Je, wajua? - Special Thread

The Most youngest Grandmother in the world was 17 years old.

Huyu ni Mum-Zi, mwanamke wa kinigeria aliyejifungua mtoto akiwa na umri wa miaka 8 na miezi minne.

Aliishi katika eneo la Akwa Akpa miaka ya 1884
 

Kanisa la Yamasokrou liko Ivory cost si Vatican
 
je wajua chadema ndio chama pekee tanzania hakikati tamaa kuipindua ccm madarakani

je wajua mbowe ndo mtuu pekee hataki kuachia umwenyekiti ndani ya chadema
 
Watu wachunguza jamani hiyo namba inayogawanyika kwa 1 Hadi 10 imeniacha mdomo wazi
 
duu mimi some time mpaka shingo unauma hasa wanaweke wenye matko makubwa ata 20 kwa siku wanafika vimbao mbao sinaga time nao
 
  • Humans can live longer without food than can without sleep.( Binadamu anauwezo kuishi Kwa kukosa chakula na sio usingizi
  • 2. Brains in some individuals produce more chemical compared to others.(Ubongo kwa wanadamu unatabia ya kuzalisha kemikali)
  • 3. if you fake smile it will make you feel a lot better( wakati mwingine unapokuwa huna amani, ukikutana na watu na ukaajifanya unafurahia na six kweli, unapata amani Sana)
  • 4. There is no sense of pain within the brain itself.(Kwa kuwa akili ndiyo inatambua maumivu hakuna maumivu yanayotokana na Ubongo wenyewe)
  • 5. Red is an Aggressive color that causes people to appear more intimidating.( Rangi nyekundu Kwa kawaida sio rafiki Sana)
  • 6 The smells of family members are similar.(binadamu wenye uhusiano kudugu wanaharufu inayofanana)
  • 7. When focusing hard on a task, the human brain will completely block out other things going on.(unapofanyakazi Sana huchoka na haiwezi kuendelea, lkn viungo vingine hufanyakazi)
 
JE wajua
Kwamba Dunia Ina membo mengi sana?
Kwamba wewe unajua sehemu ndogo sana ya mambo ya Duniani?
Kwamba Kila mwanadamu ana mapito yake mengi ambayo wewe hujui?
Kuna watu wanasema nani amewahi kufika mbinguni na kurudi au motoni. Sema wewe hujawahi ila wengine wemefika. Dunia ni Pana sana na hatufanani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…