britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Najiuliza uwajibikaji uko wapi? Ingekuwa nchi Kama Tunisia na Kenya au kwingineko kosa dogo tu linaondoa baadhi ya watu madarakani si kwa utashi wao!bali kwa Nguvu ya Umma na maandamano! Lakin hapo kwenye Kondoo wa Kiboko ya wachawi hata uwakojolee midomoni kila asubuhi
Utasikia yote twamuachia Mungu!
Kwa hili na Kwakuwa wananchi ni waoga namsihi Masauni aachie madaraka! Pili IGP na RPC kinondoni pamoja na RCO wake na watu wa kijotonyama waachie ngazi, kwa hiari Kama alivyo fanya mzee Mwinyi miaka ya nyuma,
Mpaka sasa watanzania si chini ya 60 wametekwa na hawajaulikani walipo na kauli zinatoka tu kirahisi kwamba ni drama! Au ikionekana serikali Ina husika utaambiwa itagharamia mazishi, “we have to stop this nonsense”
Britanicca