Je wajua kwamba Allah kwenye Quran anasema anahitaji kunusuriwa?

Maelezo yako ni mazuri ndugu mwanaJF hongera sana. Tuje kwenye Aya sasa, eleza maelezo ya kuifafanua Aya yenyewe.
 
Nilichokinuukuu hakijasema: pombe ilikuwa halali kabla ya Kuja Mtume bali kinasema "Pombe ilikuwa Halali kabla ya Kuja UISLAM".
kutaka kubadili ndimi kama utakavyo wewe ni sawa na kusema Muhammad ndiyo uislam wakati si kweli,au nimedanganya?.
hao walikuwa wakilewa kabla ya Kuja uislam ni Akina nani wakati Adam alikuwa muislam mzuri tu uenda ndiye mweka jiwe la msikiti filidaus?.
 
Husijitoe akili type error haina shida .


Nimefanya multiple quotes kuonyesha kwamba hata Kama Allah qnamzungumzia dini bado shida ipo palepale .


Allah anategemea kupiganiwa na waislamu katika Quran
SIJAONA HOJA YAKO YA MSINGI HAPO ZAIDI YA MANENO YA HOVYO NA KEBEHI AMBAVYO VINAONESHA JINSI UPEO WAKO ULIVYO MDOGO
 
Husijitoe akili type error haina shida .


Nimefanya multiple quotes kuonyesha kwamba hata Kama Allah qnamzungumzia dini bado shida ipo palepale .


Allah anategemea kupiganiwa na waislamu katika Quran
Si sawa tu na Mungu wa biblia kutaka fungu la kumi,sadaka za kuteketeza na kujengewa makanisa,hana uwezo wa kujenga!?

Hivi binaadam wakiacha neno la Mungu hapo ujumbe(Mungu) wa Mungu utakuwepo?..nyumba za ibada zitakuwepo?!..Mungu atakuwepo au atapotea duniani?..kama atapotea,huoni kuilinda imani,kuipambania,kuihubiri ni kumnusuru Mungu!?
 
Expert wangu chill twende taratibu

Ngoja kwanza nikwambie asili kwanini watu wanaabudu masanamu

Iko hivi asili ya watu kuabudu masanamu imetokana na watu kuwapenda huenda watu wao wa zamani,wakaamua kuwajengea masanamu,awali si kwa lengo la kuwaabudu,lakini kadri muda unavyoenda kizazi kipya ambacho hakijui ufahamu kwanini hayo masanamu yalikuwepo ndio huanza kuyaabudu

Kwa taarifa yako tu, washirikina wa Makka by that time walikuwa wana miungu 365,kwa maana kila siku fulani ina Mungu wake

Kwahiyo hao miungu wao uliowataja wakawanasibisha kwamba ni mabinti wa Allah kitu ambacho si kweli

Tukija kwenye ibada ya kuzunguka al kaaba,kwanza lile sio jiwe jeusi bali ni kama mfano wa chumba ambacho kimefunikwa na pazia jeusi,ingawa katika moja ya kona kipande kidogo cha jiwe ambacho legend inasema kilikuwa cheupe kutoka peponi ila kimekuwa cheusi kutokana na kushikwa kwa wanadamu,kutokana na madhambi yao

Kwahiyo washirikina,kabla ya Mtume Muhammad swalla aallahu alayhi wa sallamu,walikuwa wanafanya ibada za kishirikina,ila awali kabisa ilikuwa ni nyumba ambayo wenye kumuamini Allah walikuwa wanafanya ibada baaada ya kujengwa kwa mara ya pili na nabii Ibrahim

Baada ya ujio wa Muhammad swalla aallahu alaihy wa sallamu ndio ikarudishwa kwenye ibada sahihi,ambapo mpaka leo waislamu wanatekeleza ibada zao
 
Haya ndio mambo ambayo huwa nayasema,hoja inajibiwa na kueleweka ila hamkosi la kusema,hata kama haki imewajia

Sasa huwa sina mda wa kupoteza kwa hoja ambayo iko wazi
 
Hawa NI mabinti WA Nani?



Al lat

Al uzzal

Al manat.


Acha kujitoa akili wewe historia ipo wazi.😎😸😸😸😸
Hayo ni masanamu yaliyokuwa yakiabudiwa na waarabu kabla ya Uislamu Quran sura ya 53, Aya 23 Inabainisha kuwa sanamu hizo ni majina tu mliyoyatoa nyinyi na mababu zenu, bila uthibitisho wowote, ikimaanisha waarabu ndiyo Ushirikina huo.
 
Kwahiyo unataka kukataa kauli yako kwamba qur'an ilisema pombe ni halali?
 
Msikiti firdausi ndio msikiti gani?
 
Hayo ni masanamu yaliyokuwa yakiabudiwa na waarabu kabla ya Uislamu Quran sura ya 53, Aya 23 Inabainisha kuwa sanamu hizo ni majina tu mliyoyatoa nyinyi na mababu zenu, bila uthibitisho wowote, ikimaanisha waarabu ndiyo Ushirikina huo.
Unajua maana ya neno "object"?
 
Ebu soma Kwa sauti ulichoandika alafu jisikilize mwenyewe. Usipoona tatzo kwenye maelezo yako niambie
 
Covax njoo hapa
 
Anamaanisha kuinusuru dini yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…