Je, wajua nini hutokea katika Ulimwengu wa Roho wawili wanapoungana katika NDOA Takatifu?

Hahahah mkuu napenda sana unavyoichambua biblia kwa kweli wewe ni role model wangu nikupe maua yako🙏🏽🙌🏻🙌🏻🙌🏻.

Huwa ninascreeshut baadhi ya reply zako ili nzirudie kuzisoma.
Alishajibu au kaingia mitini🤣
 
Unakubaliana na mm mahusiano au ndoa si lazima umpachike huyo mungu ili yawe mazuri?
Mungu ni LAZIMA, utake au usitake,

Hakuna namna utamkwepa Mungu, akupe Bure Pumzi, iweje umkwepe?
 
Mungu ni LAZIMA, utake au usitake,

Hakuna namna utamkwepa Mungu, akupe Bure Pumzi, iweje umkwepe?
Sasa mbona yapo mahusiano yana miaka mingi na mpaka watoto bila kuwa na ndoa na zinaendelea, je ni kweli mungu yupo hapo?

Huko sijui kwa kumwepa mungu si swali langu maana hata huyo mungu huwezi mthibitisha zaidi ya kusoma ngano za kale za kiyahudi.
 
Mungu ni LAZIMA, utake au usitake,

Hakuna namna utamkwepa Mungu, akupe Bure Pumzi, iweje umkwepe?
Sasa mbona yapo mahusiano yana miaka mingi na mpaka watoto bila kuwa na ndoa na zinaendelea, je ni kweli mungu yupo hapo?

Huko sijui kwa kumwepa mungu si swali langu maana hata huyo mungu huwezi mthibitisha zaidi ya kusoma ngano za kale za kiyahudi
 
Mungu yupo hapo indirect ,sababu watoto ni zawadi Kutoka Kwa MUNGU,

Anawapa waovu na wema zawadi ya watoto bila upendeleo.

Amen
 
Mungu yupo hapo indirect ,sababu watoto ni zawadi Kutoka Kwa MUNGU,

Anawapa waovu na wema zawadi ya watoto bila upendeleo.

Amen
Okay tunakubaliana kwamba mungu anasapoti uzinzi maana watu hawa ni wazinzi? Je bado unaendelea kumpa vazi la utakatifu?
tufanye kwa madai yako kwamba anawapa zawadi ya watoto ok.
Kwahyo mungu huyo kavunja amri zake za kwamba usizini halafu akaendelea kuwepo katikat ya hao watu wanaozini kwa madai kwamba yupo kawapa watoto?

Kwahyo ameanua kuvunja sheria zake mwenyewe?
 
We ndo huelewi,

Mungu hawezi muhukumu mtoto Kwa dhambi ya wazazi!!

Wazazi watahukumiwa, lakini mtoto sababu Hana HATIA, usishangae ndo akaja kuwa mbunge ajaye.

HUKUMU za Mungu ni za HAKI.
 
We ndo huelewi,

Mungu hawezi muhukumu mtoto Kwa dhambi ya wazazi!!

Wazazi watahukumiwa, lakini mtoto sababu Hana HATIA, usishangae ndo akaja kuwa mbunge ajaye.

HUKUMU za Mungu ni za HAKI.

Kutoka 20:5​

Usivisujudie wala kuviabudu; kwa kuwa Mimi, BWANA Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, ninayewaadhibu watoto kwa ajili ya dhambi za baba zao hadi kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao.
 
We ndo huelewi,

Mungu hawezi muhukumu mtoto Kwa dhambi ya wazazi!!

Wazazi watahukumiwa, lakini mtoto sababu Hana HATIA, usishangae ndo akaja kuwa mbunge ajaye.

HUKUMU za Mungu ni za HAKI.
“HUKUMU ZA MUNGU NI ZA HAKI”
una hakika na unayoyazungumza?
Unaweza kuondoa ukakasi wa hukumu alizokuwa anafanya tushushe mistari?
 
Wanaosema kataa ndoa ,wengi hawamaanishi kile wasemacho hapa jukwaani wengi ,wameoa na wanaishi na wake zao, na inawezakana hawana sauti ndani ya nyumba.
Unapotosha mkuu
 
Huyu jamaa bhna [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kiroho [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hiyo mandarini language ni shida.
 
KATIBA kuu kuliko Katiba zote ni Neno la Mungu.

Inasema NDOA ni ya mke na mume mmoja.

Ikiwa hutaki Kuoa, ussizini Wala kununua MAKAHABA, Wala usijichue.

Amen
Utaratibu wa kuoa mke mmoja ni utamaduni wakizungu tu , africa ,mashariki ya kati na uchina huu Utaratibu haukuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…