Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 3,338
- 6,327
Kutajwa na Rais ndo kutafanya uyafumbie macho maovu eti kujiheshimishaMkuu britanicca , kwanza ubarikiwe sana kwa uwepo wako na nyuzi zako.
Mwanzo jf ilikuwa just a social media ya user generated forum, mtu ulikuwa una post chochote na kinapanda. Sasa jf sio a social media only, jf sasa ni social media na mainstream digital media, iko more responsible na contents. Ukileta kitu too hot kinachoweza kuunguza, kinaondolewa kwanza, kinachunguzwa ikithibitika ni kweli, kinapandishwa. On be the first to know, could JF be ni funga kazi zaidi ya mainstream media zote? Shuhudia hapa
Nakushauri ukileta zile sensitive za kule mahali, zipooze kwa kuondoa majina ya watu, maana sasa jf pia ni 'sehemu' juzi kati kwenye kongamano la maendeleo sekta ya habari, Mama aliitaja jf na alimuita Max "Mwanangu Max", Rais Samia aitaja JamiiForums, asema utoaji wa Habari umehamia mtandaoni kama ilivyo JamiiForums
Tone ya Rais Samia kumuita Max mwanangu was a loving tone, hivyo kitendo cha kutajwa kwa jina na kwa upendo na Mkuu wa nchi ni heshima kibwa!, Rais Samia ameiheshimisha sana jf, hivyo lazima Max arudishe heshima hiyo kwa kutumia kanuni ya reciprocate, ukiaminiwa jiaminishe, ukipendwa pendeka na ukibebwa bebeka!!.
Nimenote siku hizi kwenye ziara zote za Rais Samia nje ya nchi, reporter wa jf yupo
P
Acha uchawa mkuu