Naunga mkono hoja1. Michepuko imewaelemea
2. Gubu limewakaa kooni
😀Naunga mkono hoja
Stress za Maisha , na madhila mengine mengi , wanaume hukumbana navyo Zaidi kuliko wanawake, hata kwenye matukio kama ajali wahanga wengi ni wanaume . Hii yote ni katika kutafuta ili kukidhi matakwa ya familia. Pia wanaume tutabeba mambo mengi vifuani mwetu hatufunguki kama wanawake ambao shida zake za ndani anaelezea kwenye kila saluni atakayokwenda. Matokeo ya wanaume kubeba mambo mengi vifuani yanawazalishia magonjwa ambayo hatimaye huwaletea vifo. Rejea wimbo wa Msondo kuna kibwagizo kinasema ……. wanaume tumeumbwa mateeso oh mateso kuhangaikaaa...Ni nini haswa huwaaminisha wanawake kuwa wanaume ndio hutangulia kufa?
Kwa mfano kwenye familia mwanaume akasema "tuuzeni hili shamba lote ili tufungue biashara" utasikia mwanamke akijibu "unataka siku ukifa niishije na watoto? Wakati unajua hilo shamba ndio kimbilio langu"
Kwanini wanakuwa na mawazo haya? Je, kuna ukweli wowote kuwa wanaume ndio hutangulia kufa kabla ya wake zao?
Stress za Maisha , na madhila mengine mengi , wanaume hukumbana navyo Zaidi kuliko wanawake, hata kwenye matukio kama ajali wahanga wengi ni wanaume . Hii yote ni katika kutafuta ili kukidhi matakwa ya familia. Pia wanaume tutabeba mambo mengi vifuani mwetu hatufunguki kama wanawake ambao shida zake za ndani anaelezea kwenye kila saluni atakayokwenda. Matokeo ya wanaume kubeba mambo mengi vifuani yanawazalishia magonjwa ambayo hatimaye huwaletea vifo. Rejea wimbo wa Msondo kuna kibwagizo kinasema ……. wanaume tumeumbwa mateeso oh mateso kuhangaikaaa...
Hapo umeongea point sana.Kwa sababu huo ndiyo ukweli, Wanawake huishi muda mrefu kuliko Wanaume na hiyo ni Dunia nzima, sasa kuhusu Mke wako kutaka ufe mapema hilo ni swala lako binafsi na ningekuwa wewe ningehoji na Ndoa yenyewe kama hata ina upendo ukweli, kwa kawaida Mwanamke aliyekupenda na Mke wako angependa hata mfe siku moja ili asibakie peke yake, ...
Hahahaha na wenye roho mbaya je?Lakini katika nyakati zingine wanawake pia hufa mapema kabla ya wanaume kutokana na sababu mbalimbali. Hususani wale wenye roho nzuri ndo hutangulia kufa
Utafiti katika hii kanda ya mapenzi/mahusiano/ndoa imegundua kuwa wanaume wengi hufa kabla ya wake zao hata kama wamezaliwa mwaka mmoja na kubaini kuwa tabia za wake zao huwafadhaisha na kuwafanya waishi maisha magumu sana na kupata yale maradhi ya kufisha kama HYPERTENSION, SAIKOSISI, STROKE N.KNi nini haswa huwaaminisha wanawake kuwa wanaume ndio hutangulia kufa?
Kwa mfano kwenye familia mwanaume akasema "tuuzeni hili shamba lote ili tufungue biashara" utasikia mwanamke akijibu "unataka siku ukifa niishije na watoto? Wakati unajua hilo shamba ndio kimbilio langu"
Kwanini wanakuwa na mawazo haya? Je, kuna ukweli wowote kuwa wanaume ndio hutangulia kufa kabla ya wake zao?