Je, WAVUVI CAMP hii aibu kwa jamii wanayofanya mchana kweupe wapo juu ya Sheria?

Maadili sifuri, sahv ngono kwa kwenda mbele kama tuko Brazil

Ova
 
Daaaah ila sisi wanawake!!!πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Mimi ndiyo maana nikitukana mmoja wao then mtu akaniambia huyo nae ni kama mama yako na yeye huwa nampa kubwa vile vile akahangaike nalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…