skidemount
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 323
- 86
Namnukuu Dr Izack Ndodi,alisema sababu kubwa Men kufa mapema ni kila unapofunga bao moja ktk mechi anapunguza cku za kuishi.
Kwa Mujibu wa "NABII TITO MWANZARIMA wa kanisa la Mpapaso" Lilopo Kigamboni.
Yeye katika Kijarida chake cha "KUNYWA POMBE NA KUZAA NA HOUSE GIRL SIO DHAMBI" anadai kuwa,
Audui Mkubwa wa Maisha ya mwanamume kwa nyakati hizi ni Mwanamke.
Anatoa Nukuu kwenye Maandiko Mwanzo 25:6-7 Ibrahim alikufa akiwa na miaka 170 huku Sara alikufa angali hajafikisha miaka 100. Anasema kuwa ukutaka kujua kuwa Mkeo ndio Ndio adui wa Lifespan yako Soma vizuri Ayubu 2:1-13, Waamuzi 16:1-3
Akaaenda mbali zaidi akasema kuwa Jaribu kuzunguka Mikoani utaona baadhi ya Wenye nyumba ni akina Mama. Akafafanunua kuwa baadhi ya akina Mama katika Familia zao wakiona kunna mali/mafanikio kidogo ndani ya familia,hupenda Kuaelekeza Waume zao KIBRA na wao kumiliki Mali hizo.
Sababu ya Kisomi nnayoikubali, ni ile inayosema kuwa Mwanamume yeye ni mtafutaji na kuhakikisha. Familia inakula na kuprovide mambo yote. Hivyo hii humfanya mwanamume kufikiria mara dufu zaidi ya mwanamke ndio maaana hupelekea lifespan yake kupungua kwani Stress pia hupunguza lifespan ya Mtu.
Tena akome kutisha watu ,hatarii hasa ukipiga bao tatu tatu kwa siku!muongo tu yule
Hicho kijarida kinapatikana wapi mkuu!
Wanaume wana mambo mengi sana ya kufikiria na kuyatenda;
Wanaume wakiwa na kitu chochote kigumu huwa hawasemi popote,
anakaa nalo moyoni hadi mishipa inajaa mwisho wa siku ni ugonjwa wa moyo,
mapresha na masukari unakuta muda kidogo anaondoka.
Wanawake pamoja na kuwa tuna matatizo mengi lakini sie huwa
hatuyakusanyii moyoni, tunakuwa wepesi kuyasema au kuomba ushauri
kwa hiyo hatuna mastess.
haukugundua kuwa pia wazazi wa kiume huwa wana umri mkubwa kulik wa kike?
pia hukuona kuwa wazazi wa kiume huwa wana mambo meengi mengine hata hayana msingi, lakini yanaharibu afya?
Haukugundua kuwa mzazi wa kike ana sehemu za ziada za kutunzia chakula hivyo kumfanya aishi muda mrefu bila kula?
ntarudi..................!
Katika mikoa mbalimbali niliyofaniki kuishi na pia wakati nikisoma shule nimegundua kua familia nyingi ambazo zimepoteza mzazi mmoja mara nyingi anakua ni wa kiume.Tatizo ni nini? Tujadili
Katika mikoa mbalimbali niliyofaniki kuishi na pia wakati nikisoma shule nimegundua kua familia nyingi ambazo zimepoteza mzazi mmoja mara nyingi anakua ni wa kiume.Tatizo ni nini? Tujadili
Hushangai hata siku za sikukuu anachinjwa jogoo anaachwa mtetea.
wanaume wengi wanaoa wake walio wazidiumri mbali then nani anatakiwa aanze?