Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Kaulimbiu yoyote duniani huambatana na kuuwa saikolojia ya kitu furani.. KAZI na Bata ni Tamu lakini inauwa saikolojia nyingi ambazo RAIS mbunifu inabidi asema vijana wameamua Kula MAISHA na kuendelea kutengeneza Hela za Manyoka kama nilivyosoma jamiiforum... Ukitaka ujue KAZI na Bata inauwa stress gani ungana na Mie:

1: stress ya kujenga kichwa (Elimu)

2: stress ya kujenga nyumba (walijenga hawatakiwi kuzijudge)

3. Kujenga maeneo ya Kula bata mathalani (Clubs, Casino, shopping malls, Maziwa sehemu zenye ukame n.k) -- Yawezekana miradi YENYE ni milioni 100, Kwa 💯 Tu

4.Kuwa na Usalama wa chakula (food security). N.k

5. Malipo ya hela ya assurance Kwa wote la sivyo mambo yangu hatakiwi kikuathiri

La sivyo ni kama kilimo Kwanza ukawa kaulimbiu 😁😁😁😁
 
Hizi ni baadhi ya sababu ndugu.....

another possible cause

Sina uhakika na utafiti wako ila ninachoweza kuchangia ni kuwa waname wengi hufa haraka zaidi iwapo wake zao ndio watakao anza kufariki kuliko wanawake wanaofiwa na waume zao. Ni kwanini? sijui labda tuwaachie wataalam wa sosholojia watusaidie kutafuta uhalisia wa haya mambo.
Baba mmoja siku moja aliporudi nyumbani alimwita mkewe chumbani akamwambia "Mke wangu mimi nauza hii nyumba ili tujipange upya na maisha"
Mkewe akamjibu "Koma kabisa na wazo lako, ukofa mimi na watoto tukaishi wapi"
Hayo ndiyo ya mwanamke too much harassment to husbands that they die before their time.
 
Baba anapokuwa bado ana nguvu, yuko kazini huwa anakua na nguvu na ushawishi mkubwa sana kwenye familia yake, familia humsikiliza, huzingatia uwepo wake!

Tatizo huanza pale baba anapozeeka, nguvu za uzalishaji mali zimekwisha, amestaafu! Na pale watoto wanapokua wamekua watu wazima wameanza maisha yao! Hapo ndipo mambo kwa baba humgeuka!

Mkewe huanza kumchukulia poa! Ile heshima aliyokuwa akipewa huanza kupungua taratiib.. baba hasikilizwi tena Kama zamani, isitoshe anakua hahusishwi sana tena kwenye mambo ya mkewe sababu hata akiambiwa atasaidia nini na pesa hana? Badala yake mkewe huanza kuwafanya watoto kuwa washirika wake zaidi na kumuweka kando mumewe... Baba anaachwa pembeni!

Mama huanza safari kwenda kwa watoto, huko hukaa sana, baba kaachwa nyumbani peke yake! Watoto wanagombea mama aende kwao, lkn baba hakuna anayemtaka!

Wakiwa nyumbani na mkewe, simu toka kwa watoto 80% anapigiwa mama, baada ya maongez mareefu, ndo baba anapewa simu anasalimiwa dk 2 imeisha hiyo! Baba simu anayo, ila haoni simu za watoto wakimpigia, na wakimpigia ni kwa sababu maalumu tena maongez huwa mafupi! Hawana muda nae!

Baba anajikuta anakuwa mpweke sana, anakua mgeni kwa familia yake mwenyewe! Wale ambao alizimalizia nguvu zake za ujana kuwatafutia hawana muda nae!

Pale baba anapokuwa anaihitaji sana faraja ya familia yake sababu ameshazeeka... Familia humpa kisogo! Upweke unamsonga! Sababu ya upweke mawazo humsonga, hili hupelekea kinga ya mwili kushuka na kufanya iwe rahisi kushambuliwa na magonjwa na haichukui muda anafariki!

Familia wataliaa, watachapisha matisheti, watatoa mapesa kumnunulia sanduku la gharama na kumjengea kaburi la gharama, mitandaoni watampost sana! Lakini alipokuwa hai... No one cares!

Tuwajali baba zetu, walijitoa na kujinyima sana kufanya tufike tuliko! Ni dhambi mbele za Mungu tena ni laana mbaya kuwapuuza baba zetu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ya binadamu Ni Kama maisha ya simba tu porini. Simba anathaminiwa na familia yake akiwa kijana tu akizeeka anafukuzwa na familia yake sababu Hana nguvu za kuwinda Tena kazi yake kula tu hatimae anauawawa na Koo za Simba wa jirani kizembe.

Hii model Haina tofauti na maisha ya Baba binadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na yote tunayotenda na mwisho wa siku kutopewa heshima stahiki, bado huwa tunaridhika tu.

Ndio maana halisi ya sentesi kuwa "wanaume tumeumbwa mateso".
Hatuna wakati wa kupumzika ni tunahangaika maisha yetu yote.
 
Maisha ya binadamu Ni Kama maisha ya simba tu porini. Simba anathaminiwa na familia yake akiwa kijana tu akizeeka anafukuzwa na familia yake sababu Hana nguvu za kuwinda Tena kazi yake kula tu hatimae anauawawa na Koo za Simba wa jirani kizembe.

Hii model Haina tofauti na maisha ya Baba binadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili jambo limenigusa sana mpaka naogopa maana nina watoto wakubwa wakwanza ana miaka 27 anaefuatia ana 25, mwingine 20 naona dalili fulani kutoka kwa kijana wangu huyu mkubwa hii sms imenishitua sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nasemaga mateso tunayopata duniani halafu eti kuna motoni!

Ina maana mkeo anakukuta motoni baada ya miaka 5-25 baada ya wewe kufa.

It's unfair.
 
Baba anapokuwa bado ana nguvu, yuko kazini huwa anakua na nguvu na ushawishi mkubwa sana kwenye familia yake, familia humsikiliza, huzingatia uwepo wake!

Tatizo huanza pale baba anapozeeka, nguvu za uzalishaji mali zimekwisha, amestaafu! Na pale watoto wanapokua wamekua watu wazima wameanza maisha yao! Hapo ndipo mambo kwa baba humgeuka!

Mkewe huanza kumchukulia poa! Ile heshima aliyokuwa akipewa huanza kupungua taratiib.. baba hasikilizwi tena Kama zamani, isitoshe anakua hahusishwi sana tena kwenye mambo ya mkewe sababu hata akiambiwa atasaidia nini na pesa hana? Badala yake mkewe huanza kuwafanya watoto kuwa washirika wake zaidi na kumuweka kando mumewe... Baba anaachwa pembeni!

Mama huanza safari kwenda kwa watoto, huko hukaa sana, baba kaachwa nyumbani peke yake! Watoto wanagombea mama aende kwao, lkn baba hakuna anayemtaka!

Wakiwa nyumbani na mkewe, simu toka kwa watoto 80% anapigiwa mama, baada ya maongez mareefu, ndo baba anapewa simu anasalimiwa dk 2 imeisha hiyo! Baba simu anayo, ila haoni simu za watoto wakimpigia, na wakimpigia ni kwa sababu maalumu tena maongez huwa mafupi! Hawana muda nae!

Baba anajikuta anakuwa mpweke sana, anakua mgeni kwa familia yake mwenyewe! Wale ambao alizimalizia nguvu zake za ujana kuwatafutia hawana muda nae!

Pale baba anapokuwa anaihitaji sana faraja ya familia yake sababu ameshazeeka... Familia humpa kisogo! Upweke unamsonga! Sababu ya upweke mawazo humsonga, hili hupelekea kinga ya mwili kushuka na kufanya iwe rahisi kushambuliwa na magonjwa na haichukui muda anafariki!

Familia wataliaa, watachapisha matisheti, watatoa mapesa kumnunulia sanduku la gharama na kumjengea kaburi la gharama, mitandaoni watampost sana! Lakini alipokuwa hai... No one cares!

Tuwajali baba zetu, walijitoa na kujinyima sana kufanya tufike tuliko! Ni dhambi mbele za Mungu tena ni laana mbaya kuwapuuza baba zetu!

Sent using Jamii Forums mobile app

Siku zote Utakachokipanda ujanani utavuna uzeeni. Ukiona baba wa hivyo ujue wakati wa ujana alihangaika na michepuko na marafiki. Ukiiipenda familia yako na mkeo hawatakaa wakutenge hata iweje. Watoto wako watasimama na wewe wakituma tickets ya ndege watatuma 2 .
 
Back
Top Bottom