ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Acha kuingilia ndoa za watuLeo kuna sehemu fulani nilikuwa nimekaa zangu nakunywa soda. Karibu yangu kulikuwa na baba mmoja wa makamo kidogo, alikuwa meza ya pembeni anakunywa pombe na tayari alikuwa amelewa chakalii.
Ghafla nikamsikia anamwambia muhudumu: Usinione hivi, mimi nina mke na watoto watano. Nina gari nimepack hapo nje. Akaendelea kujisifia sana kuhusu maisha yake na misimamo yake, akisema yeye hayumbishwi na mtu.
Nikaanza kujiuliza moyoni: kwa nini mtu ajisifie kiasi hicho kwa mtu asiyemjua? Nikahisi kuna kitu hakiko sawa.
Baada ya muda mfupi akaingia mama mmoja mwenye kitambi, akamfuata pale mezani kwa hasira
We mpumbavu, mbona hupokei simu zangu? Simama twende!
Yule mwanaume aliyekuwa anajisifia muda mfupi uliopita akanywea kabisa Mama akachukua simu yake akaanza kuikagua pale pale huku amesimama, kisha akamuamrisha anyanyuke waondoke.
Kwa nje yule mwanaume anaonekana smart sana, ukikutana naye kwa umri wake unaweza kumpa heshima kubwa. Lakini nilichokiona pale kilinishangaza kumbe anaburuzwa sana ndani ya ndoa.
Hapo ndipo nikagundua kitu: labda baadhi ya wanaume wanaonekana wakali au wanaongea sana nje kwa sababu ndani ya nyumba hawana sauti.
Poleni wanaume wote mnaoteseka kwenye ndoa zenu. Inawezekana wengine wanakuja kulalamika mitandaoni kwa sababu kwenye maisha halisi hawapati nafasi ya kujieleza
kama kuna mwanaume humu JF anapitia huu moto nampa pole ya dhati ya moyo wangu🤝
Sijaingilia nipo mbali nazo😁Acha kuingilia ndoa za watu
Sasa ulitegemea mlevi achukuliwe kwa staha hapo? Mtu mwenyewe umesema alikuwa amelewa chakali huoni hiyo ni shida?Leo kuna sehemu fulani nilikuwa nimekaa zangu nakunywa soda. Karibu yangu kulikuwa na baba mmoja wa makamo kidogo, alikuwa meza ya pembeni anakunywa pombe na tayari alikuwa amelewa chakalii.
Ghafla nikamsikia anamwambia muhudumu: Usinione hivi, mimi nina mke na watoto watano. Nina gari nimepack hapo nje. Akaendelea kujisifia sana kuhusu maisha yake na misimamo yake, akisema yeye hayumbishwi na mtu.
Nikaanza kujiuliza moyoni: kwa nini mtu ajisifie kiasi hicho kwa mtu asiyemjua? Nikahisi kuna kitu hakiko sawa.
Baada ya muda mfupi akaingia mama mmoja mwenye kitambi, akamfuata pale mezani kwa hasira
We mpumbavu, mbona hupokei simu zangu? Simama twende!
Yule mwanaume aliyekuwa anajisifia muda mfupi uliopita akanywea kabisa Mama akachukua simu yake akaanza kuikagua pale pale huku amesimama, kisha akamuamrisha anyanyuke waondoke.
Kwa nje yule mwanaume anaonekana smart sana, ukikutana naye kwa umri wake unaweza kumpa heshima kubwa. Lakini nilichokiona pale kilinishangaza kumbe anaburuzwa sana ndani ya ndoa.
Hapo ndipo nikagundua kitu: labda baadhi ya wanaume wanaonekana wakali au wanaongea sana nje kwa sababu ndani ya nyumba hawana sauti.
Poleni wanaume wote mnaoteseka kwenye ndoa zenu. Inawezekana wengine wanakuja kulalamika mitandaoni kwa sababu kwenye maisha halisi hawapati nafasi ya kujieleza
kama kuna mwanaume humu JF anapitia huu moto nampa pole ya dhati ya moyo wangu🤝
Umemention 'Submissive' nimekua kwenye tafiti tangu mwaka jana kuhusu hii ishu ya Dominant na Submissive, nimegundua mambo mengi sana kuhusu mahusiano hasa ya ndoa, nimegundua kuna wanaume wanapenda kua submissive kwa wake zao, yaan ile sisi nje tunaona jamaa amelishwa limbwata kumbe jamaa yeye ndio kitu anakipenda, wenyewe wanasema anamruhusu mwanamke achukue power on his behalf, bado naendelea kufanya utafiti badaae niandike kitabu,Kuna wanaume wameoa wanawake ambao hawakupaswa kuwa wake zao...
Mwanamke akimpenda mwanaume toka moyoni huwa anakuwa submissive...
Lakini hii haihusu baadhi ya makabila wanajijua...😝
Mada maalum kwa wanandoa | Page 87 | JamiiForums Mada maalum kwa wanandoaLeo kuna sehemu fulani nilikuwa nimekaa zangu nakunywa soda. Karibu yangu kulikuwa na baba mmoja wa makamo kidogo, alikuwa meza ya pembeni anakunywa pombe na tayari alikuwa amelewa chakalii.
Ghafla nikamsikia anamwambia muhudumu: Usinione hivi, mimi nina mke na watoto watano. Nina gari nimepack hapo nje. Akaendelea kujisifia sana kuhusu maisha yake na misimamo yake, akisema yeye hayumbishwi na mtu.
Nikaanza kujiuliza moyoni: kwa nini mtu ajisifie kiasi hicho kwa mtu asiyemjua? Nikahisi kuna kitu hakiko sawa.
Baada ya muda mfupi akaingia mama mmoja mwenye kitambi, akamfuata pale mezani kwa hasira
We mpumbavu, mbona hupokei simu zangu? Simama twende!
Yule mwanaume aliyekuwa anajisifia muda mfupi uliopita akanywea kabisa Mama akachukua simu yake akaanza kuikagua pale pale huku amesimama, kisha akamuamrisha anyanyuke waondoke.
Kwa nje yule mwanaume anaonekana smart sana, ukikutana naye kwa umri wake unaweza kumpa heshima kubwa. Lakini nilichokiona pale kilinishangaza kumbe anaburuzwa sana ndani ya ndoa.
Hapo ndipo nikagundua kitu: labda baadhi ya wanaume wanaonekana wakali au wanaongea sana nje kwa sababu ndani ya nyumba hawana sauti.
Poleni wanaume wote mnaoteseka kwenye ndoa zenu. Inawezekana wengine wanakuja kulalamika mitandaoni kwa sababu kwenye maisha halisi hawapati nafasi ya kujieleza
kama kuna mwanaume humu JF anapitia huu moto nampa pole ya dhati ya moyo wangu🤝
Wanandoa wengi hawapendani | JamiiForums Wanandoa wengi hawapendaniKuna wanaume wameoa wanawake ambao hawakupaswa kuwa wake zao...
Mwanamke akimpenda mwanaume toka moyoni huwa anakuwa submissive...
Lakini hii haihusu baadhi ya makabila wanajijua...😝
😀😀Utakunywa sana sparetta bar,ukiulizwa hoo nimekunywa metakefline nina dozi..
DadyWanandoa wengi hawapendani | JamiiForums Wanandoa wengi hawapendani
ShukranMada maalum kwa wanandoa | Page 87 | JamiiForums Mada maalum kwa wanandoa
Utafiti mzuri kila la kheriUmemention 'Submissive' nimekua kwenye tafiti tangu mwaka jana kuhusu hii ishu ya Dominant na Submissive, nimegundua mambo mengi sana kuhusu mahusiano hasa ya ndoa, nimegundua kuna wanaume wanapenda kua submissive kwa wake zao, yaan ile sisi nje tunaona jamaa amelishwa limbwata kumbe jamaa yeye ndio kitu anakipenda, wenyewe wanasema anamruhusu mwanamke achukue power on his behalf, bado naendelea kufanya utafiti badaae niandike kitabu,
NB: nimetumia watu wenye status kama Doctors, Engineers, Police, CEOs,(hawa ndo wengi?)
Hata huyu kwa shape ya mwili wake anaweza kua miongoni mwa hayo makabila🫣Kuna wanaume wameoa wanawake ambao hawakupaswa kuwa wake zao...
Mwanamke akimpenda mwanaume toka moyoni huwa anakuwa submissive...
Lakini hii haihusu baadhi ya makabila wanajijua...😝
Kitu chema kimeonyesha upande wa pili wa tsh 😁Kuna kale kamsemo "YEYE ALIEPATA MKE AMEPATA KILICHO CHEMA", Kitu chema kutoka kwa mwanamke ni mtoto tu.. Vingine vyote utaisona namba kwa kirumi
Umemention 'Submissive' nimekua kwenye tafiti tangu mwaka jana kuhusu hii ishu ya Dominant na Submissive, nimegundua mambo mengi sana kuhusu mahusiano hasa ya ndoa, nimegundua kuna wanaume wanapenda kua submissive kwa wake zao, yaan ile sisi nje tunaona jamaa amelishwa limbwata kumbe jamaa yeye ndio kitu anakipenda, wenyewe wanasema anamruhusu mwanamke achukue power on his behalf, bado naendelea kufanya utafiti badaae niandike kitabu,
NB: nimetumia watu wenye status kama Doctors, Engineers, Police, CEOs,(hawa ndo wengi?)
Na hakika angemfahamu vyema asingethubutuIlo ndilo chaguo lake moja ya nukuu ya mkongwe mmoja anasema anajuta kumuoa mwanamke asiyemfahamu