Je wajua kwamba Allah kwenye Quran anasema anahitaji kunusuriwa?

Acha maneno mengi,amehitaji msaada wa kueleweshwa mueleweshe,kumbe allah hana nguvu yeyote ya kujitetea
 
Huna majibu ,kabla ya Muhammad hakuna ushahidi hata wakuokoteza paliwahi kuwepo uislamu,
Unaelewa nini kuhusu uislamu

Kuna mtu alinicomend nijadiliane na wewe,baada ya mpuuzi mmoja kushindwa mjadala

Ngoja nione je,nawe ni tofauti au ndio kama wapuuzi wengine
 
Ndugu zetu wa proud to be kwani wanaelewa basi hilo,hata ukristo sio imani za waafrika
 
Huyo allah huwezi kumuita kwa lugha yako mpaka utumie lugha ya kiarabu?
 
Ss wewe aliyekutuma uwe kafiri ni nani?
 
kama kweli lengo lako ni kutaka kuelewa,
mung hakuomba msaada wa binadamu na wala haimaanishi ulivyomaanisha wewe!
ALLAH hajaomba msaada kwenye hiyo aya
ALLAH ameawaahidi walioamini atawalipa kama wataisambaza dini(uislamu)
yaani mkisambaza dini basi nitawalipa zaidi(wale wa jihadi pia wanatokea kwenye aya hii)
na ALLAH anajua zaidi
NB: KAMA KWELI LENGO LAKO NI KUTAKA KUJUA BASI HII INAWEZA KUA MWANZO WA KUELEWA HIYO AYA......
AYA NYINGINE zinazolingana na hiyo ni 2:40
 
Sipo hapa kukulazimisha kuelewa kama hutaki kuelewa

Asante
Ndugu hatubishani, wewe leta hoja yako uone kama unaeleweka ama hapana. Kama hutaki kujadiliana ni sawa pia maana kila mtu ana hulka yake.
 
Nimejaribu kusoma kwa kiarabu nikaona hiyo ni tafsiri tu inafanya maana ihame
ILA alichomaanisha; Ukitenda mema, Allah atakulipa mema!
Kumbe hawa watafsiri wa kiswahili ndo wamezingua sasa au sio mkuu!
 
Mkuu mi nataka kujua tu hiyo tafsiri ya kumnusuru imetoka wapi? na je ni kweli hiyo aya imetaja kunusuriwa??
 
Ndugu hatubishani, wewe leta hoja yako uone kama unaeleweka ama hapana. Kama hutaki kujadiliana ni sawa pia maana kila mtu ana hulka yake.
Huwa napenda sana majadiliano ya busara na hekima,nisichopenda ni matusi na kuvunjiania heshima

Sijaona baya kwako,wala hatubishani ila ninapoona hakuna muelekeo wa kusikilizana naona bora nikae kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…