Je, wakati umefika wa Misikiti kugeuzwa Sunday-school na Gwajima?

Gwajima hachomoki pale.
Sina nia ya kupiga ramli au ku-beti kuhusu Gwajima kama anachomoka au hachomoki.

Akishindwa itakua aibu yake yeye mwenyewe na chama chake kilichofanya Teuzi kikiongozwa na pole*2.
Maana mpaka sasa rekodi zinaonyesha Gwaji hajawahi Kushinda kwa kura popote. Hata ushindi huu Amepita kwa maamuzi ya Mezani.

Lakini kama ningeulizwa leo nani atashinda nafikiri "Hela ina nguvu sana". Ninge sema mwenye hela nyingi.
Niseme pia Tanzania hatujawahi kufanya uchaguzi. Siku tukiamua wazi kufanya uchaguzi, CcM itabadilishwa jina badala ya chama dola itaitwa chama cha Upinzani.
 
Nikwambie tu hakuna muislam anaweza kumpigia kura Gwajima, inawezekana hupendi kulisikia hili lakini ndio ukweli, jaribu kutafuta viongozi wa ccm kawe ambao niwaislam, kisha uwaulize juu yakumchagua Gwajima kama wanaweza kumpa kura, Muislam hayupo wakumpa kura gwajima.
 

Nani mwenye matusi ziadi ya watu wa njia yako. Ona povu ulilotoa hapa!.

Kwa akili yako, kila mtu akiingia bungeni anasimama na kutekeleza agenda yake?

Biblia inasema "Waovu wasio haki, hukimbia ovyo pasipo kufukuzwa!".

Unaogopa waislam kumjua na kumgeukia Mungu?

Huwezi kuzuia mafuriko kwa kipande cha khanga wala kufunika mwanga wa jua kwa ungo. Utajifunika wewe lakini wengine wote jua la haki litawazukia kama ndiyo hofu yako.

BTW, mtu yeyote anayekimbilia kwenye imani asiyoielewa kama wewe hapa, ana matatioz makubwa na kila mtu karibu yake. Hata ungebakia na watu wa imani yako, pasipo Mungu mtaanza kuumana na kulana wenyewe.

Kwa kuwa unahofu na imani yako kwamba Gwajima ataimaliza, na sijui ni kwa nini unadhani ataimaliza akiwa Bungeni. Hilo ni lako. Ila mimi nataka kukuambia, si matusi yako, siyo huyo shetani unayemlinda wala si kuzimu itamzuia Mungu asiwaokoe watu waliopotea.

To start with, check hapa. Utakunywa sumu au utaomba promotion kwa shetani ili umsaidie kuzuia mabadiliko haya?

Jaribu usikie atavyokwambia hata yeye hana nguvu za kumshinda Yesu.

Okoka ili uponywe!.

-https://youtu.be/efxURatmH4g





 
Gwaji boy, sasa kanisa lake itakuaje kama akiingia mjengoni?
Hujui.....Huyu naye si mchungaji?.....Sijui.....Kanisa lake lilikuwaje alipokuwa mjengoni?
 

Attachments

  • Screenshot_20200821-110745.png
    17.2 KB · Views: 2
  • Screenshot_20200821-105838.png
    140.7 KB · Views: 1
wewe ndugu ni mpumbavu tu kama walivyo wapumbavu wengine jana lilipotajwa jina la gwajima tu ukaandika unafanya kampeni mtu kwa mtu ili tu asipite kisa mkristo sasa amini usiamini huyo ndiyo mbunge wenu
Ina maana Mkristo miongoni mwa wagombea wote ni Gwajima peke yake, au?! Yule Halima Mdee ambae ndie mpinzani wake mkuu ni Mwislamu?!
 
Umehama hoja mkuu
Sijahama hata milimeta moja chifu kwa sababu hoja yako ni kwamba "kuna Gwajima wa enzi zile" na "Gwajima wa enzi hizi..." pale ulipodai

Ndo maana nikahoji, kama yule Gwajima alieapa kugeuza misikiti kuwa Sunday Schools ni Gwajima wa enzi shetani ameliingilia taifa letu, sasa vipi kuhusu yule Gwajima aliyekuwa anachochea ukabila na kuwataka Wasukuma waunde makundi ya kumtetea Magu?!

Gwaji yule ni wa enzi zipi Chifu?!
 
Mchungaji wa Mungu hawezi kuunga mkono ufisadi na hasidi za CCM. Never. Tutawapima kwa matendo na tabia zao. Mchungaji yeyote mtumishi wa Mungu kamwe hawezi kuwa upande wa watesaji na wauaji.
Nimegundua kwenye michango yako hii kuwa, unamchukuia Kwa sababu tu Yuko CCM

Labda nikuulize, ni kundi lipi miongoni mwa makundi yote ya Kisiasa ama ya kidini ambako watu wote waliojikusanya huko ni watakatifu pekee na Wala hawafanyi matendo mabaya na hakuna hizo fununu za uoigaji? Ni wapi mkuu

Mkuu, usichokikukubali ambacho ndicho ni kweli, ukiwa duniani bado, unahitaji tu rehema za Mwenyezi Mungu Kwa kuwa hakuna mtakatifu duniani, na Ndiyo Maana kila siku huwa tunamwomba Mungu atusamehe

Ukitaka kuwatafuta watakatifu kwenye vyama Vyote hutowapata, watakatifu wako mbinguni

Saa ingine usikute wewe ndiye mtenda maovu vibaya mno,Sema tu hufahamiki hapa
 


Robert, uko sahihi kabisa, na nakuhakikishia hakuna Muislamu au Mtanzania aliye na akili atakaye mchagua mtu kama huyu. Namshauri Halima katika campaign yake ayazungumzie mabaya yote ta Gwajima, Uchaguzi huu wa gwajima umemrahisisha sana Halima kubeba ushindi asubuhi na mapema, hata basi la Mbeya halijafika mikumi.
 
Niliyoandika nimeshaandika. Ccm ni genge la mashetani. Ukubali ukatae. Ukijiunga nao tegemea aibu na fedheha tu.
 
Halafu wewe na kienglish chako cha form two (zile shule za kata) inawezekana wala si mkazi wa Kawe. Nyie ndo mnaosombwa na malori kwenda kwa tapeli anayeiita askofu.
Miye nilisombwa na jahazi toka zenji mpaka ununio toka mwala 1970,hvyo kawe ni kama nyumbani
 
Gwajima ni mdini Na mkabila.

Nadhani kete iliyompitisha ni wazo lake la kutaka kuanzisha mtandao wa wasukuma nchi nzima.....!!
 
Waislamu hawana chao CCM tena, wewe tazama hao wagombea ubunge ndio utaona asilimia 70 ni wakristo.Magufuli ni mdini na anapendelea sana wakristo kwenye vyeo na mpaka kwenye uteuzi.
 
Wote ndio wale wale tu hata Lisu alikuwa mstari wa mbele kupinga makama ya kadhi na maneno ya kejeli kwa waislam vipi yeye akipewa urais misikiti si itakiwa baa
 
Sisi tuna dini ya kweli. Mbona unaangalia vitu vichache tu vya Pakistan. Mbona huongelei makanisa yanayobadilishwa kuwa misikiti Ulaya na Marekani. Myopic thinker. Do you think wewe una uwezo hata wa kutamka neno moja likanishawisha kufuata mbwa kama wanavyoitwa na biblia mfano wa Gwajima??.
Sikiliza ndugu sisi hatifuati imani potofu potofu za kishetani kama za akina Gwajima. Kama unataka nikuelimishe juu ya upuuzi uliojaa kwenye makanisa kama ya akinaGwajima njoo inbox.
 

Ni wapi Mohamed alimtokea mtu akamsaidia?

Angalia kazi za Yesu zinavyomthibitisha kuwa ni mkuu.


Weka na wewe hapa nani alishawahi kuponywa na Mohamed.
 
Gwajima Ni sadist, mbaguzi na mkabila. Juzi Kati hapa miezi kadhaa nyuma alitoa audio clip akitaka kila Msukuma amuunge Magu mkono na amtetee kwa nguvu zote. Wasukuma wawezeshwe kimitaji ili waweze kumiliki biashara zote kubwa nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…