BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Wanatunyonya damu. Kila siku tunawalisha maprotini kupitia mdomo wa pili we unategemea nini?? Afu bahati mbaya huwa hawashibi, kila mara wanataka tena lol
Wengine tunauliwaga bwana
Ndonaelekea kuzimu hivyo, maana naona huyu shemu wako anaitoa roho yangu TaratibuHahaha...dah mbona wewe upo mkuu? hahaha so funny
Usiniambie Walikuua.
Ndoivyo Tena, kweni hukuja kwenye msiba?
Sikuja. Nilikuwa kwenye vikao vya Chama. Ukute ulilishwa limbwata. Haha.
mpalu
utafitio huu naukubali haswa ukiwa na mke/mpenzi kama atoto au miss chagga lazima utangulie mapema...
mpalu
utafitio huu naukubali haswa ukiwa na mke/mpenzi kama atoto au miss chagga lazima utangulie mapema...
Huu utafiti ntarudia kwenda kuufanyia MACHAME (kwa Wapalestina) ili nijiridhishe na ile idadi ya wajane
atakuwa kafufukaUsiniambie Walikuua.
Me nahisi hata na majukumu mengi pia yanaweza yakasababisha. Ukute sasa ndo kwenye familia umezaliwa mwanaume peke ako na madada zako, aisee ni shida. Ukikaa kidogo simu ya dada A, mara mama mzazi anaumwa huku watoto sijui wanataka Ada. Mtu mmoja anabeba majukumu ya watu kibao. Mmh yani presha haitochezi mbali na wewe.
''Uchaji Mungu wanawake wengi ni God fearing'' ingekuwa essay ningekupa sifuri kwa point hii
atakuwa kafufuka