King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Sijasema aliyekuzidi umri Bali nimesema unayemzidi umriBado haija justify hoja yako kwamba ukioa mwanamke akiyekuzid umri itapelekea ufe mapema
Kuna jamaa yangu kafariki mwaka Jana lakin kiumri yuko sawa na mke wake na wana watoto wawili jamaa katangulia mke anaendelea kung'aaaSijasema aliyekuzidi umri Bali nimesema unayemzidi umri
Kwakwel umeongea mambo ya msingi sana-Wanaume Wengi ni Watafutaji katika familia(% Kubwa ya wanaume ndio watafutaji),so anakuwa mtu wa pilika pilika mara kule mara huku na so anakutana na risk nyingi.
-Kazi hatarishi nyingi ni wanaume ndio wanafanya kuchimba madini,kuchimba mashimo,kazi kwenye mitambo mikubwa etc
-Msongo wa Mawazo(Stress) wa kuimiza kichwa jinsi gani ya kufanya kuendesha familia,Ada,Kodi etc Stress inaleta magonjwa mengi sana.
-Wanaume huwa hawajali afya tofauti na wanawake,mwanamke huwa akisikia mwili kuuma kidogo kashaenda hospitali ila mme akienda hospitali ujue yupo hoi bina taaban,kitendo cha kwenda kupima afya mara kwa mara ukufanya kuweza kugundua ugonjwa kwenye early stage hivyo kuutibu mapema tofauti na ukichelewa.
Nakuunga mguu mkuu-Wanaume Wengi ni Watafutaji katika familia(% Kubwa ya wanaume ndio watafutaji),so anakuwa mtu wa pilika pilika mara kule mara huku na so anakutana na risk nyingi.
-Kazi hatarishi nyingi ni wanaume ndio wanafanya kuchimba madini,kuchimba mashimo,kazi kwenye mitambo mikubwa etc
-Msongo wa Mawazo(Stress) wa kuimiza kichwa jinsi gani ya kufanya kuendesha familia,Ada,Kodi etc Stress inaleta magonjwa mengi sana.
-Wanaume huwa hawajali afya tofauti na wanawake,mwanamke huwa akisikia mwili kuuma kidogo kashaenda hospitali ila mme akienda hospitali ujue yupo hoi bina taaban,kitendo cha kwenda kupima afya mara kwa mara ukufanya kuweza kugundua ugonjwa kwenye early stage hivyo kuutibu mapema tofauti na ukichelewa.
Hapa tunaangalia rate kubwa ya wanandoa wenye umri kuanzia 60yrs na kuendelea idadi kubwa wanaofariki ni men compared with women?Kuna jamaa yangu kafariki mwaka Jana lakin kiumri yuko sawa na mke wake na wana watoto wawili jamaa katangulia mke anaendelea kung'aaa
HahahahahaKuna wengine nao hutumia mwanya huo kumaliza waume zao kimya kimya ,
HahahahaTusubiri wataalamu waje watujibu zaidi ila kimjinimjini naona kifurushi cha mwanaume ni kidogo kuliko cha ke toka kwa Mungu.
Ushapata?NAOMBA MNIELEKEZE SEHEM YA KUANDIKA UZI NA MM NIPOST. MBONA SIONI SEHEM YA KUANDIKIA ???
Sikuhizi umeadimika sana....Sijui kwanini sikuuona uzi huu mapema, very informative na una ukweli kwa kiasi kikubwa.
Nafikiri wanaume wawe wanalia japo kwa uficho (chumbani) ili kupunguza mastress. Na pia ni vizuri wajue tunapenda zaidi mwanamume aliye hai kuliko hero ambaye ni the late!
Hivi kwanini sehemu kubwa sana ya jamii zetu wanaume(baba)ndio huwahi sana kufa?
nishakutana na watu wengi sana ambao baba zao wamefariki ila mama zao bado wazima,ni kwa asilimia ndogo sana kuona mama ametangulia mbele za haki na baba akawa hai,huwa kuna kitu tunapewa wanaume au ndio asili ya jinsia yetu kuwahi kufa?