Hapa Duniani na humu JF kuna watu mbegu wa aina Mbili. ambao wana uadui wa wazi kati yao, Mungu alisema ''Nitaweka uadui kati ya uzao wako na uzao wa mwanamke'' wewe utamponda kisigino na yeye atakuponda kichwa!
Wote mnajua Mwili ni hekalu la Mungu, kichwa kiko juu ya mwili, na Kisigino kiko chini ya Mwili: na Mungu yuko juu Mbinguni na Shetani yuko chini kuzimu; hizo mbegu mbili ni km hizi;
1. Kwanza ni kile kizazi cha Nyoka, kilichojifanya km wana wa Mungu walio ungana na weupe wazungu lengo lao ni kupotosha weusi wanaojitambua. hawa wanaamini wao asili yao ni Nyani tu, hawajishughulishi kujua ukweli mbingu hawana haja nayo. hata uwapige msasa vipi watasema mara Mungu ni hadithi, mara hayupo nk.(km mzee wa hasira kali Dicks) wanapenda uongo uongo wa kudanganywa kama Baba yao Shetani alivo muongo. wakisikia tu neno la Mungu wananuna. wakati, hawazuii kunywa maji hata hawamjui.
,
2.Hawa ni Wana asili wa Adamu ambao wana pumzi ya Mungu kabisaa hawa ni rahisi sana kuju asili yao ya Mbinguni hata muwadanganye vepi. ukigusa kidogo tu wanajitambua vyema! wana wa Cush haooo!.
Tambua kuwa haijalishi hata mnaweza zaliwa familia km Cain na Abel! .. lkn humo humo! Mungu akawa na wa kwake, na Shetani pia akawa na wa kwake! ni rahisi sana kuwajua wa shetani ktk familia yenu, ...yaani
Baba mmoja na Mama mmoja, ni wale wachoyo, kinyongo, wagomvi, wabinafsi ktk familia zao! Baba yako amekuzaa lkn unamloga/ unamtoa ndagu!, na kweli unafanikiwa, mara umpige kaka yako! kuua ndgu ni rahisi!
Mara nyingi ni watu wa ku fail fail kimaisha, Shule hawafaulu hata akifaulu haendi mbali! Kazini hawazalishi sana. wanautegemezi mwiingi! ulio base kwenye umbea, majungu, na uchonganishi, ushindani wakijinga,
Uki move Ulaya na wao wanataka kuja huko! Ukirudi kuendeleza home nao hawa hapa, ukianzisha biashara wanataka ubia. wkt hawana hela! wanalinganisha eti na wahindi '' tuwe km wahindi wanasaidiana'' kama mtazamo wa Khalifavinnie!