Je wanaume wengi wanateseka kimya kimya kwenye ndoa zao?

Huu msala upo kwa wanaume wengi tu, walioa wakajikuta wameoa wanawake wababe na kuchomoka akili hiyo ikawa haipo. Badala ya kuoa/kuoana wao wameolewa, wamewekwa kiganjani hawana sauti ndani ya nyumba wanaburuzwa kama kijakazi mwanzo mwisho. Ukute mwanamke ni mchepukaji basi jamaa huwa kama boya tu ndoani ili mwanamkea aonekane ana mume rasmi.
 
Inakuaje mwanaume una zidiwa nguvu kiasi hicho ?
Yaan inaanza je mpka unaburuzwa hivyo?
 
Back
Top Bottom