Je, wewe mwanaume unaweza kuuliwa na mbwa hawa wa kufungwa?

Je, wewe mwanaume unaweza kuuliwa na mbwa hawa wa kufungwa?

Inategemea kama una silaha karibu, ila kwa hali ya kawaida umevamiwa tu huna cha kujitetea, lazima uumizwe vibaya. Kuuliwa sidhani, labda kama mbwa ni wengi...

Kwa wale mbwa wazito kilo 60+, lazima uteseke, mfano huyu hapa ana kilo 100+
1704897795923.png
 
Hawa mbwa wetu wa kibongo bongo huwa nawaua na rungu nimeshauwa watatu ila Kuna wale pitbulls au bulldogs wale ni kisanga kukudedisha ni kugusa tu wakiwa na njaa huwa hawana akili wale

Hawatabiriki siku wakikubadilikia inabidi uwe na pistol umchape risasi laa sivyo anauwa mtu
 
wanasema ukitaka kumuua mbwa au paka mpe jina baya. je ni yapi maoni yako kuhusu wewe hapo binafsi juu linapokuja suala la mbwa anakushambulia anaweza kukusababishia kifo

Mada kwa ajili ya wanaume
Tafuta taarifa za Kingunge Ngombale Mwiru
 
Back
Top Bottom