1.mara nying kwenye ndoa wanaume ni wakubwa kiumri kuliko wanawake kwa hiyo huwa muda wetu wa kufa (life expectancy)hufika kabla ya wake zetu
2.stress za maisha kuwaza jinsi ya kutunza familia husababisha magonjwa kama presha,kisukari nk
3.kufanya kazi za risk,kukwea minazi ili kutungua nazi,kujenga majengo marefu,kuendesha bodaboda,ujambazi,kuzamia migodini ,udereva,wanajeshi kufia vitani hizo ni kazi zenye risk kubwa na nyingi hufanyawa wanaume na zinakula roho zetu sana
4.kurogwa,au kuuliwa na wake zetu ili warithi mali,wale wanawake toka kule mkoa wenye mlima mrefu wananielewa