kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
Inategemea sana. Akija akiniwahi makende, sijui itakuaje.
Still can't imagine .
😂😂😂🙌Swali ni je unaweza kuuliwa na kitoweo? Kule kwetu Iringa ukiuliwa na mbwa unajinyonga
Au kifoLazima akuachie ulemavu[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa hajui hakuna mtu asiyeogopa kifo, mtu akifa hana jinsi tu.Paka tu anamaliza mchezo ije kuwa bulldog acha masihara wewe kijana.
mimi niwe maji nisiwe maji mbwa hawezu niuwaKama niko maji sawa...
Ila niko na akili timamu hawaniwezi maana miguu itanisaidia kutoka mbio...
wewe unaqmini mbwa anauza kukulletea kifoBulldog akikamata kwa meno hizo kengele zako haachii hata umchome kisu.
mimi kwa paka ninaweza kunyosha mikono ila sio mbwa hata awe vipiPaka tu anamaliza mchezo ije kuwa bulldog acha masihara wewe kijana.
huyo wa kilo 100 mshamba_hachekwi huwezi ruka naeInategemea kama una silaha karibu, ila kwa hali ya kawaida umevamiwa tu huna cha kujitetea, lazima uumizwe vibaya. Kuuliwa sidhani, labda kama mbwa ni wengi...
Kwa wale mbwa wazito kilo 60+, lazima uteseke, mfano huyu hapa ana kilo 100+
View attachment 2867562
Tafuta taarifa za Kingunge Ngombale Mwiruwanasema ukitaka kumuua mbwa au paka mpe jina baya. je ni yapi maoni yako kuhusu wewe hapo binafsi juu linapokuja suala la mbwa anakushambulia anaweza kukusababishia kifo
Mada kwa ajili ya wanaume