Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Ukizaliwa mwanaume ujue kila kitu ni kwako.
-kumtunza mke ww
-kutunza watoto ww
-kusomesha ww
- kumridhisha mke ww
- ndugu wanakuangalia ww
- pesa ww
- matibabu usimamie ww.

Na vingine vingi. Kwann usife mapema
Na jamii vilevile inamuhitaji kwenye ulinzi na usalama bila kusahau yeye ndiyo nguvu kazi ya jamii kwa sehemu pana.
 
Tena waambie wasikie kabisa maana mwanzo wa nyumba ndogo ndo mwanzo wa majukumu mengine na ndo mwanzo wa stress.
Hapana da lu hii theory haijakamilika kabisa maana si kwa wanaume wote. Mnapo ishi pamoja kuna changamoto kama kipato kidogo, mume kupoteza kazi, magonjwa.

Ukisema stress ni sababu ya mchepuko nakupinga sana. Kuna mambo muhim ambayo yakikosekana lazima mwanaume aumie.
Na mchepuko si moja wapo.
 
Kufa mapema zaidi kwa wanaume kuliko wanawake ni demographic dimorphism ambayo iko ulimwenguni kote na siyo kwa sababu ya michepuko au sababu nyingine yo yote. Ukianzia kuzaliwa utaona kwamba katika watoto wanaozaliwa katika mwaka mmoja wavulana huwa wengi zaidi kuliko wasichana kwa takriban wavulana 105 kwa kila wasichana 100. Hii ni ulimwenguni kote. Sasa ukifuatilia mortality rate ya wanaume inakuwa juu zaidi kwa miaka yote isipokuwa labda katika miaka ya uzazi (miaka 15-49) ambapo wanawake huenda wakafa wengi zaidi kutokana na vifo vinavyoandamana na uzazi (maternal mortality). Kwa hiyo nature imefanya ku-balance vitu. Nasisitiza hii ni kwa ulimwengu wote na siyo Tanzania tu. Hata Ujapani ambako ndiko life expectancy iko juu zaidi ya nchi nyingine yo yote wanawake wanaishi miaka mingi zaidi ya wanaume. Ulimwenguni kote kwa wastani kuna more widows than widowers.
 
Pamoja kaka magacha. Embu angalia majukumu haya yote anabeba mwanaume.
Halaf mwanamke amekaa tu?

Kwann asife mapema?
 
Zipo sababu nyingi sana ila mojawapo ni hii utakuta mwanaume ana stress kwenye ndoa yake yy anaona soln ni kutafuta mchuchu amliwaze kumbe hapo ndo mwanzo wa matatizo mengine.
Umetaja sababu moja ambayo si ya muhimu.
Kuna sababu 1000 zinazomtesa mwanaume ila hiyo moja si sababu.
 
Mwanaume muda mwingi yupo kwenye risk ya kufa...muda mwingi yupo barabarani ,viwandani ,n.k

Pia wanawake wako sensitive na afya yao unakuta mwanamke akiumwa kichwa tu anaenda hosptali..
Sasa mwanaume bila kupata ugojwa utakaomfanya asiweze kuendelea na maisha ya kawaida huwezi kumuona hosipitali.
 
Wanaume tuna mambo mengi ambayo yanafanya hata mwili hushindwe kupumzika vizur imagine umetoka zako mishe mishe kutoka asubuhi mpka saa tatu unawaza nifike home nipumzike ile unafika nyumban unaanza letewa kesi za mtoto sijui kampigana na nani jambo ambalo hat wife angeweza kulisolve sas kasubir ufike ndo anamupa ten kisanga iko unajikuta unaanza kusolve tatizo lililotokea toka mchna so hat kichwa hakiwez tulia mchan pilika unafika home tena pia pilika so kufa mapem ni mambo mengi tuliyonayo inshor majukumu!!
 
Wewe unasemajee? Mambo wengine yanaonekana dhahiri kwenye jamii, kwa mfano mim Babu zangu sijawakuta ila Bibi zangu wote nimewakuta
labda tuseme wanaume tuna mihangaiko mingi ya kijamii
 
Kuchunwa pesa a.k.a kupigwa mizinga hutupungizia sisi wanaume miaka ya kuishi
 
Umetisha Mzee, wanawake wanahitaji kutuheshimu sana
 
Wengi wamebase eti kwenye michepuko
 
Kwa sababu anabeba majukumu mengi ambayo mengine yanahatarisha hadi maisha yake.
 
Dhambi zinauwa!
Mwanamke ni mfalme kwenye uumbaji!
Mtu mweupe ameitambua hiyo ndiyo maana sheria zao zinalinda sana maslahi ya mwanamke, lakini waarabu, wahindi, wafrika hawaja ifahamu hiyo Siri!
Mwanamke ni wa kuogopewa sana
Sijakuelewa kabisa ndugu fafanu vizuri
 
Dhambi zinauwa!
Mwanamke ni mfalme kwenye uumbaji!
Mtu mweupe ameitambua hiyo ndiyo maana sheria zao zinalinda sana maslahi ya mwanamke, lakini waarabu, wahindi, wafrika hawaja ifahamu hiyo Siri!
Mwanamke ni wa kuogopewa sana
Sijakuelewa kabisa ndugu fafanu vizuri
 
Dhambi zinauwa!
Mwanamke ni mfalme kwenye uumbaji!
Mtu mweupe ameitambua hiyo ndiyo maana sheria zao zinalinda sana maslahi ya mwanamke, lakini waarabu, wahindi, wafrika hawaja ifahamu hiyo Siri!
Mwanamke ni wa kuogopewa sana
Sijakuelewa kabisa ndugu fafanu vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…