Adamu alikuwa wapi kabla Mungu hajamuumba kutokana na mavumbi?
Hakuwa popote. Hakuwa kiumbe wa roho huko mbinguni, ambaye baadaye angezaliwa akiwa mwanadamu. Hakuwa popote.
Mtu akifa, uhai wake unakoma. Kifo ni kinyume cha uhai. Kwa hiyo, mtu akifa haendelei kuishi mahali pengine, hisia na mawazo yake hupotea. Tukifa hatuwezi kuona, kusikia, wala kufikiri.
Hakuna kazi wala mipango wala ujuzi wala hekima Kaburini.
Mtu akifa “mawazo yake” hupotea.
Upendo wao na chuki yao na wivu wao tayari umetoweka.
Waliokufa hawajui jambo lolote kamwe!
Roho wako! Katika makao ya roho yasiyoonekana, kuna roho wema na wabaya pia.
Roho (wabaya) si watu walioishi duniani na baadaye wakafa. Roho ni mashetani wenyewe! Mashetani wanaweza kumchunguza mtu akiwa hai; wanajua jinsi alivyokuwa akiongea, alikuwa na sura gani, alifanya mambo gani, na alijua nini. Kwa hiyo si vigumu kwao kuwaiga watu waliokufa. Mashetani ni roho walioasi, wana uwezo wa kipekee.
Hakuna mizimu bali roho wachafu katika nafasi ya wafu.
Mwanadamu ameumbwa KWA mfano wa MUNGU,kwa kuviunganisha vitu vitatu,mwili,nafsi na ROHO.
Mungu ni roho na sio mwili,bali anaouwezo wa kuuvaa mwili wa binadamu (Yesu Kristo).
Mwanadamu ameumbwa kwa udongo,thus Ili tuishi ni lazima tule udongo ( chakula).
Mizimu ni roho wachafu waovu waliokaribishwa na vizazi vyetu vilivyopita kuwa watawala na wamiliki wa ukoo fulani.
Mizimu haitaki maendeleo.