Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
Sawa,chanzo cha uhai ni Mungu,lakini Mungu ni uhai?
Mungu kuwa ni uhai hakufanyi yeye awe ndio uhai
Kwani ni unadhani hakuna tofauti kati ya uhai na roho?
Hujui kama inawezekana mbwa yupo hai kwasababu ana uhai lakini sio kwamba ana roho?
Binadamu ana uhai lakini sio kwasababu ana roho bali ni kwasababu moja kati ya vilivyiunda roho ni uhai?
Hivi unajua kama kuna roho ya mauti?
Kama unadhani uhai ni roho pekee jua kuwa unajidanganya sana na unapaswa kufikiri zaidi!
Kwanini niseme hivyo?Nimeshakwambia sema hutaki kuelewa.
First thing first,nani kakua mbia google translate iko sahihi?Nenda kwenye Google translate type Nafsi Kiswahili maana yake inakuja Soul kwa English haiji Spirit.
Simple is not simple by the way ....!!That simple!
Mkuu naona hatuelewani, unanijibu kwa yale uliyolishwa ambayo hata kwenye biblia hakuna!!!!!
Nimeuliza swali wewe unatoa maelezo!!!
Kipi nimesema hakipo kwenye biblia?
Kipi ambacho wewe unasema na hujalishwa?
Kipi nilichosema na nimelishwa?
Sasa kama hutaki maelezo unataka nini sasa?
Na kwa mtindo huu wa kuuliza kitu ambacho hujui kinakuletea nini ni kweli hatutaelewana!
Ngoja niishie hapa mkuu.
Soul sasa ndio inaweza kuelezewa kama nafsi
Sasa nafsi si ndio roho yenyewe.
Mkuu,
Ngoja nikuambie kitu
Roho na nafsi ni vitu viwili tofauti kabisa
Roho ni spirit
Nafsi ni soul
Hili ni tatizo la wengi na wengine wanabisha huku wakiwa sahihi bila kuwa na sababu
Kwahiyo mkuu wanyama wanaweza kuwa na uhai na wasiwe na spirit ila wakawa ni nafsi hai [soul]
Jambo hili tulishalijadili sana hapa : https://www.jamiiforums.com/dini-im...yansi-kutokuwa-ndio-mamlaka-ya-mwisho-21.html
Kama huna access kwenye jukwaa la dini muombe Invisible kwa kumtumia PM na atakupa na utajionea mengi humo kwa faida yako!
Kwanini niseme hivyo?
Hivi unajua maana ya "kwanini"?
First thing first,nani kakua mbia google translate iko sahihi?
Kwanini mimi niwe wrong na google iwe sahihi?
Nani kaweka hiyo tafsiri huko?
Pamoja na hayo,kwanini usiweke hapa hicho ulichokielewa huko nikakuchallenge?
Huko google nitamchalenge nani?
Halafu unajua maana ya kujadili jambo hapa?
Kama tutakuwa tunaambiana "nenda google" kuna haja gani ya kuwa na forum kama hii?
Google imenyang'anya kabisa uwezo wako wa kufikiri hadi udhani kila kilichoko huko ni sahihi tu?
Hebu jaribu kuwa mtu huru hata mara moja basi
Simple is not simple by the way ....!!
Kwanza namna viumbe vingine tofauti na Binadamu viliumbwa kwa Mungu kutamka tu,yaani neno ndilo lililoumba [Yesu],lakini binadamu aliumbwa au kwa lugha nyingine Mungu mkamilifu [nafsi zote tatu] zilihusika kwenye uumbaji wa mwanadamu na hata alivyoumbwa imeelezwa,kwa maana hiyo basi viumbe vingine vina uhai lakini havina roho
Nasema hivyo kwasababu Mungu ni roho na wakati anamuumba binadamu alisema kabisa "tumuumbe mtu kwa mfano wetu [roho]" lakini wakati anamuumba binadamu hakusema hivyo,kwa maana hiyo kama hakumuumba mbuzi au ng'ombe kwa mfano wake na Mungu ni roho basi hao wengine hawana ule mfanano wa Mungu ambao ni roho
Nikija kwenye hoja yako ya uwepo wa viumbe wengine baada ya maisha haya ni kwamba kwanza haijaelezwa kuwa vitafufuliwa hivi ambavyo leo vinakufa bali imeelezwa vitakuwepo kama hivi,sasa kwa maana hii ni kwamba inawezekana vitaumbwa vingine tofauti na hivi na tutaishi navyo milele bila kuharibika!
Mkuu,
Ngoja nikuambie kitu
Roho na nafsi ni vitu viwili tofauti kabisa
Roho ni spirit
Nafsi ni soul
Hili ni tatizo la wengi na wengine wanabisha huku wakiwa sahihi bila kuwa na sababu
Kwahiyo mkuu wanyama wanaweza kuwa na uhai na wasiwe na spirit ila wakawa ni nafsi hai [soul]
Jambo hili tulishalijadili sana hapa : https://www.jamiiforums.com/dini-im...yansi-kutokuwa-ndio-mamlaka-ya-mwisho-21.html
Kama huna access kwenye jukwaa la dini muombe Invisible kwa kumtumia PM na atakupa na utajionea mengi humo kwa faida yako!
Ni nguvu ambayo haionekani kwa macho yetu ya kawaida kwasababu ni kama upepo,nguvu hii ndio iliyoko ndani ya mwanadamu na ndio ambayo inampa uhai na ndio maana inahusishwa na pumzi!
Hebu muulize anapotamka neno Holy spirit anakuwa na maana ya nafsi takatifu? Au Roho m/takatifu? Asipo kuelewa tena mwitie kifimbo cheza AkA faiza foxyNimeshakwambia sema hutaki kuelewa. Nenda kwenye Google translate type Nafsi Kiswahili maana yake inakuja Soul kwa English haiji Spirit. That simple!
!
!
Nadhani hakuna kitu kinaitwa roho, pia nafikiri kuna uwezekano wa kuwa na maisha baada ya kufa, ndio kusema kuwa tukifa tutarudi kule ambako tulikuwepo kabla hatujazaliwa.
upepo unapimika roho inapimika? kama ni nguvu yaan force basi inapimika kwan force zote zinapimika sasa iyo roho inapimikaje kama ni force otherwise si force!!!!
Mpaka sasa hakuna uthibitisho wowote kwamba kuna roho popote.
Licha ya kuulizia mara lukuki kutaka kupewa uthibitisho au hata ushahidi tu.
Kwahiyo ukweli ni upi sasa hebu tupe maarifa.