Je wanyama na mimea wana roho (do animal and plants have soul)

Ebu fafanua zaidi eliza, self ni nini?
According to Merriam Webster self ni:
the person that someone normally or truly is
: a particular part of your personality or character that is shown in a particular situation
: the personality or character that makes a person different from other people : the combination of emotions, thoughts, feelings, etc., that make a person different from others
 
Last edited by a moderator:
Mimea ina uhai. Uhai ni spirt ambayo ni roho. Roho ni mind.Specifically ni subconsious mind
They create themeselves they live they die and they regenerat . Hili ni somo kuu ambalo sio rahisi kuelezea hapa
 
Uko kwa kuanzia kwamba mambo ya kitabibu ni mambo ya kisayansi, yanayothibitishwa kwa kanuni za kisayansi.

Na mpaka sasa hujathibitisha kwamba roho ipo kwa kanuni za kisayansi.

Nimekuuliza kipimo kinachopima uwepo wa roho ni kipi?

Hujajibu.

kwanini unapenda kila.kitu kithibitishwe kwa kanuni za kisayansi.
yaani sayansi.imeozesha kabisa uwezo wako wa kufikiri.
thibitisha upendo kwa kutumia kanuni za kisayansi ...
 
kwanini unapenda kila.kitu kithibitishwe kwa kanuni za kisayansi.
yaani sayansi.imeozesha kabisa uwezo wako wa kufikiri.
thibitisha upendo kwa kutumia kanuni za kisayansi ...

Wewe unaweza kuthibitisha kwa kanuni gani?

Kuna kuthibitisha gani kusiko kwa kisayansi?
 
Mimea ina uhai. Uhai ni spirt ambayo ni roho. Roho ni mind.Specifically ni subconsious mind
They create themeselves they live they die and they regenerat . Hili ni somo kuu ambalo sio rahisi kuelezea hapa

Mfamaji, elezea plse, watu wanahitaji hayo maelezo
 
Last edited by a moderator:
Hii mada Tamuu kila stage inayovuka na kuleta swali jingine la nyuma halijapata jawabu...
 
Uko kwa kuanzia kwamba mambo ya kitabibu ni mambo ya kisayansi, yanayothibitishwa kwa kanuni za kisayansi.

Na mpaka sasa hujathibitisha kwamba roho ipo kwa kanuni za kisayansi.

Nimekuuliza kipimo kinachopima uwepo wa roho ni kipi?

Hujajibu.

kwanini unapenda kila.kitu kithibitishwe kwa kanuni za kisayansi.
yaani sayansi.imeozesha kabisa uwezo wako wa kufikiri.
thibitisha upendo kwa kutumia kanuni za kisayansi ...

thibitisha upendo kwa kisayansi...

Vipi ndo uko kutengeneza kifaa cha kuthibitishia UPENDO kisayansi ?
 
!
!
Nadhani hakuna kitu kinaitwa roho, pia nafikiri kuna uwezekano wa kuwa na maisha baada ya kufa, ndio kusema kuwa tukifa tutarudi kule ambako tulikuwepo kabla hatujazaliwa.
 
Kwani wewe unajua roho ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…