Wrong Question ?
Nadhani swali sahihi ni kama anaweza ?
Kama kuna wawili wote wanaweza na wanavigezo sawa ila mmoja unamfahamu zaidi (hadi amekuwa mkwe wako) sioni ubaya k.. umchukua unless otherwise matatumia kujuana kwenu kuibia taifa..
Iko poa hii.
Hata kipindi cha utawala wa Nyerere, Maaskari wenye vyeo vikubwa wengi walitoka Musoma.
Baada tu ya kumaliza form Six!!!Ina maana huyu jamaa alianza kazi Kama register officer kabla hajapata degree 2002 au ndo alianza mafekechee kitambo
Utakuta baadae hadi binti naye wote wanakuwa PhD holders. Mtoto anazaliwa baba, mama na bibi wana PhD.
Bongo bila god father mmmmmhAcha tu...
Kuna rumours za wanamitandao na wanaharakati wanaodai kuwa Mohamed Mchengerwa aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Utawala Bora ni mkwe wa Rais, ameoa binti yake ambaye ni Mbunge viti maalum kutoka Zanzibar. Pia Mohamed inadaiwa kuwa ni Msimamizi Mkuu wa utendaji wa TISS.
Tumekuwa tukiwaandama marais waliopita kuwa wanateua ndugu zao, je na rais wetu anapita mulemule?
Binafsi sina shaka na uteuzi wake kutokana na CV yake. Pamoja na vigezo vingine, mtu huteuliwa kutokana na CV yake.
View attachment 1740159
Atamaliza tu ila na hayo majukumu yake Tena lohSawa sawa, amalizie umri unamruhusu
Labda kwenye conflict of interest ka declare hyo tayari so kwenye baadhi ya maamuzi anakuwa like pembeni, hii hufanyika kwa mashirika makubwa duniani so kwa Tzii sijui hyo ya ku declare conflict if interest.Hata kama ni mtendaji mzuri hii si sawa. Ni nepotism kama nepotism zingine. Mbaya zaidi hii ipo kote, kwa watu wa CCM na upinzani pia.
Kaoa kwa Mama, watu walokaribu wanalijua muda.Kapigwa za USO huko Twitter
View attachment 1740269
hapo kwenye phd level? alimaliza phd yake au? maana sioni ajituma dk. flani?Kuna rumours za wanamitandao na wanaharakati wanaodai kuwa Mohamed Mchengerwa aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Utawala Bora ni mkwe wa Rais, ameoa binti yake ambaye ni Mbunge viti maalum kutoka Zanzibar. Pia Mohamed inadaiwa kuwa ni Msimamizi Mkuu wa utendaji wa TISS.
Tumekuwa tukiwaandama marais waliopita kuwa wanateua ndugu zao, je na rais wetu anapita mulemule?
Binafsi sina shaka na uteuzi wake kutokana na CV yake. Pamoja na vigezo vingine, mtu huteuliwa kutokana na CV yake.
View attachment 1740159
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Masikini!Hata kama ungekuwa ni wewe una mwanao ana vigezo vinavyotakiwa na kuna kazi utashindwa kumwajiri?
Ukitaka namba zao nenda website ya BungeNashukuru JF.
Nimepata namba ya Mheshimiwa.
Ntaongea nae
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Hapenyi mtu hapoKwa hiyo jamaa anaenda kumlinda mama mkwe pale...pelekeni pua zenu sasa muone atakavyowatoa ufung'unyura.
Nafasi imempata mwenyewe.Kuna rumours za wanamitandao na wanaharakati wanaodai kuwa Mohamed Mchengerwa aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Utawala Bora ni mkwe wa Rais, ameoa binti yake ambaye ni Mbunge viti maalum kutoka Zanzibar. Pia Mohamed inadaiwa kuwa ni Msimamizi Mkuu wa utendaji wa TISS.
Tumekuwa tukiwaandama marais waliopita kuwa wanateua ndugu zao, je na rais wetu anapita mulemule?
Binafsi sina shaka na uteuzi wake kutokana na CV yake. Pamoja na vigezo vingine, mtu huteuliwa kutokana na CV yake.
View attachment 1740159
Ukiwa hujapata viroba unaongea mambo ya maana sana.Umeongea pointi ya maana,hongera kamandaHata kama ungekuwa ni wewe una mwanao ana vigezo vinavyotakiwa na kuna kazi utashindwa kumwajiri?
Kila mtu afe kivyake.Yaani mtu unavyo vigezo vyote eti usipewe nafasi Kwa kuwa tu ni mchumba/, Mkwe/ ndugu wa anayekuteua, hii sio Sawa!!