Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
roho ni the part of a person that is not physical, and that contains their character, thoughts, and feelings. Many people believe that a person's soul continues to exist after they have died
Unajuaje kwamba ipo na si hadithi zisizo na ukweli tu?
zaidi ya watu 500 waliopata near death experience duniani kote walitumiwa kuthibitisha uwepo wa roho. Hii ni kufuatia watu hawa kuweza kuona mazingira yote yaliyowazunguka ikiwemo miili yao juu ya kitanda na kila vitendo vilivotendeka. hali hii huitwa out of body experience. roho inapouacha mwili nakurudi tena
Unajuaje kwamba wanachothibitisha ni roho na si hallucinations za ubongo kukosa oxygen au kitu kingine kama hicho kinachoweza kuelezewa differently medically?
Wengine wanaopata near death experience wasiposema kwamba wanaamini roho hilo litamaanisha nini kwako?
umbuka madoctor huwa wapo na humonitor other factors,
factor za kitabibu, ili kuhakikisha kuwa hiyo experience haikuwa influenced na hallucination due to some organ failure
kilanga uelewa wako wa mambo ya kitabibu ukoje??? lets start here
Uko kwa kuanzia kwamba mambo ya kitabibu ni mambo ya kisayansi, yanayothibitishwa kwa kanuni za kisayansi.
Na mpaka sasa hujathibitisha kwamba roho ipo kwa kanuni za kisayansi.
Nimekuuliza kipimo kinachopima iwepo wa roho ni kipi?
Hujajibu.
hakuna kipimo cha roho,
Soul ni roho
Spirit ni nafsi
Usichanganye hayo mawili ...!!