Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 966
- 6,019
'Bila Kunyukwa'😀 ishakuwa Imani tena. Nahisi tunahitaji huduma ya ushauri nasihiSisi wa africa bila kunyukwa hatuendi jamii nyingi tunazotamani kuziiga nao wana mambo yao ya ajabu , sio kitu cha ajabu watoto wakizungu kuwaambia wazazi wao wanavutiwa na mahusiano ya jinsia moja na kwao ni kawaida tu.
Mda mwingne tusipuuze desturi zetu na kuiga za watu ambazo kiundani zina madhara yake pia.