Je, WAVUVI CAMP hii aibu kwa jamii wanayofanya mchana kweupe wapo juu ya Sheria?

Mwanangu yupo dar huko....dar yenyewe sasa yàmoto hatarii....🀣🀣🀣
 
Duh ngoja niende benki lazima nikaangalie kama nina salio la kutosha lazima niende huko kama kufa nikafie huko ,kama umasikini kunimaliza ukanimalizie huko siwezi tena kubaki nyumbani ,duh Dar es Salam raha jamani
Na nzi kufia kidondani ndiyo mwake, kajilipue mkuu maisha yenyewe mafupi haya ponda mali kufa kwaja.
 

Shida iko wapi hapo?
 
Wanasaidia kupunguza stress kwa watawala batili
 
Hawa lazima watakuwa na mkono wa CCM sio bure. Ndizo ajira zenyewe ambazo serikali ya CCM imebuni.
 
Hivi ni vitendea kazi vya CCM, maana wakitaka kukutumia wanakuvua utu wako kwanza kisha wakufanye watakavyo.
CCM ni hatari sana na mabingwa wa ushindi wa figisu.si wazitumie sasa huko washinde mechi??! Na walete Kombe huku.Mie M Tanzania ila Timu yangu ni Nigeria - Ndege Tai- kama ni kesi ya uhaini wanipe tu sitishiki na sibadiliki.
 
Hapo kibaya nini? Wanaoingia humo ni watu wazima na wanaingia kwa hiari yao wenyewe wewe nini kinakuuma? Hapo wa kulaumiwa ni nyie mnaorekodi na kurusha hizi video zinafikia hadi wasio wahusika. Siku ukienda strip club si utachanganyikiwa wewe. Tafuta hela ule mema ya nchi bwana mdogo.
 
CCM ni hatari sana na mabingwa wa ushindi wa figisu.si wazitumie sasa huko washinde mechi??! Na walete Kombe huku.Mie M Tanzania ila Timu yangu ni Nigeria - Ndege Tai- kama ni kesi ya uhaini wanipe tu sitishiki na sibadiliki.
Taifa Stars ikifungwa huwa nafarijka sana. Nilikuwa mshabiki wa Simba lakini kutoka na kuwa CCM imezitumia timu za Simba na Yanga kama limbwata la kuwapumbaza Watanganyika nimezichukia zote Simba na Yanga, bora kushabikia timu za mbele huko kuliko kuisaidia CCM kudumaza fikra za Watanganyika.
 
CCM imefanya Vijana nchi hii mmekuwa MATAHIRA!

Watu waache kufurahi wakiwa kwenye Beach Costumes wewe unaleta Propaganda zako za Ki-TBC

Hii nchi Ina Vijana wajinga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…