwezi kupaniki maana hakuna dini nyepes kuijadili kama uislamu

Hata Quran tu ni ya juzi tu hapa ,imeandikwa hapo Al Azhar University misri, kabla ya hapo Quran haikuwa moja ,ndio maana mfalme Fuad alichoma moto Quran zote 1920 , hata Saudia Arabia wamekuja kukubali hii Quran mwaka 1985,

Ndio maana Hadi kesho hakuna Manuscript au matini ya Uthman popote pale .

Hizi ni Siri ambazo maamuma huwezi kuambiwa ,Bali utakaririshwa tu Quran ilishuka, Quran ni kitabu hakuna shaka ,Quran Ina kila kitu,

Cha ajabu hata jina la mke wa Adam (Hawa) halipo kwenye Quran
Hapa tunaweza kujadiliana mengi sana,lakini tutatoka kwenye mjadala wetu wa awali,kwa kila maelezo unayoleta yanazua mada mpya

Huwezi kunitoa kwenye reli kirahisi,jipange

Sitojibu tena hizi ngojera zako,usipaniki expert huu mchezo hauhitaji hasira,jipange!
 
Quran ili-copy kwenye Biblia ndiyo maana waislamu wanaamini Injili, Zaburi na Torati kutoka kwenye Biblia Takatifu.
Kumbuka Mungu wala Biblia unatumia lugha yoyote.
Issa naye walimcopy kwa Yesu.
Ukristo ulikuwepo kabla ya Uislamu kwahiyo Uislamu ni wa juzi tu na mambo mengi wameyatoa kwenye Biblia ili watu waone kuwa ni kweli😁😁😁
Yaani mimi nijifunze lugha ya kiarabu ndiyo nisome Quran na nitumie Kiarabu kuswali? 😁😁😁
Kuna wakristo nawaona wananikoti lkn najua tutapotezeana mda tu,sio kwamba sioni comment zao ila mnaleta porojo

Kuna bwana Hamis77 nilimuona awali yupo tofauti na wengi wenu lakini kumbe ukienda nae mbio ndefu anachemka

Asante
 
Hapa tunaweza kujadiliana mengi sana,lakini tutatoka kwenye mjadala wetu wa awali,kwa kila maelezo unayoleta yanazua mada mpya

Huwezi kunitoa kwenye reli kirahisi,jipange

Sitojibu tena hizi ngojera zako,usipaniki expert huu mchezo hauhitaji hasira,jipange!
Nilijua tu huwezi kustick sehemu moja, maana ule ujanja ujanja ulikuwa unafanya ,ndio ulizalisha maswali mengi,

Wewe unadhani hizo hoja nilizokupa zinajibiwa kipropaganda kama mlivyozoea huko mitaani

Ipo hivo kwenye mijadala ya kielimu tunachimba ndani zaidi

Unapokuja kuthibitisha uislamu ulikuwepo kabla ya Muhammad Tena unatumia biblia ,jua unazalisha maswali zaidi ya milion 10

Mimi Nina uzoefu wa mijadala hii sababu nilikuwa muislamu najua mbinu za Uislamu kwenye kupotosha maandiko na kutumia biblia ,

Kwahiyo unachokifanya sio kipya,

Binafsi nataman nipate muislamu anayejenga hoja bila ubabaifu anayeijua dini yake ,na mwenye exposure na elimu ya secular

Ndio maana nimekuomba niletee sheikh unayemuamini

Moja ya kitu najisifia niliukana uislamu ndani ya MSIKITI pale Mji mwema siku ya ijumaa mbele ya MASHEIKH,

Waliniambia hata Yesu alikuwa muislamu,wakitumia Luka 4:16 kuwa aliingia ndani ya sinagogi ,nilikuwa kijana mdogo mwenye ujasiri

Nilipowabana vizuri ,walikosa majibu

Kwahiyo hizo mbinu unazotumia wewe sio ngeni ,
 
Kuna wakristo nawaona wananikoti lkn najua tutapotezeana mda tu,sio kwamba sioni comment zao ila mnaleta porojo

Kuna bwana Hamis77 nilimuona awali yupo tofauti na wengi wenu lakini kumbe ukienda nae mbio ndefu anachemka

Asante
Mimi najua unaniogopa ndio maana imebaki unafanya porojo
 
Kuna wakristo nawaona wananikoti lkn najua tutapotezeana mda tu,sio kwamba sioni comment zao ila mnaleta porojo

Kuna bwana Hamis77 nilimuona awali yupo tofauti na wengi wenu lakini kumbe ukienda nae mbio ndefu anachemka

Asante
😁😁😁😁 Hivi haya ni ya kweli au ni porojo za kuuchafua uislamu?
 
Attachments

  • downloadfile-1.png
    downloadfile-1.png
    627.4 KB · Views: 19
Nimeona umenukuu Yohana 20:17 “Ninapanda kwa Baba yangu na Baba yenu, kwa Mungu wangu na Mungu wenu.”

Ndugu yangu, hapa Yesu anaonesha uhusiano wa karibu sana kati yake na Mungu anamuita Baba, kitu ambacho Uislamu unakikataa kabisa.

Qur’an inasema:
"Hapana mtoto wa Mungu..." (Surah Al-Ikhlas 112:3)

Uislamu unamkataa Mungu kuwa Baba wa mtu yeyote. Lakini Yesu alifundisha mara kwa mara kumuita Mungu Baba,Umeona ulivyojichanganya ,unatumia Biblia kutaka kupotosha

Mathayo 6:9: Yesu anasema “Baba yetu uliye mbinguni...”
Yohana 14:9 Yesu anasema “Aliyeniona mimi amemwona Baba.”

Kwa hiyo, Yesu alikuwa na mafundisho tofauti na ya Kiislamu aliyokuja nayo nabii wa uongo Muhammad kuhusu asili ya Mungu.

Yesu pia alifundisha kwamba yeye ni zaidi ya nabii alidai Uungu.,Yesu sio nabii tu, Kwanza tofautisha Yesu na tapeli Issa wa Quran ,

Katika Yohana 10:30, Yesu alisema:
“Mimi na Baba tu umoja.”
Wayahudi walipoisikia hiyo, walitaka kumpiga kwa mawe kwa sababu alijifanya sawa na Mungu. (Yohana 10:33)

Je, nabii wa kawaida au Muislamu angeweza kusema hivyo? NAJUA HUWEZI KUJIBU HILI

Pia Yohana 1:1,14 inasema
“Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwa kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu... Neno akafanyika mwili...”

Huu ni ushahidi wa wazi kwamba Yesu ni Mungu aliyefanyika mwili jambo ambalo Uislamu hulikataa kabisa.
Expert wangu unatoa hoja nyepesi sana maandiko yanajieleleza yenyewe,unasema Yesu amemuita Mungu baba kwamba inaonyesha ukaribu aliokuwa naye

Yesu kasema kwa baba yangu na baba yenu

Je, alikusudia nini kuwajumlisha na watu wengine?

Kwanini hakusema kwa baba yangu tu?

Hii hoja nayo ni ya kuileta hapa?

Yesu kwenye maandiko amesema ametumwa na Mungu:

Hapa nakuletea aya ya qur'an na biblia

Aya inayothibitisha kuwa Yesu (Isa bin Maryam) alitumwa kwa wana wa Israil inapatikana katika Qur'an:

Surat As-Saff (61:6):
"Na (kumbukeni) Isa bin Maryam aliposema: Enyi wana wa Israil! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu..."

Kwa Kiarabu:
"وَإِذۡ قَالَ عِيسَى ٱبۡنُ مَرۡيَمَ يَٰبَنِيٓ إِسۡرَٰٓءِيلَ إِنِّي رَسُولُ ٱللَّهِ إِلَيۡكُم..."

---

Pia katika Biblia, Yesu mwenyewe anasema:

Mathayo 15:24
"Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli."

---

Hitimisho:
Qur’an na Biblia zote zinaonyesha kuwa ujumbe wa Yesu (amani iwe juu yake) ulielekezwa kwa Wana wa Israeli, si kwa ulimwengu mzima, bali Mtume Muhammad ﷺ ndiye aliyekuja kwa ajili ya wanadamu wote.

Je Yesu alitumwa na nani?

Hapa Yesu anakiri kwamba yeye ni mtu tu au binadamu,tunaona kwenye biblia na qur'an, najua mnampinga Issa wa qur'an,lakini sio tatizo letu ni lenu,mwisho wa siku nyie ndio wenye hasara siku ya kiama

Yesu mwenyewe alieleza wazi kwamba yeye ni mtu aliyepewa mamlaka na Mungu. Hapa kuna aya kadhaa zinazoonyesha hilo:

---

1. Yohana 8:40
"Lakini sasa mnatafuta kuniua, mimi mtu niliyewaambia kweli niliyoisikia kwa Mungu..."

Yesu anajitambulisha kama "mtu" (kwa Kigiriki: anthropos), akisema hana mamlaka binafsi bali anasema aliyosikia kwa Mungu.

---

2. Matendo 2:22
"Enyi watu wa Israeli, sikilizeni maneno haya: Yesu wa Nazareti alikuwa mtu aliyethibitishwa kwenu na Mungu kwa miujiza, maajabu na ishara..."

Mtume Petro anahubiri baada ya Yesu kupaa mbinguni, akisisitiza kuwa Yesu alikuwa mtu aliyethibitishwa na Mungu.

---

3. 1 Timotheo 2:5
"Kwa sababu kuna Mungu mmoja, na mpatanishi mmoja kati ya Mungu na wanadamu, mtu Kristo Yesu."

Hii ni wazi kabisa: Yesu Kristo anatajwa kuwa mtu, si Mungu, na ndiye mpatanishi kati ya Mungu na watu.

---

Hitimisho:
Biblia inathibitisha kuwa Yesu alikuwa mtume, mjumbe na mwanadamu aliyotumwa na Mungu, si Mungu mwenyewe.

Qur'an nayo:

katika Qur’an Yesu (Isa bin Maryam, amani iwe juu yake) anathibitisha kuwa yeye ni mtu (binaadamu) na Mtume, si Mungu. Hii imo kwenye:

Surat Al-Ma'idah (5:75):
"Masihi bin Maryam si chochote ila ni Mtume. Bila shaka wamepita Mitume kabla yake. Na mama yake alikuwa mkweli. Wote walikuwa wakila chakula..."

Kwa Kiarabu:
"ٱلۡمَسِيحُ ٱبۡنُ مَرۡيَمَ إِلَّا رَسُولٞ قَدۡ خَلَتۡ مِن قَبۡلِهِ ٱلرُّسُلُۖ وَأُمُّهُۥ صِدِّيقَةٞۖ كَانَا يَأۡكُلَانِ ٱلطَّعَامَ..."

—

Surat Az-Zukhruf (43:59):
"Hakika yeye (Isa) hakuwa ila ni mja tuliomneemesha, na tukamfanya kuwa mfano kwa Wana wa Israil."

Kwa Kiarabu:
"إِنۡ هُوَ إِلَّا عَبۡدٌ أَنۡعَمۡنَا عَلَيۡهِ وَجَعَلۡنَٰهُ مَثَلٗا لِّبَنِيٓ إِسۡرَٰٓءِيلَ"

—

Hitimisho:
Yesu katika Uislamu anaheshimika kama Mtume mkubwa, lakini hakuwa Mungu wala mwana wa Mungu. Alikuwa mja mcha Mungu, aliyetumwa kwa watu wake (wana wa Israil), kama ilivyokuwa kwa Mitume wengine.
 
Kwa kuwa hutaki tujadiliane ok poa.....ila hata hiyo Aya umeweka ya mfano kwamba Mungu anamswalia Muhammad, huko ni kumkosea Mungu. Mungu hawezi kumtakia Rehema mwanadamu, Rehema anazo yeye Kisha amtakie mtume Rehema, anamtakia kutoka kwa nani?
Wewe unachekesha kweli!

Kwenye lugha ya kiarabu kuna kitu kinaitwa majazi.

Ni sawasawa useme rais ameunga mkono kwa hili. Sasa wewe nenda kautafute mkono wa rais.

Au ni sawa uambiwe, humuogopi rais Samia? Kwa sababu yupo juu!

Sasa wewe endelea kumtafuta juu kwa kuinua macho endelea kumtafuta yupo juu ya wapi!

Samia yupo juu, ina maana juu kimamlaka!

Samia ameunga mkono, ina maana amelikubali amelibariki hilo jambo!

Leo utachanganyikiwa sana! Kwa sababu mfano wa unachokipigania kwenye Qur'an hizo lugha zimetumika sana.

Qur'an inasema: "wa aqimu sswalaa". Na msimamishe swala. Kitu ukikisimamisha kinaendelea? Sasa aya imesema tusali au tusimamishe? Sasa mbona sisi tunasali? Kwa hiyo tumevunja aya?

Lugha iliyotumika hapo ya kusimamisha ni lugha ya kifasihi, kwa maana neno au tamko halitumiki kwa maana yake ya asili (ya dhahiri).

Simamisha maana ya hapo ni kama kusema hilo jengo lisimame. Kwa maana lijengwe liimarishwe na liwe bara bara.

Sasa wewe unapochukua nzimanzima hizo aya, kwenye Qur'an Mungu anasema siku ya Qiyama kuna watu malipo yao yatakuwa patupu. Hakuna kitu! Kwa nini? Jawabu akalitoa mwenyewe Allah akasema: "Wattakhadhuu ayati warusulih khuzuwa". Yaani wao aya za Mungu walizichukulia mzaha mzaha na mitume yake wakachukulia mzaha mzaha!

Kila aya au hadithi unayoiona kabla ya kuifanyia kazi ni lazima urudi kwa wanawazuoni uone wameitafsiri vipi! Kwa sababu ukitafsiri wewe utakuwa unafanya mzaha.

Maadamu hutaki kurudi kwa wanawachuoni, wewe unafanyia mzaha aya za Mwenyezi Mungu, unafanyia mzaha mitume ya Mungu.

Na ndicho kinachokupata wewe ndugu yetu Clever505 yaani unatoka mzimamzima na aya! Yaani unachukua dhwahir nafs.

Sikiliza! Qur'an inatafsiriwa kwa nyezo 3.
1)Qur'an bi Qur'an
2)Qur'an bi Sunna
3)Qur'an bi Swahaba

Tafsiri ya aya inayosema Allah anamswalia Mtume ina maana kwamba; ni kumsifu na kumuinua cheo chake mbele ya Malaika. Kwa tafsiri nyengine ambayo utaielewa kwa urahisi ni kwamba; Allah anamdhihirishia Mtume cheo chake, heshima yake, na mapenzi yake kwa njia ya kumsifu mbele ya viumbe wake wakubwa ambao ni Malaika.

Qur'an inasema: "Idhaa kuntum ila sswalaa faghsiluu wujuhakum".

Hiyo aya inasema mkiwa kwenye swala osheni nyuso zenu (kwa maana tieni/shikeni/chukueni udhu).

Sasa wewe kwa akili zako za kubeba dhwahir nafsi, ingia kwenye swala halafu ndiyo upate udhu!
 
Ungetuliza akili na kutaka kuelewa ungeelewa wala usingeona kama nachekesha.
Jamaa hapo juu niliyemjibu alisema maana ya hiyo aya ni kumtakia Rehema mtume. Ndo nikuhoji, Allah anamtakia Rehema mtume kutoka kwa nani? Yeye ndo mwenye hizo Rehema Kisha anamtakia mtume Rehema inaingia akilini hiyo? Yaani wewe una pesa kisha unamuombea mtu pesa kutoka kwako, sio kichekesho hicho?

We umekuja na tafsiri nyingine. Sasa tujiulize mimi na wewe, Allah kumswalia mtume kunaendana na tafsiri hiyo yako ya kumsifia na kumuinua cheo mtume? Mbona haviendani, unaonekana unajitahidi kukwepa ufafanuzi wa kina unataka urahisishe tu maelezo. Mitume wamepita wengi na ni wazi wote Mungu aliwainua, umeona wapi Mungu akimswalia Adam, Musa au Yesu?
 
Maelezo yako mazuri sana ndugu. Nataka kujua kutoka kwako, hao uliowataja wao ni nani kiasi kwamba utafsiri wao iwe ndo jambo la kuaminika? Walikuwepo na mtume wakati anazungumza na akawatafsiria ndo na wao wanatutafsiria?
Kwanza unabidi uelewe!

Mtume Muhammad swallallahu alayhi wasalllam amesema: "Wanawazuoni ni warithi wa Mitume".

Mitume walileta ufunuo, na baada ya wao kuondoka, kazi ya kufundisha, kuelekeza na kulinda dini imebaki kwa wanachuoni.

Warithi hawa hawaleti dini mpya, bali wanaelekeza Ummah kwa mujibu wa Qur'an na Sunnah kwa ufasaha.

Pili, inakubidi uelewe kuwa katika uislam kwenye suala la elimu kuna kitu kinaitwa sanad. Yaani mlolongo wa watu waliyopokezana elimu mpaka kwa Mtume. Si kwa mapokeo tu ya Qur'an bali hata kwa tafsiri yake, qiraat, hadithi, fiqh na taaluma nyengine.

Mfano hai wa sanad.

Mtume Muhammad ﷺ
⬇
Ibn ʿAbbas (Sahaba – mfasiri mashuhuri wa Qur'an)
⬇
Mujahid ibn Jabr (Tabii)
⬇
Sufyan al-Thawri
⬇
Imam Malik
⬇
Imam Qurtubi

Umemuona Imam Qurtubi hapo ambaye ni miongoni mwa mabingwa wa kufasiri Qur'an?

Halikadhalika na kwa hao wanawazuoni wengine wa kutafsiri Qur'an, sanad zao zipo kwa mlolongo wa aina hiyo!

Sasa uje wewe Bw. Clever505 ututafsirie Qur'an wewe ni nani? Ni mwanafunzi wa nani? Sheikh wako ni mwanafunzi wa nani? Sanad yake ipoje?

Alhamdulillah! Sanad/mlolongo wa watu waliyopokezana elimu mpaka kunifikia mimi unafika mpaka kwa Mtume.

Wewe ni nani Bw. Clever505 utuletee tafsiri mpya?
 
Nilijua tu huwezi kustick sehemu moja, maana ule ujanja ujanja ulikuwa unafanya ,ndio ulizalisha maswali mengi,

Wewe unadhani hizo hoja nilizokupa zinajibiwa kipropaganda kama mlivyozoea huko mitaani

Ipo hivo kwenye mijadala ya kielimu tunachimba ndani zaidi

Unapokuja kuthibitisha uislamu ulikuwepo kabla ya Muhammad Tena unatumia biblia ,jua unazalisha maswali zaidi ya milion 10

Mimi Nina uzoefu wa mijadala hii sababu nilikuwa muislamu najua mbinu za Uislamu kwenye kupotosha maandiko na kutumia biblia ,

Kwahiyo unachokifanya sio kipya,

Binafsi nataman nipate muislamu anayejenga hoja bila ubabaifu anayeijua dini yake ,na mwenye exposure na elimu ya secular

Ndio maana nimekuomba niletee sheikh unayemuamini

Moja ya kitu najisifia niliukana uislamu ndani ya MSIKITI pale Mji mwema siku ya ijumaa mbele ya MASHEIKH,

Waliniambia hata Yesu alikuwa muislamu,wakitumia Luka 4:16 kuwa aliingia ndani ya sinagogi ,nilikuwa kijana mdogo mwenye ujasiri

Nilipowabana vizuri ,walikosa majibu

Kwahiyo hizo mbinu unazotumia wewe sio ngeni ,
Ndugu nimeshawishika kukujua zaidi, upo wapi kijana wako nije kupata madini zaidi?

Mimi ni mkristo ambaye nimeamua kujifunza uislam ila naona kuna madudu mengi sana, natamani kujifunza mambo kutoka kwako.
 
Kwanza unabidi uelewe!

Mtume Muhammad swallallahu alayhi wasalllam amesema: "Wanawazuoni ni warithi wa Mitume".

Mitume walileta ufunuo, na baada ya wao kuondoka, kazi ya kufundisha, kuelekeza na kulinda dini imebaki kwa wanachuoni.

Warithi hawa hawaleti dini mpya, bali wanaelekeza Ummah kwa mujibu wa Qur'an na Sunnah kwa ufasaha.

Pili, inakubidi uelewe kuwa katika uislam kwenye suala la elimu kuna kitu kinaitwa sanad. Yaani mlolongo wa watu waliyopokezana elimu mpaka kwa Mtume. Si kwa mapokeo tu ya Qur'an bali hata kwa tafsiri yake, qiraat, hadithi, fiqh na taaluma nyengine.

Mfano hai wa sanad.

Mtume Muhammad ﷺ
⬇
Ibn ʿAbbas (Sahaba – mfasiri mashuhuri wa Qur'an)
⬇
Mujahid ibn Jabr (Tabii)
⬇
Sufyan al-Thawri
⬇
Imam Malik
⬇
Imam Qurtubi

Umemuona Imam Qurtubi hapo ambaye ni miongoni mwa mabingwa wa kufasiri Qur'an?

Halikadhalika na kwa hao wanawazuoni wengine wa kutafsiri Qur'an, sanad zao zipo kwa mlolongo wa aina hiyo!

Sasa uje wewe Bw. Clever505 ututafsirie Qur'an wewe ni nani? Ni mwanafunzi wa nani? Sheikh wako ni mwanafunzi wa nani? Sanad yake ipoje?

Alhamdulillah! Sanad/mlolongo wa watu waliyopokezana elimu mpaka kunifikia mimi unafika mpaka kwa Mtume.

Wewe ni nani Bw. Clever505 utuletee tafsiri mpya?
Ok nakuelewa,
Kwani ni wapi mi nimetoa tafsiri yangu binafsi? Mi nimeleta mada kwa kusoma Quran yenu ambayo ipo kwa kiswahili. Sijaongeza chochote wala kupunguza,
Kitu nimetaka kujua ni kwamba hao ambao wewe umewaorodhesha ni nani hadi utafsiri wao uaminike? Kama ni watu tu ambao walikuta Quran tayari ipo na wakaamua tu kutafsiri kwa maoni yao, why tuwaamini bila kuhoji? Tafsiri ilibidi itolewe na mtume mwenyewe ila kama wanatoa watu ambao hata hawakuwa na ukaribu na mtume ni wazi kwamba wametafsiri kwa matakwa Yao.
 
Back
Top Bottom