Je, Waziri wa Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa ni mkwe wa Rais Samia?

Hata kama ungekuwa ni wewe una mwanao ana vigezo vinavyotakiwa na kuna kazi utashindwa kumwajiri?
Mmawia tangu tumetoka Chato a/c yako wamei-hark sio wewe km yule mwenye a/c hii
yaani unatoa madini ya uhakika na kwa utulivu, kumbe Udikteta ulikuuma sana.
Huyu Mama naona hana upendelea km mtu wa Rufiji kamuolea Bintiye sasa hiv huko Kaskazini mtatembelewa, km angekuwa na wa kike (maana wameisha) mngembeba
Bravoooo Mmawia
 
Tuwekeeni CV ya Doto hapa , jamaa hajawahi hata kuwa class monitor akaja kuwa Katibu Mkuu hazina na mlipaji mkuu wa serikali, nchi hii inakwenda kasi sana
 
kizuri kula na nduguyo.....tunataka matokeo bora....hata akimuweka mme wake......
 
@MCHENGERWA fanya mpango basi kile kipande cha Nyamwage-Utete kiwekwe lami.
#NchiYaUlaji
 
Mkuu kuna vitu vingine vipo wazi sana,haiwezekani nina nafasi ya kazi na mtu wangu wa karibu ana vigezo nishindwe kumsaidia.
 
Tuwekeeni CV ya Doto hapa , jamaa hajawahi hata kuwa class monitor akaja kuwa Katibu Mkuu hazina na mlipaji mkuu wa serikali, nchi hii inakwenda kasi sana
Hivi mama kamuwachia aendelee kukamua?
 
@MCHENGERWA fanya mpango basi kile kipande cha Nyamwage-Utete kiwekwe lami.
#NchiYaUlaji
Aisee kile kipande kina maudhi sana hasa kipindi cha mvua.
Ndiyo maana Tokyo Takala ameendelea kutawala hiyo njia.
 
Primary kasoma miaka 8
olevel kasoma miaka 3
huko kwenye ajira ndio haieleweki eleweki kabisa!


btw hicho chuo KIU ndiyo hicho cha gongo la mboto?
 
Kila mtu afe kivyake.

Hakikisha na wewe unachukua kitambulisho cha machinga ili uchape kazi kweriiii kweriiii.

Serikali haiwezi kuajiri kila mtu.
Duuuuu umenikumbusha hilo neeno KWEERIIII KWEEEERIIIII
 
Primary kasoma miaka 8
olevel kasoma miaka 3
huko kwenye ajira ndio haieleweki eleweki kabisa!


btw hicho chuo KIU ndiyo hicho cha gongo la mboto?
Kwa hapa Tanganyika kipo hicho hicho
 
Na mumewe ni first gentleman mlitakaje sasa?
 
Hii ni nepotism na haitakiwi kwenye utumishi wa umma
Yaani ukiwa kiongozi wa umma kkimaadili na kuondokana na mgongano wa kimaslai haitakiwi kumpa kazi ndugu yako hata Kama anasifa na vigezo
 
PhD candidate? When did he qualify?
 
Vipi ile barabara ya kutokea utete kwenda Ngarambe pale karibu na camp ya hifadhi bado inapitika?
Bado ipo inapitika vizuri tu siku hizi kuna noah zinatoka Ngarambe-Utete.[emoji23][emoji23]Mzee baba kumbe ulifika mpaka kule Kingupira selou!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…