Je, Watu waliokufa wana nguvu kuliko walio hai?


Mwanadamu ameumbwa KWA mfano wa MUNGU,kwa kuviunganisha vitu vitatu,mwili,nafsi na ROHO.
Mungu ni roho na sio mwili,bali anaouwezo wa kuuvaa mwili wa binadamu (Yesu Kristo).
Mwanadamu ameumbwa kwa udongo,thus Ili tuishi ni lazima tule udongo ( chakula).
Mizimu ni roho wachafu waovu waliokaribishwa na vizazi vyetu vilivyopita kuwa watawala na wamiliki wa ukoo fulani.
Mizimu haitaki maendeleo.
 
Kuna kitu kinaitwa roho! Roho ni nishati hai.. Na tafsiri ya nishati naomba niiweke kwa kizungu energy can neither be created nor destroyed it can be transformed.. Kwahiyo roho haifi bali kinachokufa ni mwili uharibikao

Mwanadamu ni muunganiko wa vitu viwili roho(pumzi) na mwili(jumba) chochote kinachotokea mwilini asili yake ni roho/rohoni
Roho inapokuwa ndani ya mwili wa binadamu huwa na limitations nyingi(ukomo wa kiwango cha maamuzi na matendo) lakini inapokuwa nje ya mwili iko huru zaidi ya uwezo wa kibinadamu (limitless)
Kwahiyo chochote kifanywacho na mwili kwenye maamuzi na matendo hubebwa na roho mpaka kifo cha mwili kitakapotokea
Kama ni maagano
Kama ni malipizi
Kama ni baraka
Kama ni maagizo nk vyote hivi roho huja kuvifanya kwa ukamilifu wake baada ya kifo cha mwili na athari zake huenda kutokea kwenye miili kusudiwa iliyo bado na uhai
What a strange phenomenon [emoji3064][emoji848][emoji2827]
 
Kwa imani yako na tafsiri yako ya kifo sitaweza kukujibu,na watakaokujibu ili uelewe ni wale wenye imani kama yako...
 
AFRIKA TWAITA MZIMU.MAARIFA UMEMALIZA.NIKUITE MAARIFA.
 
Ukiulizwa vizuri utakosa jibu, wakati yesu akiwa milimani akiomboleza yatakayompata alitokewa na watu watatu WALIOPATA KUFAGA.NI NINI KILE?
 
MIZIMU ninini?
 
MIZIMU ninini?
 
MIZIMU ninini?
Shetani aliyeuvaa mwili wa mababu waliokufa na kujipa umiliki juu ya utawala wa maisha ya ukoo husika ulio hai kupitia taswira ya babu yao aliyekufa zamani.
Hii ni kwa mujibu wa Biblia, Quran na vitabu vya elimu ya uchawi.
 
Shetani aliyeuvaa mwili wa mababu waliokufa na kujipa umiliki juu ya utawala wa maisha ya ukoo husika ulio hai kupitia taswira ya babu yao aliyekufa zamani.
Hii ni kwa mujibu wa Biblia, Quran na vitabu vya elimu ya uchawi.
Fanya utafiti vizuri. Mtu akifa anakuwa mzimu baadaye muhenga...
 
Mkuu hii siri ni marehemu alikupa?
 
Ubongo ni sehemu ya mwili au roho? Kama ni mwili nishati inatumia hardware gani kuhifadhi kumbukumbu mpaka iwe huru huku ikiwa na maamuzi? Kwa mfano wako, ukichukua roboti la computer lisilo na software ukaliwekea software linafanya kazi, ukiua hardware ile software inakuwepo bado lakini inaweza kutumika bila hardware? Kwa ufupi nauliza, Nishati zetu zina ufahamu bila ubongo?
 
Mizimu na kuzimu ni vitu viwili tofauti.
MZIMU uishi duniani na kuzimu kuwatawala wanadamu.mzimu ni roho.
KUZIMU ni mahali katika ulimwengu usioonekana hapahapa duniani ambapo ni makao ya mda ya shetani na wafuasi wake.Mchawi, mganga,waabudu shetani, mitume na manabii wa uongo,wasanii,nk wanaouwezo wa kuingia na kutoka kuzimu kwa kutumia password maalumu.
Kuzimu ni kubwa kuliko dunia.
So kuzimu ni sehemu na Mzimu ni roho chafu.
 
Fanya utafiti vizuri. Mtu akifa anakuwa mzimu baadaye muhenga...
Kwa elimu ya uchawi na dini upinga hili.
Mtu akifa matendo yake ndio uamua wapi aende mbinguni au kuzimu.
Thus wengine ukata roho wakitabasamu, na wengine ukata roho kwa mateso Sana yaani kama wanagoma au uhangaika sana wakati roho inaacha mwili.
 
Duh hii haijakaa sawa
 
Huwa natambua Mizimu, Mapepo, Majini, Wachawi, Washirikina, Wanga, Walonzi na Waganga wa kienyeji ni Mawakala wakuu wa Shetani.

Inakuwaje Mizimu iwe na nguvu kuliko Majini na Wachawi ilihali wote chimbuko lao ni moja(Shetani)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…