Je, Watu waliokufa wana nguvu kuliko walio hai?

Adamu alikuwa wapi kabla Mungu hajamuumba kutokana na mavumbi?
Hakuwa popote. Hakuwa kiumbe wa roho huko mbinguni, ambaye baadaye angezaliwa akiwa mwanadamu. Hakuwa popote.

Mtu akifa, uhai wake unakoma. Kifo ni kinyume cha uhai. Kwa hiyo, mtu akifa haendelei kuishi mahali pengine, hisia na mawazo yake hupotea. Tukifa hatuwezi kuona, kusikia, wala kufikiri.
Hakuna kazi wala mipango wala ujuzi wala hekima Kaburini.
Mtu akifa “mawazo yake” hupotea.
Upendo wao na chuki yao na wivu wao tayari umetoweka.
Waliokufa hawajui jambo lolote kamwe!

Roho wako! Katika makao ya roho yasiyoonekana, kuna roho wema na wabaya pia.
Roho (wabaya) si watu walioishi duniani na baadaye wakafa. Roho ni mashetani wenyewe! Mashetani wanaweza kumchunguza mtu akiwa hai; wanajua jinsi alivyokuwa akiongea, alikuwa na sura gani, alifanya mambo gani, na alijua nini. Kwa hiyo si vigumu kwao kuwaiga watu waliokufa. Mashetani ni roho walioasi, wana uwezo wa kipekee.
Hakuna mizimu bali roho wachafu katika nafasi ya wafu.

Mwanadamu ameumbwa KWA mfano wa MUNGU,kwa kuviunganisha vitu vitatu,mwili,nafsi na ROHO.
Mungu ni roho na sio mwili,bali anaouwezo wa kuuvaa mwili wa binadamu (Yesu Kristo).
Mwanadamu ameumbwa kwa udongo,thus Ili tuishi ni lazima tule udongo ( chakula).
Mizimu ni roho wachafu waovu waliokaribishwa na vizazi vyetu vilivyopita kuwa watawala na wamiliki wa ukoo fulani.
Mizimu haitaki maendeleo.
 
Kwa kifupi tuanze kujadili dhana ya kifo ninayoiamini "Kifo ni kuondoka taratibu kutoka Sasa Hadi zamani. Yani kutoka kuto kuwepo na kuwepo(kuzaliwa) kutoka kuwepo na kutokuwepo Tena(kufa).
Madondoo ya miongozo ninayoiamini

-Kufa ni namna nyingine ya kuishi ya binadamu
- Mtu hafi akapotea (MTU mwema hafi akapotea mpaka pale watu watakapoacha kumkumbuka.

Je nikweli MTU akifa anakuwa na nguvu uhai kubwa kuliko mtu aliye hai.
Kwa mujibu wa FALSAFA za kiafrika nguvu uhai ipo katika mioangilio huu
MUNGU
|
WAHENGA
|
MIZIMU
|
WAGANGA
|
BINADAMU

Kama mpangilio huu upo sahihi Basi watu waliokufa wanaweza kuwa na nguvu zaidi kwakuwa wapo karibu na mwenye mamlaka mweza wa yote "MUNGU"

MAMBO YA KUYATAZAMA

1. Kwa waafrika sio ajabu kusikia watu wakiomba misaada kwa mababu wao wa zamani ambao walikwisha Kufa

2. Watu walio hai wanaogopa Sana watu walio kufa Mizimu na wahenga na watu hudhani kuwa watu waliokufa huweza kuwadhuru watu walio hai hasa Kama wakiacha laana na n.k

3. Baadhi ya dini huwaomba watu waliokufa zamani wanaosadikika kuwa na matendo mema ambao huitwa watakatifu ili wawaombee kwa Nguvu uhai kubwa kuliko zote ambayo ni Mungu

Bada ya hayo je Watu waliokufa wanayo Nguvu uhai kubwa kuliko watu walio hai?
Kuna kitu kinaitwa roho! Roho ni nishati hai.. Na tafsiri ya nishati naomba niiweke kwa kizungu energy can neither be created nor destroyed it can be transformed.. Kwahiyo roho haifi bali kinachokufa ni mwili uharibikao

Mwanadamu ni muunganiko wa vitu viwili roho(pumzi) na mwili(jumba) chochote kinachotokea mwilini asili yake ni roho/rohoni
Roho inapokuwa ndani ya mwili wa binadamu huwa na limitations nyingi(ukomo wa kiwango cha maamuzi na matendo) lakini inapokuwa nje ya mwili iko huru zaidi ya uwezo wa kibinadamu (limitless)
Kwahiyo chochote kifanywacho na mwili kwenye maamuzi na matendo hubebwa na roho mpaka kifo cha mwili kitakapotokea
Kama ni maagano
Kama ni malipizi
Kama ni baraka
Kama ni maagizo nk vyote hivi roho huja kuvifanya kwa ukamilifu wake baada ya kifo cha mwili na athari zake huenda kutokea kwenye miili kusudiwa iliyo bado na uhai
What a strange phenomenon [emoji3064][emoji848][emoji2827]
 
Kwa imani yako na tafsiri yako ya kifo sitaweza kukujibu,na watakaokujibu ili uelewe ni wale wenye imani kama yako...
 
Kuna kitu kinaitwa roho! Roho ni nishati hai.. Na tafsiri ya nishati naomba niiweke kwa kizungu energy can neither be created nor destroyed it can be transformed.. Kwahiyo roho haifi bali kinachokufa ni mwili uharibikao

Mwanadamu ni muunganiko wa vitu viwili roho(pumzi) na mwili(jumba) chochote kinachotokea mwilini asili yake ni roho/rohoni
Roho inapokuwa ndani ya mwili wa binadamu huwa na limitations nyingi(ukomo wa kiwango cha maamuzi na matendo) lakini inapokuwa nje ya mwili iko huru zaidi ya uwezo wa kibinadamu (limitless)
Kwahiyo chochote kifanywacho na mwili kwenye maamuzi na matendo hubebwa na roho mpaka kifo cha mwili kitakapotokea
Kama ni maagano
Kama ni malipizi
Kama ni baraka
Kama ni maagizo nk vyote hivi roho huja kuvifanya kwa ukamilifu wake baada ya kifo cha mwili na athari zake huenda kutokea kwenye miili kusudiwa iliyo bado na uhai
What a strange phenomenon [emoji3064][emoji848][emoji2827]
AFRIKA TWAITA MZIMU.MAARIFA UMEMALIZA.NIKUITE MAARIFA.
 
Adamu alikuwa wapi kabla Mungu hajamuumba kutokana na mavumbi?
Hakuwa popote. Hakuwa kiumbe wa roho huko mbinguni, ambaye baadaye angezaliwa akiwa mwanadamu. Hakuwa popote.

Mtu akifa, uhai wake unakoma. Kifo ni kinyume cha uhai. Kwa hiyo, mtu akifa haendelei kuishi mahali pengine, hisia na mawazo yake hupotea. Tukifa hatuwezi kuona, kusikia, wala kufikiri.
Hakuna kazi wala mipango wala ujuzi wala hekima Kaburini.
Mtu akifa “mawazo yake” hupotea.
Upendo wao na chuki yao na wivu wao tayari umetoweka.
Waliokufa hawajui jambo lolote kamwe!

Roho wako! Katika makao ya roho yasiyoonekana, kuna roho wema na wabaya pia.
Roho (wabaya) si watu walioishi duniani na baadaye wakafa. Roho ni mashetani wenyewe! Mashetani wanaweza kumchunguza mtu akiwa hai; wanajua jinsi alivyokuwa akiongea, alikuwa na sura gani, alifanya mambo gani, na alijua nini. Kwa hiyo si vigumu kwao kuwaiga watu waliokufa. Mashetani ni roho walioasi, wana uwezo wa kipekee.
Hakuna mizimu bali roho wachafu katika nafasi ya wafu.
Ukiulizwa vizuri utakosa jibu, wakati yesu akiwa milimani akiomboleza yatakayompata alitokewa na watu watatu WALIOPATA KUFAGA.NI NINI KILE?
 
Kwa mujibu wa Biblia na Quran tukufu.
Hakuna connection Kati ya waliohai na waliokufa, isipokuwa ni michezo ya shetani kupitia mizimu Ili apate kuwapotosha watu.
Kinachokufa ni mwili na sio roho na nafsi. Mwili uoza kaburini, nafsi na roho urudi KWA Muumba kusubiria hukumu.
MIZIMU ninini?
 
Waafrika waliingiaje kwenye MIZIMU.
Waafrika walikuwa gizani wakimtafuta Mungu so walikuwa wakiomba wasichokielewa waliomba Milima, miti mikubwa, nk. Ndipo shetani akatake advantage kupitia mizimu akajifunua kwao kujibu kupitia vile walivyoviomba, ikiwemo kuwatokea watu kupitia sura za mababu zao wa zamani waliokufa kwa kuwapa maagizo mfano watoe sadaka za wanyama, vyakula, damu za watu, nk Ili wapate kusaidiwa.
Upo uhusiano Mkubwa Kati ya mchawi, mganga, wahenga, mizimu, majini kwa maana hawa wote wapo chini ya mmiliki mmoja ambae wao umuita mungu yaani shetani.
Thus mchawi anaouwezo wa kupatana na Mzimu wa ukoo wenu ukuondolee kinga Ili wakuloge, hii ni kwa wale wanaolindwa na mizimu.
Mchawi akikushindwa anauuita Mzimu wenu anauambia namtaka fulani then Mzimu umwambia mchawi utanipa nini mchawi uuliza Mzimu useme unataka upewe nini, Mzimu usema upewe labda, kuku, chakula, asali, maziwa, nk. Then mchawi umpa Mzimu akitakacho KISHA Mzimu ukuondolea kinga then unalogwa au uliwa na wachawi.
Mchawi, jini, mganga, nk hawana uwezo wa kuua Mzimu, Mzimu unao uwezo wa kuwauwa hao wote.
MIZIMU ninini?
 
MIZIMU ninini?
Shetani aliyeuvaa mwili wa mababu waliokufa na kujipa umiliki juu ya utawala wa maisha ya ukoo husika ulio hai kupitia taswira ya babu yao aliyekufa zamani.
Hii ni kwa mujibu wa Biblia, Quran na vitabu vya elimu ya uchawi.
 
Fanya utafiti vizuri. Mtu akifa anakuwa mzimu baadaye muhenga...
 
roho ya binadamu imekuwa captured na mwili hivyo ipo limited kwa walio na mwili, ila mwili ukifa unakuwa huru limitless power. Sasa hapa inategemea wakati ukiwa hai ulikuwa upande wa giza au nuru, kama ulikuwa nuru basi roho yako itaungana na nuru kuu ya ulimwengu, kama ulikuwa giza/muovu basi utaenda kujaza giza ulimwenguni
Mkuu hii siri ni marehemu alikupa?
 
Kuna kitu kinaitwa roho! Roho ni nishati hai.. Na tafsiri ya nishati naomba niiweke kwa kizungu energy can neither be created nor destroyed it can be transformed.. Kwahiyo roho haifi bali kinachokufa ni mwili uharibikao

Mwanadamu ni muunganiko wa vitu viwili roho(pumzi) na mwili(jumba) chochote kinachotokea mwilini asili yake ni roho/rohoni
Roho inapokuwa ndani ya mwili wa binadamu huwa na limitations nyingi(ukomo wa kiwango cha maamuzi na matendo) lakini inapokuwa nje ya mwili iko huru zaidi ya uwezo wa kibinadamu (limitless)
Kwahiyo chochote kifanywacho na mwili kwenye maamuzi na matendo hubebwa na roho mpaka kifo cha mwili kitakapotokea
Kama ni maagano
Kama ni malipizi
Kama ni baraka
Kama ni maagizo nk vyote hivi roho huja kuvifanya kwa ukamilifu wake baada ya kifo cha mwili na athari zake huenda kutokea kwenye miili kusudiwa iliyo bado na uhai
What a strange phenomenon [emoji3064][emoji848][emoji2827]
Ubongo ni sehemu ya mwili au roho? Kama ni mwili nishati inatumia hardware gani kuhifadhi kumbukumbu mpaka iwe huru huku ikiwa na maamuzi? Kwa mfano wako, ukichukua roboti la computer lisilo na software ukaliwekea software linafanya kazi, ukiua hardware ile software inakuwepo bado lakini inaweza kutumika bila hardware? Kwa ufupi nauliza, Nishati zetu zina ufahamu bila ubongo?
 
MIZIMU hukaa KUZIMU nao ni watu waliokufa. Kwa mujibu wa Wikipedia Kushukia kuzimu ni fundisho la imani ya madhehebu mbalimbali ya Ukristo la kwamba Yesu Kristo, baada ya kufa msalabani siku ya Ijumaa kuu na kabla ya kufufuka kwa utukufu usiku wa Pasaka, alishukia kuzimu kwa nguvu ili kutoa roho za waadilifu zilizokuwa zikisubiri ukombozi kutoka kwake.[1]

Mizimu na kuzimu ni vitu viwili tofauti.
MZIMU uishi duniani na kuzimu kuwatawala wanadamu.mzimu ni roho.
KUZIMU ni mahali katika ulimwengu usioonekana hapahapa duniani ambapo ni makao ya mda ya shetani na wafuasi wake.Mchawi, mganga,waabudu shetani, mitume na manabii wa uongo,wasanii,nk wanaouwezo wa kuingia na kutoka kuzimu kwa kutumia password maalumu.
Kuzimu ni kubwa kuliko dunia.
So kuzimu ni sehemu na Mzimu ni roho chafu.
 
Fanya utafiti vizuri. Mtu akifa anakuwa mzimu baadaye muhenga...
Kwa elimu ya uchawi na dini upinga hili.
Mtu akifa matendo yake ndio uamua wapi aende mbinguni au kuzimu.
Thus wengine ukata roho wakitabasamu, na wengine ukata roho kwa mateso Sana yaani kama wanagoma au uhangaika sana wakati roho inaacha mwili.
 
Mizimu na kuzimu ni vitu viwili tofauti.
MZIMU uishi duniani na kuzimu kuwatawala wanadamu.mzimu ni roho.
KUZIMU ni mahali katika ulimwengu usioonekana hapahapa duniani ambapo ni makao ya mda ya shetani na wafuasi wake.Mchawi, mganga,waabudu shetani, mitume na manabii wa uongo,wasanii,nk wanaouwezo wa kuingia na kutoka kuzimu kwa kutumia password maalumu.
Kuzimu ni kubwa kuliko dunia.
So kuzimu ni sehemu na Mzimu ni roho chafu.
Duh hii haijakaa sawa
 
Ni tafsiri ya wengine wanavyoamini hivyo.
Lakini elimu ya dini pia elimu ya uchawi vinapinga dhana hii.
Elimu ya uchawi na elimu ya dini vinakubaliana ya kwamba Mzimu ni shetani aliyeuvaa mwili wa binadamu na kuwatokea jamaa husika ukoo, kabila,nk KWA kujifanya eti ni mababu wa Jamii hio.
Mzimu mmoja unao uwezo wa kuishi hadi miaka elf 6 ukisimamia Jamii husika.So Mzimu unajua family tree YAKO yaani asili na chimbuko lako vizazi na vizazi,hii hata waganga wanaweza kujua kupitia pepo la utambuzi.
Mizimu Ina nguvu kuliko wachawi na majini.
Huwa natambua Mizimu, Mapepo, Majini, Wachawi, Washirikina, Wanga, Walonzi na Waganga wa kienyeji ni Mawakala wakuu wa Shetani.

Inakuwaje Mizimu iwe na nguvu kuliko Majini na Wachawi ilihali wote chimbuko lao ni moja(Shetani)?
 
Back
Top Bottom