Hivi kwanini sehemu kubwa sana ya jamii zetu wanaume(baba)ndio huwahi sana kufa?
nishakutana na watu wengi sana ambao baba zao wamefariki ila mama zao bado wazima,ni kwa asilimia ndogo sana kuona mama ametangulia mbele za haki na baba akawa hai,huwa kuna kitu tunapewa wanaume au ndio asili ya jinsia yetu kuwahi kufa?

Stress za maisha tu mkuu! We jiulize mshahara laki nane, unasomeshe watoto watano wa kwako, wazazi wako na wa mkeo wanakutegemea na unatakiwa ulishe familia na fharama zooote ni za kwako. Mama anafanya kazi na mshahara wake ni mkubwa kwa wakwako. Hela zake yeye ni zake tu na akizitoa anakukopesha na saa nyingine anakuomba hela za wig laki tatu. Utakatiza mkuu?Hivi kwanini sehemu kubwa sana ya jamii zetu wanaume(baba)ndio huwahi sana kufa?
nishakutana na watu wengi sana ambao baba zao wamefariki ila mama zao bado wazima,ni kwa asilimia ndogo sana kuona mama ametangulia mbele za haki na baba akawa hai,huwa kuna kitu tunapewa wanaume au ndio asili ya jinsia yetu kuwahi kufa?
Hongera mkuu angulau hii nimeielewa.
JAMBO HILO LIMEFANYIWA UTAFITI WA KISANYANSI!
Nitafupisha kabisa!
Mwanaume kwa maumbile ya asili ameumbwa na Sumu zinazoanza kufanya kazi pale anapo balehe.
Testosterone - tezi hii ndiyo inayomfanya Mwanaume kuwa jinsi alivyo:-
Fujo kuanzia kula,kuendesha vyombo vya moto,mahusiano na kazi ngumu ngumu na mambo yanayofanana na hayo!
Tezi hii inapoendelea kutoa misusumo huleteleza maisha ya Mwanaume kuwa maisha ya Vurugu na kutojali mambo muhimu ( RECKLESS BEHAVIOURS) ya afya na tahadhari zingine hasa katika rika toka miaka(14 - 40).Kitaalam kipindi hi huitwa testosterone storm.
Mbaya zaidi!!!! Tenzi hii kwa urefu wa maisha ya Mwanaume huendelea kuzalisha mafuta ya sumu(Cholesterol) au rehemu ndio maana wauza mafuta ya kula wanajitahidi sana kuweka lebo ya "Haina Rehemu" Wakijua fika mafuta hayo ni sumu na ndio chanzo cha matatizo ya Moyo na Damu.
Hivyo mwanaume huanza kuugua mapema sana na bila kujua shida kubwa ameumbwa nayo!
Kinyume chake Mwanamke ameumbwa na dawa inayomtibu magonjwa yake kwa haraka bila hata dawa hasa pale anapofikia kukoma kupata ada ya Mwezi(menopause).
Hivyo tunavyozidi kuzeeka Mwanaume anakuwa na afya mbovu;wakati wakina bibi huwa wanaanza kunawili tena na kupata uzima kila siku(ostrogen) inakuwa na kazi ya kuzalisha dawa kutibu Wanawake.
Asante.
Chanzo: Harvard University gazette - 1998 - Why women live longer than Men.
Hivi kwanini sehemu kubwa sana ya jamii zetu wanaume(baba)ndio huwahi sana kufa?
nishakutana na watu wengi sana ambao baba zao wamefariki ila mama zao bado wazima,ni kwa asilimia ndogo sana kuona mama ametangulia mbele za haki na baba akawa hai,huwa kuna kitu tunapewa wanaume au ndio asili ya jinsia yetu kuwahi kufa?
Nitakuuliza Swali baadaye.Jiulize umeoa mwanamke uliyemzidi umri zaidi ya miaka 5 hapo unategemea uwezekano wa nani ataanza kutangulia?
Na huu mfumo wakuoa mwanamke uliyemzidi umri ndo sababu kubwa inayopelekea vidume vitangulie vikaandae makazi mapya huko waendako kwa ajili ya familia zao zitakazowafuata
NB
Japokuwa kuna mambo mengi yapo nyuma ya pazia yanayopelekea hili jambo kutokea.
Mwanamke huchelewa kufa kwa sababu hana Mke and vice versa is true.Hivi kwanini sehemu kubwa sana ya jamii zetu wanaume(baba)ndio huwahi sana kufa?
nishakutana na watu wengi sana ambao baba zao wamefariki ila mama zao bado wazima,ni kwa asilimia ndogo sana kuona mama ametangulia mbele za haki na baba akawa hai,huwa kuna kitu tunapewa wanaume au ndio asili ya jinsia yetu kuwahi kufa?
Ahaa, lete mtirirk kidog mkuu ning'amueTulisha_Discuss humu na upo uzi wake!