Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Bora wanaume binadamu wanaishi miaka. Nyuki dume akifanya mapenzi na nyuki jike tu anakufa. Kwa hiyo nyuki wote hawana baba mzazi 🙂🙂🙂
 
Ki-biobiologia, mwanaume anatokana na chromosome XY na mwanamke ni XX. Chromosome Y ni dhaifu kwa asili yake ukilinganisha na X. Kwa hiyo ile Y kwenye XY ndiyo sababisho la kufa mapema. Ati pia mimba nyingi zinazoharibika ni za watoto wa kiume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sababu wanaume wengi hawaishi kutegemeana na hali halisi. Wanakuwa na high expectations hivyo mambo yakienda tofauti na mwtegemeo yao huumia sana na wanapata msongo wa mawazo na kinachofuata ni maradhi na then early deaths. Nadhani pia hawaishi positively. Wanawake wengi wanaweza kustahimili mambo hivyo huweza kumudu haliy yoyote itakayojitokeza. Pia wanawake wanakawaida ya kushare mambo yao na wenzao na hupeana ushauri. Wanaume huwa hawashare mambo yao hasa kama wanapita kipindi kigumu. Huwa wanajifanya mambo ni mazuri tu kwa wenzao. Kumbe kunateketea.
 
Shahawa tunazotoa kuwanyunyizia wanawake tunapunguza umri wa kuishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Violence. Booze. Tobacco. Pussy. Reckless risk taking. To sum it up: testosterone.
 
Hili swala simple sana wanaume ndo kichwa cha familia anachakalika sana kitafuta ili familia iishi vizur mwanamke ni kutafutiwa tu katulia home.
Mwanaume muda wa kupumzika ni kidogo sana mwanamke unampa stress mmeo za kutosha anapta presha anakufa
Ngoma ipo hapa sasa kumuua mmeo ili urithi mali angalia familia ambazo bba kafariki ni zile zenye uwezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana sana tu,mfano nimemzidi wife 10 yrs kiasi uwezekano wa mimi kutangulia kufa ni mkubwa japo kifo hakichagui umri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mara nyingi wanaume wenye umri mkubwa huwa wanaoa wanawake wenye umri mdogo.....Hiyo ndio sababu kubwa
 
Wanaume ni dhaifu sana mbele ya mwanamke kwa kila kitu!
Angalia hata humu JF madem wakicoment hata ujinga tu basi wanaume wanalike sana na kuquote hyo comment!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
. Mwanaume ndie punda wa nyumbani, ni rahisi kufa akiwa kazini, safarini nk. Ki asili mwanamke hukaa nyumba, vifo kwa ajali kwake ni nadra.
 
8. KUMWAGA
Wanaume ndiyo wanaomwaga zaidi ya wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…