Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
inashangaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hili nimejiuliza sanaPigeni hesabu zenu za takwimu mpaka vidole viunguwe lakini ratio ya 1:4 itabaki palepale.
Qur'an ni muujiza wa kipekee.
Mwanamne mmoja kwa wake (mpaka) wanne.hili nimejiuliza sana
imekakaje apo
Naunga mkono hojaPigeni hesabu zenu za takwimu mpaka vidole viunguwe lakini ratio ya 1:4 itabaki palepale.
Qur'an ni muujiza wa kipekee.
Utumbo huoMwanamne mmoja kwa wake (mpaka) wanne.
Ref: Qur'an 3:4
Tafuta popote unapopajua uniprove wrong mkuuHii mpya yaan hata science ya uzazi inakataa hyo takwimu yako kiongozi.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile
ni jambo jemaaMwanamne mmoja kwa wake (mpaka) wanne.
ukiona wazungu wameanza kuweka takwimu zao za uongo,ujue kuna kitu nyuma ya pazia,haiwezekani wanaume wawe wengi kuliko Wanawake ,huo ni muendelezo wa propaganda za ushogaPigeni hesabu zenu za takwimu mpaka vidole viunguwe lakini ratio ya 1:4 itabaki palepale.
Qur'an ni muujiza wa kipekee.
Kwanza Pata darsa dogo kupitia Qur'an...Tafuta takwimu ya wanafunzi Tanzania. Idadi ya wanaume na wanawake ratio haifiki 1:2 au 1:3 au 1:4
Inachezea kwenye 1:1.1 au 1:1.2
Uislam uliamini sio wanaume wote wataitumia haki ya 1:4. Kila mwanaume aliyefikia kuoa akioa 1:4 haitawezekana. Sidhani kwamba uislam unamaanisha kuwa duniani wanaume kwa wanawake kitakwimu ni 1:4
Tumia hata takwimu za Saudi Arabia
Au jaribu kuangalia shule ya msingi uliyosoma kila mwanafunzi wa kiume Angeoa wanafunzi wakike wanne darasani kwenu.