Je, wajua nini hutokea katika Ulimwengu wa Roho wawili wanapoungana katika NDOA Takatifu?

Utaratibu wa kuoa mke mmoja ni utamaduni wakizungu tu , africa ,mashariki ya kati na uchina huu Utaratibu haukuwepo.
Reference ya NDOA Gani halali na haramu ni Biblical, Neno la Mungu.

Na Jews Si wazungu wale, Ibrahim hakuwa mzungu. Wala Yesu Si mzungu.
 
Yesu NDIYE mwanzo na mwisho, Alpha na Omega. (Ufunuo 1:6-8).

Pia ndiye Amirijeshi mkuu wa majeshi yote Mbinguni (Soma Ufunuo 19:11-16).
Toa ujinga wako hapa!

Huyo alikamatwa mnadai na akawa anaomba Mungu msaidie 😅😅
 
Toa ujinga wako hapa!

Huku alikamatwa mnadai na akawa anaomba Mungu msaidie 😅😅
Kitabu kilichosema alikamatwa, ndicho kimesema ndiye Mungu alpha and Omega.

So omba ufafanuliwe, usiamini baadhi na kukataa mengine kitabu hicho hicho.

Nenda kasome verses nilizoquote urudi kuuliza tena.
 
Ndio ni mpango wa Mungu il yesu hakuwahi kuwa Mungu ..Ukimfananisha Mungu na yesu ni dhahiri umefanya ushirikina.
Na ukimtenga Yesu na Mungu, unaitwa Mpinga kristo.

Karibu.
 
Kitabu kilichosema alikamatwa, ndicho kimesema ndiye Mungu alpha and Omega.

So omba ufafanuliwe, usiamini baadhi na kukataa mengine kitabu hicho hicho.

Nenda kasome verses nilizoquote urudi kuuliza tena.
Full of contradictions ...
 
Reference ya NDOA Gani halali na haramu ni Biblical, Neno la Mungu.

Na Jews Si wazungu wale, Ibrahim hakuwa mzungu. Wala Yesu Si mzungu.
Jews sio wazungu, wala sio wale unaowaona pale Israel ya sasa, hakuna ndoa halali wala haramu.
Kila jamii Hufunga ndoa kulingana na taratibu na mila zao .

Ndio maana serikali hutambua ,ndoa za kimila ,kidini na za kiserikali.

Mwanamke na mwanaume wakitambulika na jamii na wazazi wa pande zote mbili ,hiyo tayari ni ndoa halali

Labda kama utaufungia ufahamu wako kwenye cheti ,ukifikiri hiyo ndio ya Mungu .kumbe tu ni utaratibu tulioletewa na wakoloni.
 
Ndio ni mpango wa Mungu il yesu hakuwahi kuwa Mungu ..Ukimfananisha Mungu na yesu ni dhahiri umefanya ushirikina.
Bila kugusa ukwel kuhusu uwepo wa Mungu

Kuna mda unawashangaa walokole wanaposema huyo yesu ni Mungu , wakati yeye mwenyewe kwenye hizo hadithi alikanusha.
 
Yote tisa watatuburuza ila kusema yesu ni Mungu ni Big no😅😅
 
Jews sio wazungu, wala sio wale unaowaona pale Israel ya sasa, hakuna ndoa halali wala haramu.
Kila jamii Hufunga ndoa kulingana na taratibu na mila zao .

Ndio maana serikali hutambua ,ndoa za kimila ,kidini na za kiserikali.

Mwanamke na mwanaume wakitambulika na jamii na wazazi wa pande zote mbili ,hiyo tayari ni ndoa halali

Labda kama utaufungia ufahamu wako kwenye cheti ,ukifikiri hiyo ndio ya Mungu .kumbe tu ni utaratibu tulioletewa na wakoloni.
Hawa jamaa ni wagumu sana kuelewa kila siku tunawaambia ndoa ya mke mmoja hiyo ni sheria za wazungu tena roman Catholic.
Mungu hajawahi kuweka sheria ya kuoa mke mmoja wala kupata cheti cha ndoa
 
Yote tisa watatuburuza ila kusema yesu ni Mungu ni Big no😅😅
Mara sijui kuhun musa ,mara nipo kiroho , mara usipeleke fungu la kumi kwa yatima , mara divai sio pombe,sijui wanatuona haya maandiko hatuyasomi
 
Matamko hayo Yana uvuvio wa kipepo.

NDOA sahihi ni furaha na baraka tele.

Amen
Mtume Paulo alisema ndoa ni optional, ilimradi uweze kudhibiti tamaa! Otherwise Ndoa ni muhimu

Kuna watu maarufu hawakuwahi kuoa
1)Yesu
2)Paulo
3)Eliya
4)Yohana Mbatizaji
Na wengineo 🙏
 
Mpinga kristo ni yule aliyekuwa akajitambulisha yeye ni mtume wa yesu
Ikiwa unamwamini Yesu ambaye hakufa, na hakufufuka, Ikiwa huamini Yesu NDIYE MUNGU atakayerudi kuuhukumu Ulimwengu,

Roho ya mpinga kristo inafanya KAZI ndani Yako.

(UFUNUO 19:11-16) Inasema wazi Yesu ndiye Mungu , AMIRI Jeshi MKUU, Yeye AKETIYE kwenye KITI Cha enzi.

Amen
 
Hawa jamaa ni wagumu sana kuelewa kila siku tunawaambia ndoa ya mke mmoja hiyo ni sheria za wazungu tena roman Catholic.
Mungu hajawahi kuweka sheria ya kuoa mke mmoja wala kupata cheti cha ndoa
Hii ata ukitoa habari ya Mungu tu , ukila ukashiba ,ukafanya na mzoezi vizuri utaona tu mwanamke mmoja hatoshi.

Alafu unakuta hizi habari za mke mmoja anazitoa mwanamke as if alishamiliki korodani.
 
Back
Top Bottom